Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 255
Mimi sifanyi kazi usalama wa taifa na wala sina mahusiano nao ila nitumie cv yako yonamaro@alarmtechtz.com
sitaki nikifike kule halaf nifanye kazi za umbea umbea .ndio mana nikasema mapema kuwa nacheza karate.better yet kunfu,judo.taekwondo,boxing 2 mention a few.lolKwani kazi ya usalama wa Taifa mpaka ujue Karate? au ndio kigezo cha nchi yenu?
mi navyojua usalama wa taifa ni uwigo mpana sana kuna kitengo cha mawasiliano, uchumi, ulinzi, ujasusi nk,
na saa nyingine akili, uelewa, upelelezi, umakini, uchambuzi mzuri wa mambo ni kitu cha kwanza kuliko hayo mapigano
good luck wamekusikia na watakuchukua
<br />sitaki nikifike kule halaf nifanye kazi za umbea umbea .ndio mana nikasema mapema kuwa nacheza karate.better yet kunfu,judo.taekwondo,boxing 2 mention a few.lol
hivi wewe mama huwa huna kaz maana kila sehemu upo,siasa mapenz, udaku, umbea had kwenye kazi,duh! pole kwa aliyeoa huyu mamaHuko huwa wao wanatafuta wafanya kazi hapeleki mtu maombi.
<br />hivi wewe mama huwa huna kaz maana kila sehemu upo,siasa mapenz, udaku, umbea had kwenye kazi,duh! pole kwa aliyeoa huyu mama
wakuu kumbe bado mnakimbizana na hii thread.tayari nilishaghairi kufanya kazi huko.nimepata ofa ya kuuza kuuza tende mtaa wa kongo-dsm.lolUpo tayari kufanya hata kazi ya kufunguwa mageti kwenye hiyo idara? maana hata ikulu kuna wasafisha vyoo lakini ukimuuliza anafanya kazi wapi atakujibu nipo ikulu.
By the way kwa nafasi ya kawaida tu ndani ya idara hiyo mshahara ni mdogo sana. ebu zijuwe kwanza kazi za usalama wa Taifa kabla haujatamani kitu ambacho hauna ufahamu nacho.
View attachment 35073
<br />Wanachukua waliofeli darasa la saba na form four. Nitafute kwa maelezo zaidi.