"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
-Akili ndogo ni ya kwako.Una akili gani kubwa ya kujadili suala lolote la kitaifa wewe ikiwa hata kozi yako shuleni hujawahi kuwa na uwezo wa kujifanyia assignment?

Katiba kupatikana Barabarani inawezekana.Hata Kenya,Afrika Kusini,Nigeria na Ghana zilipatikana Barabarani.Uwe unafanya tafiti kabla ya kuandika.

ben nakupa pole sana wewe kwani unaakili gani zaidi ya kutumika hovyo kuwinda wenzako kwa mambo haramu kweli hiyo ndiyo akili ni vema ungejiangalia kwanza uone kama uko sawa ndipo useme zaidi.
 
lol,

too poor a thread from mtu mwenye cheo na wajibu nyeti ndani ya chama dola. Unless kusema ovyo ndio kazi yenyewe

this is all i can say
 
Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!

akili yako haikutoshi hata kupenga kamasi, na hili ni tatizo la mimba za kwenye mikesha ya mwenge..
 
Mwenyekiti wa Vijana UVCCM Kilimanjaro anastahili kuandika na kujenga hoja kuliko unavyofanya.Unatia aibu!

By the way wewe na huyu Katibu wa Itikadi na Uenezi si mna kambi tofauti? Unganisheni chama chenu kwanza kabla ya kurukia mambo ya ndani ya CHADEMA

Ben Saanane,
Kwa taarifa yako huijui Moshi, sio ya miaka ile ya wajinga
njoo leo Moshi uone vijana walivyojipanga.

Nguvu tulizonazo kipindi hiki hata uchaguzi wa Mbunge ufanyike
kesho CCM itashinda.

Usipende kutaja taja watu kisa tu unamjua, by the way wewe binafsi
una matatizo ya kutosha na familia yako.

Kaa kwenye mada/uzi sio unatoka toka nje kama.....

NKUU SINDE, Nduguyenu
 
Hivi unamjua jk kwa uongo wewe? Alikosa namna akaona afe na kiongozi makini Lissu! Sikumshangaa manake aliwahi kutudanganya watanzania eti foleni dar ni ishara ya maisha bora hahahahah... Serikali dhaifu inakazi ya kupambana kila kukicha!... Sema ukweli ile ilikuwa ni hotuba au mipasho? Kwenye yale maneno yote aliyoongea jk ukiweka biti si unapata single moja kali, na itauza kuliko nyimbo za akina mzee yusuph!

Hahah.Tulikua tukimsikia malkia wa Mipasho tu,juzi Mfalme wa Mipasho amepatikana!
 
Kaka ukiishiwa hoja fanya mazoezi siku nzima, inaonekana umeshindwa hata kutengeneza story unaleta propaganda hayo ndo madhara ya vyeo vya kupewa na kulindana
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Mkuu mkutano wa jangwani upo au haupo?km haupo sababu ni nini zilizosababisha kuahirisha mkutano ghafla?
 
Ben Saanane,
Kwa taarifa yako huijui Moshi, sio ya miaka ile ya wajinga
njoo leo Moshi uone vijana walivyojipanga.

Nguvu tulizonazo kipindi hiki hata uchaguzi wa Mbunge ufanyike
kesho CCM itashinda.

Usipende kutaja taja watu kisa tu unamjua, by the way wewe binafsi
una matatizo ya kutosha na familia yako.

Kaa kwenye mada/uzi sio unatoka toka nje kama.....

NKUU SINDE, Nduguyenu

Ungeanza wewe kukaa kwenye Mada/uzi badala ya kutoka nje.

Kuhusu matatizo ya Familia:Nadhani katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye mwenye tatizo kubwa la kifamilia kama tulivyoelezwa hapa.Tusiende huko maana utazidi kumuumiza kwa kujua au kutojua ila sisi TUNAJUA.
 
ben nakupa pole sana
wewe kwani unaakili gani zaidi ya kutumika hovyo kuwinda wenzako kwa
mambo haramu kweli hiyo ndiyo akili ni vema ungejiangalia kwanza uone
kama uko sawa ndipo useme zaidi.

wewe una akili gani zaidi ya kudandia mambo usiyoyaelewa vizuri! Kiwango chako cha kufikiri na kujenga hoja hata tukizidisha kwa 100 haifikii nusu ya Ben.!
 
Siku zote Chama kinachotawala kinaongozwa na mbumbumbu maana Kutawala si kazi kubwa.Ni kutumia nguvu,dola maana Akili kubwa na Ubunifu hauhitajiki.Hata Nguruwe hutawala watoto wake zizini.Akizidiwa anaanza kuwatafuna.

Elimu ya Uraia: Kuna tofaouti kubwa kati ya KUTAWALA na KUONGOZA. Simply,Kutawala kunahitaji akili ndogo tu,KUONGOZA kunahitaji Akili kubwa ambao ndio upande wangu mimi ninayeungana na wengine kuwaondoa watawala!

Sasa wewe utakuwa nani ikiwa unatawaliwa na kuongozwa na mbumbumbu? Au sumu zimeshakudhuru?

Unataka kuwaondoa watawala ili nawe utawale? uwe mbumbumbu? Unanambia na Nyerere alitawala kwa miaka 24 nae ndie mbumbumbu mkubwa zaidi kwa kuwa katawala miaka mingi zaidi?

Hoja zako za kijinga kabisa.
 
Ben Saanane,
Kwa taarifa yako huijui Moshi, sio ya miaka ile ya wajinga
njoo leo Moshi uone vijana walivyojipanga.

Nguvu tulizonazo kipindi hiki hata uchaguzi wa Mbunge ufanyike
kesho CCM itashinda.

Usipende kutaja taja watu kisa tu unamjua, by the way wewe binafsi
una matatizo ya kutosha na familia yako.

Kaa kwenye mada/uzi sio unatoka toka nje kama.....

NKUU SINDE, Nduguyenu

Mkuu moshi ipi hiyo unayoielezea?
 
Mkuu Nape,
Hapa Moshi Chadema hawana chao. Wewe tuachie tupambane nao
mpaka mwisho, wala usipate taabu Katibu wangu.

Hata Moshi hawa jamaa hata kuendesha ofisi kunawashinda, maandamano
wataweza. Mkuu kwa nguvu ya vijana 2014/2015 utaona kazi.

Jaffary mwenyewe anapigwa vita sana kisa eti ni Mpare na hana hela
walizo zoea kuhongwa na babu...
 
ben nakupa pole sana wewe kwani unaakili gani zaidi ya kutumika hovyo kuwinda wenzako kwa mambo haramu kweli hiyo ndiyo akili ni vema ungejiangalia kwanza uone kama uko sawa ndipo useme zaidi.

Jibu hoja niliyochangia.Kama huwezi basi kaa pembeni.
 
ana mtawala nani???
Kwahiyo kwa akili yako ndogo unamaanisha Nape ndio genius kuliko watanzania wengine wote ambao hawana cheo kwenye chama chake???
Hahahahah
poor you!

"genius" ndio mdudu gani?
 
ben nakupa pole sana wewe kwani unaakili gani zaidi ya kutumika hovyo kuwinda wenzako kwa mambo haramu kweli hiyo ndiyo akili ni vema ungejiangalia kwanza uone kama uko sawa ndipo useme zaidi.

serikali ya ccm iliapa kuwalinda watanzania wote sasa inakuwaje ben anawawinda halafu serikali iko kimya...si ni bora tuiondoe haraka...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom