Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
baba angu ni usalama wa taifa ila cjuagi anafanya kaz gan i mean anakuwa anapeleleza nn zaidi na cjui alijiungaje, ila nakumbuka kn cku ahsawahi sema nilitaka kwenda jesh nikagaiiri nikaenda usalama , afu wana chuo chao bagamoyo huwa wanaendaga , wakiwa huko no mawasiliano ya cm, ila cjui wanajifunzaga nn, yukoidarani zaidi ya miaka 30
 
napenda kujua wadau jinsi ya kujiunga na usalama wa taifa ......wanaaangalia vigezo gani

mi ninavijana nawafahamu wapo pale tena wao waliingia na elimu ya 4m4 na 6, ila mmoja alikuwa mtoto wa mkubwa fulan hv, mwngne dad yake dc, asa yu can imagine unaingiaje hapo.
 
hii kazi inahitaji ufanyiwe vetting na system, lakini kwa sasa inakuwa ngumu sana kujua wanatumia vigezo gani maana wana usalama wa siku hizi ni kama hawako smart kama wale wa enzi za Nyerere
 
usalama wa taifa wengi wanapeana hivyo vyeo-mtu anaambiwa atafute vijana,then yeye anatafuta anaowafaham,may be family friends wake n.k,
mafunzo wanachukulia kwenye kambi za jeshi za kawaida tu-kama kibaha,zenji n.k
then kazi wanapachikwa sehem mbalimbali kama migration na office nyingine za serikali ila mara nyingi wanakuwa hawatulii ofisi moja kwa muda mrefu
 
endelea kutujuza mkuu
 
ndugu hizo nafasi ni ngumu tu kupewa bila kuwa na channel hawawezi kumkubali mtu random wasiyemjua background yake kama una mtu yupo wizara ya mambo ya ndani inaweza kusaidia anzia hapo ukienda oysterbay zilipo ofisi zao umenoa watakwambia nani kakwambia tunahitaji watu na umeona wapi kwani huwa hazitangazwi hizo nafasi ni kwa wale wenye channel zao ndiyo wana uhakika
 
aisee kumbee!!!
 
Mambo ya ndani na usalama wa taifa wapi na wapi?
 
Ongea na watu tena kuna tetesi kwamba hawa jamaa sasa
ndio wakati muafaka wanatafuta watu ila hii kitu huchukua muda sana
kwa hiyo jaribu kuongea na watu ....
 
Ongea na watu tena kuna tetesi kwamba hawa jamaa sasa
ndio wakati muafaka wanatafuta watu ila hii kitu huchukua muda sana
kwa hiyo jaribu kuongea na watu ....
ebhanaeee,ngoja nikafanye jogging maeneo ya coco beach kutafuta pumzi.duuuu!!!
 
Siku hizi wamepunguza sana kuchukua raia,wanachukua jeshi la wanainchi kwa sasa!
 
hawa jamaa huwa hawatangazi kazi! ila wanatafuta wenyewe kwa vigezo vyao, kwanza wewe mpk hapo umeishapoteza sifa moja hupaswi kujitangaza wala kujielezea wasifu wako humu, na kucheza karate, kombat hata aina nyingine ya sanaa ya mapigano si kigezo
 
Sasa umeishatoa siri kwa adui ni aina gani ya mafunzo uliyo nayo, hata hivyo, hayo mafunzo ulipaswa kufundishwa kulingana na mahitaji ya Idara husika. Sio kila mtumishi wa Idara hiyo ni wa kujihami au kuhami kwa kutumia karate.
 
Usikate tamaa tembelea balozi zetu au ofisi zao Nyumbani. Ni watu wa kawa sana. Hakuna jipya sana. Kama ni ambition yako nenda wizara ya mambo ya ndani na omba kuonana na afisa mwajiri na utapata utaratibu wote. Asante.

Jamani tusidanganyane TISS ni idara iliyopo chini ya Jumba Jeupe pale magogoni na sio mambo ya ndani
 
bro,
cjawah kuckia hawa jamaa wnatangaza kazi km tulivyozoea NGO na asasi nyngine, mi nadhani mfumo wao ni tofauti sn ndo mana hata shuleni walikuwepo km wnafunzi vile, kumbe..........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom