Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa...
Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko lamzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili... Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.
Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa....
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juuu...

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
Unaombeaje taifa linalonyima haki kwa wananchi, kumbuka Haki ndio huleta Amani, hata vitabu vya Mungu vimesisitiza Hilo
 
Hata Ndugai alijua mnazareti rafiki atamvusha, kumbe mnazareti alishamchoka kwani aliwahi kumsingizia.

Kamwe siombei wanakijani, natamani kikombe cha Mungu kijae na kumwagika juu yao, ccm inachosha, imejimilikisha nchi, tumetumiwa vya kutosha kama machangu wa Sinza...
Nasema nimeichoka ccm, naomba nisife kabla sijauona mwisho wa enzi yao.
Amen
 
Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa...
Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko lamzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili... Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.
Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa....
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juuu...

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
ushashiba makande halafu unakuja kutuletea story zako za alfulela-ulela
 
Yes indeed, lets pray for this to pass well....However be assured Tanzania kama nchi itashinda...I repeat, itashinda...I know and know the end before the beggining...Aliyesimama asidhani yupo imara na aliyedhaifu asidhani hana msaada, its a pass over, we are crossing the red sea, ge prepared; ng'ambo lazima tufike kwaudi na uvumba!
 
Tambo la kusikiliza mambo lilisha washwa likadetects likazimwa in and out on the table!,
N.b,mtambo huu usiuzwe unasaidia sana katika intelligent!
 
Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania.

Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu.

Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona nembo ya taifa tu ikiwakawaka ktk moyo wa Taifa...
Ukimya huu huwezi kuuwona wala kuhisi kama nimwanadam wakawaida. Ila mimi naona nakuwathibitishia kalitafute neno au andiko lamzee yeyote unaye mjuwa mwenye hekima na alie shiba siri za taifa hili... Ukiliona rudi hapa uniambie mm nitapeli.
Kama ni mchezo wa draft basi mchezeshaji wa hii draft atakuwa na nguvu za ajabu maana draft inameza kete na draft inatoa mlio wa ajabu pindi kete zinasukumwa....
Hakuna anaye shituka wala kudhania kesho yaweza ikawa juu chini na chini juuu...

Mtikisiko ulio ikumba Dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao.

Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.

Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu.

Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.

Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.

Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.

Pray for Nation. Amen
TumainiEl post zako mara nyingi huwa zinakuwa na ukweli ndani yake, huenda upo kwenye Deep state.
Nakumbuka 2020 ulitoa post fulani juu ya kuliombea taifa baadaye July 2020 km sikosei BWM akatangulia mbele ya haki 2021 JPM akatuacha pamoja na Maalim Seif Sharifu Hamad, Katibu Mkuu kiongozi Kijazi injinia Mfungale nk nk.
Mungu anisaidie Ila Rostiam Azizi, Kinqnq na Jk nawachukia Mungu atawalipa kulingana na wanachokipanda kwa taifa hili.
 
Back
Top Bottom