"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Mzee Mtei ni mkazi wa Arusha.
Get the facts before you distort the facts!
Wewe ni katibu mwenezi ..sitegemei kuona maandiko ya kilevi namna hii kutoka kwako.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Msome vizuri Nape Nnauye kaandika "anakotoka" sio anakoishi.

Who is "distorting the facts" here?
 
Last edited by a moderator:
Matusi, kejeli na
maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri
kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!

hivi wewe na Ben nani ana hoja za kitoto??? Ushawahi kuona Ben anapost propaganda za kitoto na kipuuzi kama hizi??
Yani siku ile ulipochaguliwa kuwa katibu wa itikadi na uenezi ndipo nilipoidharau zaidi ccm na kuamini kumbe nyinyi vilaza..!!
 
Leo usiku nimeota kuwa kulikuwa na kiongozi mkuubwa mwenye haiba ya ki-brother do ....mtu huyo alikuwa anaharisha na kutapika sana sana.

SASA NIMEPATA TAFSIRI YA NDOTO YANGU!!!!!NGOJA NIENDE GYM!
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Ujumbe wako unabeba hoja mfu sana ya ukabila na udini na sijui kwa nini huchoki na hizi hoja za kitoto zinazoendelea kuligawa hili Taifa
Kusema kwa nini maandamano hayafanyiki moshi ni kutaka kuwaaminisha wajinga wachache wanaokuamini kuwa moshi ni mji wenye wachaga wengi hivyo chadema(chama cha wachaga)hawatapenda wenzao waumizwe na kashikashi za jeshi la polisi na
Salaam yako kwa huyo unayemsema kijana wa chadema ya kumwambia Yesu Kristo asifiwe ni kuendeleza ujinga ule ule wa kusema wafuasi wote wa chadema ni wakristo
Hoja hii kwako mwenezi ni dhaifu sana na haikupaswa kuwekwa huku na mtu mkubwa hivyo kwenye chama
Ondoa hoja hii kwa heshima yako na kwa utengamano wa kitaifa

 
ni kweli tena familia ya watanzania, ipo mikoa yote! na tunafahamu pia kua CCM ni kundi la wafanyabiashara walanguzi

true!! Cdm ni familia inayojumuisha watanzania toka mikoa yote while CCM NI KUNDI LA WAUZA UNGA,,MAJAMBAZI NA WAUAJI MFANO HAPA NI MWIGULU
 
Pole kumbe hoja imekuwa OVERSIZE KWAKO!!!?!!! Basi waachie wenzio

nape wewe ni mwanasiasa ambaye hujui hata siasa yenyewe.!
Wewe ni mpayukaji na mropokaji..
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, na hii thread inadhihirisha hilo
 
Ben saa 8 umemuelewa Nape?
Mnacheza ngoma msiyoijua chadema
Rais jk anakubalika kuliko nyie
Siku akisimama kuwatolea uvivu mtapotea

Ben saa nane mtega sumu
Anazan anaweza kumfitinisha zitto na cdm
Kazi unayo
 
1:Usijaribu kututoa kwenye mjadala wa Katiba.Maandalizi ya Maandamano ya Upinzani Tarehe 10.10.2013 yanaendelea

Mswada unarudishwa bungeni.


Hii mbinu unayotumia ya propaganda ilishapitwa na wakati.Kuna mbinu mpya

Msome sana Carl Rove!

2:Uchaguzi ndani ya CHADEMA ni suala la kikatiba na halikuhusu.Uchaguzi ulifanyika 2009,miaka 5 inaisha mwaka 2014 kikatiba

3:Maandamano ya Nchi nzima 10.10.2013 yatajumuisha Mji wa Moshi.Kwahiyo jibu sahihi kwa kijana huyo ungemjibu kuwa yatafanyika Moshi tarehe 10.10.2013.
Pia CCM ndio Chama cha Upinzani Moshi kwa hiyo ungemjibu ni lini chama chako kitafanya maandamano.Acha kudanganya vijana huko mtaani.Waambie ukweli.

Good news kama umetambua umuhimu wa mazoezi leo.

NB:Mambo ya ndani ya CHADEMA hayakuhusu

.....Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini.....

Mnarudishiwa bungeni ili mkalimwe vizuri, hivi mkifikia kuupigia kura huko bungeni mna ubavu?

DJ alipoamua kutoka bungeni aliliona hilo. Nakushangaa mbeba sumu hilo hulioni na umemeza chambo, mshipi, ndoano na chubwi.

Sisi tunataka urudishwe bungeni leo kabla ya kesho, halafu tuone mtasusa tena? hapo ndipo mtakapowajuwa Watanzania.

Kuhusu maandamano mliyopanga si mnajuwa kama hamjayafanya "wafadhili" (CDU) watauliza zimetumikaje? "janja yake panya paka kwisha tambuwa".
 
Msome vizuri Nape Nnauye kaandika "anakotoka" sio anakoishi.

Who is "distorting the facts" here?
Hivi harakati za uhuru zilifanyikia butiama au Dar au Tabora?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Last edited by a moderator:
Cha muhimu kuliko vyote mwaka 2008 nilikuwa mmoja wa vijana tuliokuwa tunakusapoti wakati wakati unagombea M/mwenyekiti wa UVCCM. ulivyoenguliwa niliumia roho sana nikijua tumempoteza komredi lakini baada ya muda niligundua nini tatizo lako " UNAFIKI" heri wangekuua kabisa tuzike tujue haupo duniani kuliko damage unayofanya sasa ambayo imevuka mpaka kutoka kwenye chama chenu cha Wezi hadi serikalini sasa.
Hata mimi I had very high hopes na kijana huyu by then, not now!.

Ila pia kwa sisi baadhi yetu ambao ni watu wa amani, siungi mkono kumuombea binadamu yoyote kifo!. Huko ni kuwa "prophets of the doom!". Ndio maana japo sina chama, na CCM imeinajisi sana nchi yetu hii kwa miaka 50, iliyopita, bado siiombei CCM kifo, kwa sababu pamoja na mabaya yake yote, pia kuna mazuri CCM imelifanyia taifa hili!.
Pasco.
 
Ben saa 8 umemuelewa Nape?
Mnacheza ngoma msiyoijua chadema
Rais jk anakubalika kuliko nyie
Siku akisimama kuwatolea uvivu mtapotea

Te te teh... Umehamia huku arif? Unayumba sana ..kumbe unafuataga mihemko tu dah!
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

NI LINI UTAACHA KUENEZA UDINI NAPE?

NI LINI UTAACHA KUENEZA UKABILA?

Kumbuka ,''you can fool all the people for sometime and you can fool some of the people all the time but you cant fool all the people all the time'
 
Mkuu Nape, endelea kuyasubiria!.
Moshi ndio Ngome Kuu ya Chadema!, CCM hata mkikesha usiku na mchana kwa siku 360!, hamuitikisi, hivyo kwa maoni yangu, Moshi haihitaji kabisa maandamano ya Chadema!.

Hilo la uchaguzi wa ndani nalo neno!.

Kwa uzi huu, Mkuu Nape, kweli nimeamini, kuna watu wa CCM, hamlali kwa kuiwaza Chadema!, yaani Chadema inawakosesha kabisa usingizi, hadi mkikosa chochote cha kuandika, basi unaandika chochote tuu kuhusu Chadema ali muradi umeandika!.

Japo najua CCM mtashinda uchaguzi mkuu wa 2015! kwa mbinu zile zile, nilidhani huu sasa ni wakati wa kuendesha siasa za ukweli zaidi na sio ghilba kama kawaida!, CCM itaendelea kuchaguliwa kwa mazoea na sio kwa track record!, kama wewe ndio mmoja wa vinara, unakuja na uzi kama huu!, na hii mentality yako ndio mentality ya CCM as a whole!, please don't under estimates us that much!, ni vizuri, mkae mkijua, Watanzania wa leo, sio wajinga kama mnavyowadhania, hata kama CCM imekuwa madarakani kwa miaka 50 iliyopita na inataraji kuendelea kuwepo madarakani kwa miaka 50 mingine ijayo!, japo CCM has been fooling some people for sometimes, but you can't fool all the people, all the time!.

Pasco.
Uchaguzi ndani ya CHADEMA ni suala la kikatiba na halikuhusu.Uchaguzi ulifanyika 2009,miaka 5 inaisha mwaka 2014 kikatiba
sijui kwanini wanakomaa na uchaguzi wa CHADEMA? au kuna mgombea ndani ya CCM anataka kuja kugombea uenyekiti wa CHADEMA ?????????
 
-Akili ndogo ni ya kwako.Una akili gani kubwa ya kujadili suala lolote la kitaifa wewe ikiwa hata kozi yako shuleni hujawahi kuwa na uwezo wa kujifanyia assignment?

Katiba kupatikana Barabarani inawezekana.Hata Kenya,Afrika Kusini,Nigeria na Ghana zilipatikana Barabarani.Uwe unafanya tafiti kabla ya kuandika.

Ni mmoja katika viongozi wa chama kinachokutawala. Sasa ikiwa yeye hana akili, wewe unakuwaje?
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Nilijua sasa umeshakua na akili kumbe bdo unaendeleza akili zako za kuropoka. Kwa hyo umetafakiari kwa kina usiku kucha ukapeleka kwenye kamati mkashauriana ukaona hiki ndio watanzania wanapaswa kukifahamu. Kwa hyo hapo ndio unaeneza. Unasikitisha sana Nape na kukifedhehesha chama chetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom