Kwani kazi ya usalama wa Taifa mpaka ujue Karate? au ndio kigezo cha nchi yenu?
mi navyojua usalama wa taifa ni uwigo mpana sana kuna kitengo cha mawasiliano, uchumi, ulinzi, ujasusi nk,
na saa nyingine akili, uelewa, upelelezi, umakini, uchambuzi mzuri wa mambo ni kitu cha kwanza kuliko hayo mapigano
good luck wamekusikia na watakuchukua
Hizo mishemishe zilizo red ndizo nizitakazo mimi! Ningepewa nafasi; kazi yangu ya kwanza ingekuwa ni kuifitinisha Kenya na Sudan Kusini ili taifa hilo changa liangukie mikononi mwetu na tufanye nao butter trade vizuri!