GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.
Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.
Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.