Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa...
Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko lamzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili... Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.
Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa....
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juuu...

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
Alikufa Magufuli na nchi imetulia nn unataka kusema jombii ?? Hata akifa spika tunazika na nchi inakaza mwendo usiishi kwa msisimko boss utakufa mapema kwa matatizo yasiyoambukiza.
 
Hakuna lolote la ajabu
Eti upside down
Hebu leteni mbinu za kujenga vyoo ili watoto wasijisaidie msituni

Hamna lolote yaani mpaka huruma
Yaani mtu kujiuzulu imekuwa vitisho utafikiri leo tunapigwa makombora kila kona
 
Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa...
Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko lamzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili... Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.
Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa....
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juuu...

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
Wamalizane tu
 
Labda anataka tuamini kuwa siidiieff na aijiipii
Hapa umenena sasa. Hawa ukibadili uongozi wanawekwa nje hasa IGP. Na kweli walisisitiza aapishwe. Kingine naanza kuamini ile siri aliyosema CD4 inamhusisha Nimekosa mimi, nimekosa sana
 
Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa...
Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko lamzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili... Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.
Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa....
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juuu...

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
Hakuna lolote baya,kila kitu kipo kwenye mikono salama

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom