Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.

Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.

Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.
 
Habari isiyo kuwa na mashiko kwa sababu kocha Nabi amekuwa akifanya vizuri na hajawahi kufanya vibaya ukizingatia unbeaten. Ndiye kocha bora kuwahi kutokea na hakuna replacement yake.
 
Sasa Nabi kakosea nini mbona ana matokeo safi tu. Ila wamfukuze tu yaendelee kuvurugana.
 
Kitu ambacho kinanipa msongo wa mawazo ni pale zitakapojitokeza timu zilizo na fedha nyingi kumlipa fedha nyingi ili wapate saini yake ataiacha Yanga katika wakati mgumu sana.
 
Sasa Nabi kakosea nini mbona ana matokeo safi tu. Ila wamfukuze tu yaendelee kuvurugana.
Na wewe uwe unasoma hata kichwa cha habari basi! Huyo mbumbumbu aka popoma mwenzako hapo juu, ameandika "Natabiri kocha wa Yanga......"

Na ameandika hivyo kwa utashi/upopoma wake tu!! Maana viongozi walishatolea ufafanuzi kitambo kuhusu uwepo wa Profesa Nabi! Sasa wewe shingo juu juu unapaniki!!
 
Kama ni kweli mkuu GENTAMYCINE basi utakuwa na karama za kipekee na nitashukuru sana, maana yule ni jipu kwenye timu yetu

#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
 
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.

Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.

Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.
Tupe rekodi za Nabi mpaka afukuzwe, Yanga sio wajinga wajinga wa kufukuza makocha kila mwezi kama makolo wewe, propaganda za kipuuzi kama hizi kawadanganye wasiojielewa wala kujitambua
 
Hvi ninyi utopolo huyu profesa maji mafupi ana kitu gani kikubwa ktk international games??????
Na wewe uwe unasoma hata kichwa cha habari basi! Huyo mbumbumbu aka popoma mwenzako hapo juu, ameandika "Natabiri kocha wa Yanga......"

Na ameandika hivyo kwa utashi/upopoma wake tu!! Maana viongozi walishatolea ufafanuzi kitambo kuhusu uwepo wa Profesa Nabi! Sasa wewe shingo juu juu unapaniki!!
 
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.

Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.

Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.
Makolo mna shida nyie

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Unaelewa maana ya kutabiri? Unatabiri vipi wakata tayari unataarifa za ndani.
 
Back
Top Bottom