Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

Status
Not open for further replies.
Mkuu hawa huwa wanatafuta wenyewe, wanaenda kwa watu wanaofahamika na kuwaambia "tunaomba utupe mwanao akafanye kazi usala wa taifa" mfano walishakuja kwa babaangu mkubwa ambeye ni mkuu wa........ Wakamwambia tunaomba kijana wako uliyemzaa wewe akafanye kazi usalama wa taifa. Ba mkubwa akatafuta mtoto wa rafiki yake wakaondoka nae.
What a crude way of search and selection of staff ? I appreciate that they can't advertise but I would imagine they do thorough vetting of staff through comprehensive background checks, education history, family history,and tend to avoid overtly fundamentalist au wenye mirengo ya left n right I would imagine due dilligence including certification of citizenship than asking people to give them their sons and daughters thts why our intelligence ni intelijensia!
 
Wewe tayari ni UWT kitendo cha kuwa member wa jf kinatosha kukuhalalisha!
Tunatumia cods ambazo pia TISS hutumia tena sisi hatumwogopi mtu,hatupangiwi kazi,hatulipwi mshahara wala posho,ni wazalendo wa kweli,tunafanya kazi ktk mazingira magumu mpaka chumbani kwa mkweree tunafika na ni wasomi wa hadhi ya nyota tano!
 
hivi braza nguli upo hapa daslama?...nakumisi sana mwana uwt mwenzangu
Hahahahahah mkubwa upo??? Hatuwasiliani? Unaiangusha sana JF mwasisi wa infidelity na marketing manager wa valuer. Kesho nitakupigia kwa sasa niko USA najifunza English course
 
umepitia shaolin?.....una kifua cha kutunza siri?........unaweza kujifanya kichaa na kula jalalani? unajua kutumia bastola?.....una.....ume...aahhh....maswali ni mengi....ila kila la heri
Kazi yetu kubwa ni kusuuza roho hahahah mambo vp Preta? Missing u big time. Amani kwa shemeji Pakajimmy
 
Think and act like mtu wa usalama, utawajua na watakujua , na hii ndo imani yangu, chukua yaweza kukuongezea hatua ya kua vile unavyotaka.
 
hiiyo ni kazi kama kazi nyingine,,ongea na watu vizuri uvae viatu
 
weee! angalia sana. Huko ni ngumu kuingia , pia ukiingia hurusiwi kutoka !
 
Huko wanakwendaga kwa kujuana-na kazi zao wao ndo hutafuta watu kwa siri,never ever ukapata kazi kwa ku-apply-
 
Sifa zako kemkem hazitakiwi. Sifa kubwa ni kujulikana, je wewe unajulikana na nani?

Mi mwenzako Pinda ndie aliyenishika mkono.
 
Kwani kazi ya usalama wa Taifa mpaka ujue Karate? au ndio kigezo cha nchi yenu?

mi navyojua usalama wa taifa ni uwigo mpana sana kuna kitengo cha mawasiliano, uchumi, ulinzi, ujasusi nk,
na saa nyingine akili, uelewa, upelelezi, umakini, uchambuzi mzuri wa mambo ni kitu cha kwanza kuliko hayo mapigano

good luck wamekusikia na watakuchukua
 
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Kuwa na ukaribu na watoto wa mabrigedia watakwambia!!!!!!!!!!!! Kipi kilichokufanya Uipende hiyo Kazi Bro?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom