Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 19,796
- 23,094
Wazaramo mafundi sana wa kuumizana, uumwe tumbo,uvimbe miguu, kuotesha busha n.k.Ndo nasikia leo mganga wa kizaramo😃😃🧐
Wazaramo mafundi sana wa kuumizana, uumwe tumbo,uvimbe miguu, kuotesha busha n.k.Ndo nasikia leo mganga wa kizaramo😃😃🧐
Mbona siamini😃😃Wazaramo mafundi sana wa kuumizana, uumwe tumbo,uvimbe miguu, n.k.
Nenda x wanga....kabla hujafika mjini shuka sehem inaitwa Mpui....ulizia Mwenyekiti....Chengwa....utasaidika.Mm nimepigwa Iringa,Njombe,sijui wapi niende
Nenda kawagange mademu zako RUBBISH. Au jigange wewe uache kula tigo za mademu zakotamu au chungu ?
Swaks nina ahadi na appointment na mtu,kidogo kanifikea sababu alitaka tufanyie Dsm mm nikagoma,Dsm mji wa mapepo utapeli njenje.Nenda x wanga....kabla hujafika mjini shuka sehem inaitwa Mpui....ulizia Mwenyekiti....Chengwa....utasaidika.
Hakuna maisha marahisi hivyo mkuu 😃😃Hivi jamani Kuna ukweli wowote kuhusu kuwepo waganga wanaotoa utajiri?kama wapi ni wapi wanapatikana?
Wapo,ila kumbuka utajiri wa hivo una majuto makubwa.Hebu fikiria kwanza mfn mtu m600 zinatembea barabarani alafu yeye haruhusiw kupanda hayo magari wala kulala ndani ya nyumba usiku kucha nikuzurura kwenye maclub mpaka kuna kucha.Hayo si ni mateso ndugu?Hivi jamani Kuna ukweli wowote kuhusu kuwepo waganga wanaotoa utajiri?kama wapi ni wapi wanapatikana?
Nani angekuwa masikini mkuu, tufanye kazi.Hivi jamani Kuna ukweli wowote kuhusu kuwepo waganga wanaotoa utajiri?kama wapi ni wapi wanapatikana?
Unahitaji? Kama Upo Serios njo pm.Hivi jamani Kuna ukweli wowote kuhusu kuwepo waganga wanaotoa utajiri?kama wapi ni wapi wanapatikana?
Noma sana!Umesema upo dar, nenda mnazi mmoja hapo stendi ,Kuna duka kubwa kiasi linacanvas ya coca cola , Kuna jamaa hapo aka tunamuita makavu , yule mkinga mwambie akupe namba ya makamba,huyo mwamba ukifika kwake nenda na Hela ya kuku tu ,shukrani utaampa baadaye .
Ila uwe umeamua kabisa hana matani yule .
Ana aina mbili tu ya ndagu, ya kwanza utapewa mawe meusi mengi utaambiwa uyale kulingana na uwezo wako ,hakikisha unakula mengi ,ukila machache utajua mwenyewe.
Pili utapewa ua ukapande ulitunze na utapewa begi limejaa Hela tu ya kuanzia mengine hilo ua utajulia mbele.
Yote mawili hayo yaitaji moyo mgumu Sana ukiwa mwoga hata mwaka umalizi .
Kazi kwako Sasa ,nipe mrejesho .kila kitu kinafanyika hapa dar .
Unajua wabapo patina mkuu?Wapo,ila kumbuka utajiri wa hivo una majuto makubwa.Hebu fikiria kwanza mfn mtu m600 zinatembea barabarani alafu yeye haruhusiw kupanda hayo magari wala kulala ndani ya nyumba usiku kucha nikuzurura kwenye maclub mpaka kuna kucha.Hayo si ni mateso ndugu?
Unajua wabapo patina mkuu?
Wew muombe mungu hizi kenge zitakucheleweshaHabari Wakuu,
Natafuta mtaalamu wa tiba asili strong kutoka kongo, Malawi, Uganda, au kwa warundi. Mtaalamu wa mizimu au majini wakali.
Anaejua taratibu za tiba, kwa kutoa vifungo, kuosha, kurudisha na kupandidha nyota iliyoibiwa.
Nataka kung'aa na kufaulu kwa kila juhudi zangu.
Yuko hapa sala sala kapanga ni mchungaji kuacha hiyo comedy zakeHivi MC pilipili kaishia wapi