"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
stress tu ulizopata baada ya hotuba ya mwenyekiti wako ni mazoezi tosha.

Hakika kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
Ben saa 8 umemuelewa Nape?
Mnacheza ngoma msiyoijua chadema
Rais jk anakubalika kuliko nyie
Siku akisimama kuwatolea uvivu mtapotea

Wewe bora ukae kimya kabisa.Si uliapa kwamba utampinga Kikwete hadharani ikiwa hatasaini Mswada?Hivi kiongozi mzima UVCCM ndiyo hoja yako katika thread hii?

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/530964-sadifa-mlaki-mwampamba-mwaulan-ga-na-asenga-jk-asipoweka-sahihi-mswada-wa-tutampinga-hadharani.html
 
Ni mmoja katika viongozi wa chama kinachokutawala. Sasa ikiwa yeye hana akili, wewe unakuwaje?

ana mtawala nani???
Kwahiyo kwa akili yako ndogo unamaanisha Nape ndio genius kuliko watanzania wengine wote ambao hawana cheo kwenye chama chake???
Hahahahah
poor you!
 
Ben saa 8 umemuelewa Nape?
Mnacheza ngoma msiyoijua chadema
Rais jk anakubalika kuliko nyie
Siku akisimama kuwatolea uvivu mtapotea

Ben saa nane mtega sumu
Anazan anaweza kumfitinisha zitto na cdm
Kazi unayo

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/530964-sadifa-mlaki-mwampamba-mwaulan-ga-na-asenga-jk-asipoweka-sahihi-mswada-wa-tutampinga-hadharani.html
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Twende church tukasali Nape... Tuna siku sita za kupiga siasa kwa wiki...
 
Umri wake ungekuwa
haujaenda tungemshauri akajiunge na mashauzi classic manake huko
pangemfaa! Sasahivi kazeeka sana labda afanye kazi ya kuwacheza mwali..
Hiyo ni saizi yake!

hahahaha!
Kumbe ndio maana kinaropoka tu humu, sio kosa lake tatizoni umri wake, hajui alitendalo.!?
 
Ni mmoja katika viongozi wa chama kinachokutawala. Sasa ikiwa yeye hana akili, wewe unakuwaje?

Siku zote Chama kinachotawala kinaongozwa na mbumbumbu maana Kutawala si kazi kubwa.Ni kutumia nguvu,dola maana Akili kubwa na Ubunifu hauhitajiki.Hata Nguruwe hutawala watoto wake zizini.Akizidiwa anaanza kuwatafuna.

Elimu ya Uraia: Kuna tofaouti kubwa kati ya KUTAWALA na KUONGOZA. Simply,Kutawala kunahitaji akili ndogo tu,KUONGOZA kunahitaji Akili kubwa ambao ndio upande wangu mimi ninayeungana na wengine kuwaondoa watawala!
 
Hangovet za Pombe za harusi anazoleta Jamvini JF
 
hahahaha!
Kumbe ndio maana kinaropoka tu humu, sio kosa lake tatizoni umri wake, hajui alitendalo.!?

Hakuna ugonjwa mbaya kama kuzeeka mwili na akili mkuu... Unakuwa na stress mda wote, unaropoka hovyo... Ndio mana hiki kibibi kinaropoka tu hovyo
 
Cheo chako ndani ya CCM ni "MSEMA HOVYO"

Sifa zako ni kupayuka,kudandia mambo,kukurupuka,kupigakelele na uzushi kati ya mengine mengi.

Kwa hiyo hilo chapisho lako hapo juu ni moja kati ya majukumu yako wewe *Mpuuzi usiye na bongo la kufikiri.

*Mpuuzi ni yule anayepuuza mambo ya muhimu na kufuata ujinga (according to me)
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Hdithi za kutunga utazijua tu kwani hii haina mashiko hata kidogo. jaribu tena baadaye.
 
Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!

Sasa kama katibu mwenezi unaandika kiswahili kibovu hivi inadhihirisha usivyo makini hata kwa mambo madogo kama haya.
 
Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!

Hivi umbumbumbu ni kipaji eee?! Umesahau ni juzi tu kwenye hotuba ya mwenyekiti wako alitumia maneno hayo .....Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini..... dhidi ya wakili msomi Lissu? Thanx kama umegundua ni yakitoto na ni viashiria vya mtu aliyekosa hoja. Anza na JK ndo uhamie kwa Saa 8. Hivi ni lini utahusisha ubongo wako kwenye mambo nyeti au hata yale ya mzaha? Ulizaliwa ukiwa na miezi 8 wewe Nape?
 
Hebu nielezee ni nani aliitwa muongo, mnafiki, mzandiki, fitina?

Hivi unamjua jk kwa uongo wewe? Alikosa namna akaona afe na kiongozi makini Lissu! Sikumshangaa manake aliwahi kutudanganya watanzania eti foleni dar ni ishara ya maisha bora hahahahah... Serikali dhaifu inakazi ya kupambana kila kukicha!... Sema ukweli ile ilikuwa ni hotuba au mipasho? Kwenye yale maneno yote aliyoongea jk ukiweka biti si unapata single moja kali, na itauza kuliko nyimbo za akina mzee yusuph!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom