mwenye nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hakikisha mwenye nyumba anakupa funguo zote. Nimemkuta ndani kwangu, ameingia bila ridhaa yangu

    Wakuu! Nimekutana na tukio ambalo si la kawaida baada ya kurudi nyumbani na kumkuta mwenye nyumba wangu yupo ndani ya nyumba niliyopanga bila ridhaa yangu. Nilishangaa kumkuta akiwa ndani, na wala hakushtuka. Mpaka sasa sijajua alikuwa ana lengo gani kwa kweli. Bora hata kungekuwa na...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tuwe watulivu, busara na hekima itawale asijifanye mtu mwenye nyumba wote ni wenye nyumba

    Tanzania katikati ya matumaini na mashaka, ikisubiri ripoti ya Oktoba 29 Tanzania kwa sasa iko katika wakati wa kipekee na wenye uzito mkubwa wa kihistoria. Ni kipindi cha kusubiri, kutafakari na kujiuliza maswali magumu kuhusu mustakabali wa taifa, wakati macho yote yakiwa yameelekezwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpoki: Suala la wasanii na wananchi ni kama mpangaji na mwenye nyumba, wasanii sikilizeni wananchi

    " ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia unaanza kulamaba uzi ndo upitishe kwenye tundu haulambi tundu ndo upitishe kwenye uzi na kuna muda hata...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Msaidizi alipotukanwa na mwenye nyumba kwenye veranda, mmiliki wa awali akamwambia tu namaliza mchezo kuwa mvumilivu. 8/100

    Mwenye nyumba ya Malawi alikuwa katili sana na mbaya zaidi hata wale vijana wake wa shambani walikuwa hawamsikilizi msaidizi wa kazi za ndani! Kwakuw msaidizi wa kazi za ndani alikuwa kashalalwa na mmoja wa watumbuizaji, pamoja na ulevi wake mmoja wa vijana wa walinzi hapo nyumbani Naye alipita...
  6. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Mwenye Nyumba Feki akipambana kunipiga Laki, nami Namu-enjoy

    Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta. Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy. Anapiga simu kufuatilia...
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Yani ex wangu ndani ya mwezi mmoja tu wa kuanza kutembea na mzee mwenye nyumba tayari nishapandashiwa kodi

  8. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Mama Mwenye nyumba wangu anafungulia redio mpaka mwisho NIFANYEJE ahame?

    Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇 Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
  9. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba angekuwepo

    To be honest hali ni mbaya sana kwa site. Sio waislam sio wakristo. Wanalalamika na kulalamikia hali iliyopo. Nipo sehemu nasubiria huduma ya kiserikali, watu utadhani wamefiwa. Ndio mmoja mwenye sigda na kofia yake anasema nyumba haina mwenyewe. Wapangaji wanajiamulia la kufanya. Huduma za...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Magari mawili tofauti yanakuwa je na plate number hiyo hiyo? Mkisikia mwenye nyumba hayupo, muwe mnaelewa!

    Welcome to the jungle: Hii ni kwa Tanzania ya leo tu!
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba wangu ananipangia marafiki wanaokuja kunisalimia

    Mimi ni mpangaji wa nyumba hapa Goba, lakini cha kushangaza mama mwenye nyumba ananipangia marafiki wanaoweza kunisalimia. Sifahamu sababu ya kufanya hivyo na ninahisi inaninyima uhuru wangu binafsi licha ya kulipa kodi kwa wakati. Je, nifanye nini katika hali kama hii, nataka kuhama?
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kupanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo ni shida sana

    Nimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo. Maana mama mwenye nyumba anatabia mbaya sana, anapenda sana kuongea kwa mafumbo anapomuona mke wangu mara akisalimiwa aitikii yani ni vituko juu ya vituko. Wakiwa...
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Huyu mwenye nyumba sasa anatunyanyasa. Rais/Serikali iingilie kati jambo hili wanaichonganisha na wananchi

    Nyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia masabuwufa ya sauti kubwa. Tuliwasha jioni hatusikilizani na hatuna shobo na mtu. Mi nimenunua...
  14. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Huu mkataba unambana mpangaji na kumbeba mwenye nyumba

    Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya ya upangishaji hapo kwenye picha nimewekea point nyekundu lakini hata ukiusoma mkataba mzima masharti...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba yangu alipotea hata ndugu zake siwajui, sasa nimejenga kwangu, Je niendelee kupangisha?

    Wasalaam, Mwaka 2019 nilipanga nyumba mpya sehemu nzuri sana hapa jijini Daslaam nilichukua nyumba nzima kwa kodi ya laki 9 kwa mwezi. Nililipia miezi sita kwa cash na hiyo ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho wa kuonana na mwenye nyumba. Nilipotaka kulipia tena miezi sita baadae namba yake...
  16. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ukiona Baba mwenye nyumba anamuonea wivu house girl ujue tayari

    Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

    Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!? Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mpangaji agoma kuhama baada ya mkataba kuisha. Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?

    Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable . Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha. Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi...
  20. greater than

    JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
Back
Top Bottom