nimesoma kila post ili kujaribu kujua kama atatokea angalau mmoja nim-PM ili tulambe ajira wajamen......! Na nikipata kazi huko la kwanza ni kupambana na RUSHWA popote ilipo
Mbona mimi ni mlinda Usalama wa Taifa na sijaajiriwa na mtu? nimejitolea kulinda Taifa langu.
Hilo ndo tusilolitaka, unatangaza kazi halafu eti ila huwezi kujua ndio zenyewe. Sasa mtu ataombaje? Hapa inahitajika transparency. Tunataka watu competent kwenye idara zetu wakatu huohuo wapatikane kwa fairness.Hata hapa kwetu wanatangaza ila huwezi kujua kama hizo ndizo kazi zenyewe. Kwa mfano ukishakubali kuajiriwa PCCB ujue ni UWT. Hata hivyo ishu ya usalama wa taifa ni "complex" maana kila sehemu wapo. Kwa mfano katika vyuo vikuu hawa wapo na ili kulahizisha wanakuwa ni wafanyakazi wa taasisi hiyo.
Kwabahati mbaya siongei nisilolifaham kama unavyotaka kuniaminisha.
Hata wale top uwaonao wamefika pale mostly through promotion. najua kuna walimu et al. wanafanya kazi hiyo. Lakini swali ni kwamba, inakuwaje mtu atumike kumuidentify mtu kwa ajili ya kazi yenye maslahi kwa taifa? Anajuaje kwamba hawapo wenye qualification kubwa zaidi na wana interest na kazi hiyo?
Siku hizi dunia imebadilika saana. Sio mfumo wa kila sehem. Pitia baadhi ya websites za vitengo hivyo, unaweza kujifunza kitu. Naendelea kusema tena; informer atakuwa tu undercover lakini recruitment process iwe wazi alafu selection ndio iwe siri. Tatizo nini hapo? Unajua nchi yetu tunadhana ya ajabu saana ya usalama ndio maana hata matapeli hujitangaza ni usalama.
Beware of what u wish for....
hivi braza nguli upo hapa daslama?...nakumisi sana mwana uwt mwenzangu