Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
Mh hzo ishu huwa wanatafte wenyewe mkuu.Vinginevyo uwe mtoto wa kigogo ndo utapata kirahsi
 
Mh hzo ishu huwa wanatafta wenyewe mkuu.Vinginevyo uwe mtoto wa kigogo ndo utapata kirahsi
 
wakuu shida yangu ni kupata ajira idara ya usalama wa taifa.sifaham ofisi zao zilipo wala mfumo wao wa kupokea maombi.
nina degree ya mass comm.nina moyo wa kizalendo,nacheza karate.mkakamavu nina sifa za ziada kem kem.nisaideni.
Hv wewe unadhani kazi za usalama zi magazeti yale yanuzwa barabarani???
Au utadhan watapita kutangaza???? Kwa hiyo stegi ya kutangazaunataka kazi umechemsha tena sana, maana kila kona wanapata taarifa so wakikujua uko hvyo byeeeee
 
sawa Junior Member ila wakati mwingine usisahau kuacha nafasi kati ya neno na neno,embu cheki vzur hapo ktk red.lol
 
wakuu shida yangu ni kupata ajira idara ya usalama wa taifa.sifaham ofisi zao zilipo wala mfumo wao wa kupokea maombi.
nina degree ya mass comm.nina moyo wa kizalendo,nacheza karate.mkakamavu nina sifa za ziada kem kem.nisaideni.

Kutokana na CVs zako nadhani wewe utanifaa; nahitaji mlinzi , achana na usalama wa Taifa; ni PM mkuu, kazi umeishapata!!!
 
Keep it up to know about it, on the process you will have your answer
 
Hizo issue Kaka inakuwa ni ngumu kupata unless otherwise uwe na mtu wako wa karibu ambaye yupo huko!!
Yaani hii kazi mpaka upate inabidi usahau kidogo na kupata kwake wanapitia michakato mingi sana so kirahisi rahisi!!
Kwa mfano kuna jamaa yangu nilisoma naye Advance secondary fulani hapa TZ, huyo Jamaa kuna siku aliitwa na Headmaster akaambiwa kwamba akimaliza anahitajika kwenye hiyo kazi!! kwa bahati tulivyomaliza Advance tulifanikiwa kuendelea na Elimu ya Juu!!
Yeye amemaliza Degree yake hapa hapa TZ, sasa kuna siku alikuja home ndo akaniambia kwamba wale jamaa wamempigia simu na wanamuhitaji!!
Kwa hiyo mlolongo wake ni mrefu!! You have to be patient Brother!!
 
hakuna kitu huko zaidi ya kusota na mishahara ya laki 6 na kuzunguka kwenye maofisi ya watu kama mwehu kusaka Data
 
Hizo issue Kaka inakuwa ni ngumu kupata unless otherwise uwe na mtu wako wa karibu ambaye yupo huko!!
Yaani hii kazi mpaka upate inabidi usahau kidogo na kupata kwake wanapitia michakato mingi sana so kirahisi rahisi!!
Kwa mfano kuna jamaa yangu nilisoma naye Advance secondary fulani hapa TZ, huyo Jamaa kuna siku aliitwa na Headmaster akaambiwa kwamba akimaliza anahitajika kwenye hiyo kazi!! kwa bahati tulivyomaliza Advance tulifanikiwa kuendelea na Elimu ya Juu!!
Yeye amemaliza Degree yake hapa hapa TZ, sasa kuna siku alikuja home ndo akaniambia kwamba wale jamaa wamempigia simu na wanamuhitaji!!
Kwa hiyo mlolongo wake ni mrefu!! You have to be patient Brother!!

huyo jamaa hafai nawikimjua watam delete.
 
inshort,hakuna utaratibu wa wazi.ila kama yupo ambaye unahisi ni UwT mweleze nia yko hope akione kweli unalengo atakupa mwongozo.ile we msomi mkuu! ukiambiwa nenda nyaruyeye miaka 5 na unajitenda na utandawazi utakubali
 
jaman ni weng tunaopenda kufanya kaz usalama wa taifa lakin hatujui tuanzie wap tusaidien wengine toka utoto wetu tunapenda tuwe watu wa usalama wa taifa

duhh pole mkuu yani toka utotoni wewe ni mbea? naona badala ya kutafuta hiyo kazi wakati umeanza toka ukiwa mtoto ni bora ustaafu
 
Unataka kazi usalama wa taifa na una-apply JF. we mwehu kweli kweli
 
  1. Usiwe MSABATO maana JMS utaomba upumzike
  2. lazima ushikwe mkono na mtu atakayekutambulishAa vizuri (AWE NDANI YA SYSTEM)
  3. Ukiulizwa una ndugu yoyote TISS ukikubali inaonekana UKOO WOTE HAUNA SIRI
  4. USIWE phisycally impaired
  5. Chukua akili za Mgaya changanya na zako=JK
  6. ETC
 
Uwe ndugu au Mtu wa karibu na viongozi wakitaifa
Uwe mtoto au ndugu wa maofisa wallopo
 
Mwangota na Mashiba kwa nidhamu, pozi na namna zao waliifanya kazi ya walinzi wa viongozi wa kitaifa ionekane ya kuheshimika na wengi kutamani. Hawa wa siku hizi wanacheza sinema...
 
sifa za msingi.
uwe mtanzania kwa kuzaliwa, mwenye akili timamu na afya njema. usiwe na record ya uhalifu na angalau uwe na elimu kidato cha nne.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom