"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Sasa wewe utakuwa nani ikiwa unatawaliwa na kuongozwa na mbumbumbu? Au sumu zimeshakudhuru?

Unataka kuwaondoa watawala ili nawe utawale? uwe mbumbumbu? Unanambia na Nyerere alitawala kwa miaka 24 nae ndie mbumbumbu mkubwa zaidi kwa kuwa katawala miaka mingi zaidi?

Hoja zako za kijinga kabisa.

Jifunze kuandika kiswahili.Neno 'UNANAMBIA' halipo kwenye kamusi.

Nani aliyekuambia Tunataka kutawala?Ni nani aliyekuambia kuwa Nyerere alitawala?
 
Hivi Arumeru kwa mzee wetu Edwin Mtei ni Moshi? Mimi au 'mtoto wa mwenge' ndo anachanganya?
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane,
Kwa taarifa yako huijui Moshi, sio ya miaka ile ya wajinga
njoo leo Moshi uone vijana walivyojipanga.

Nguvu tulizonazo kipindi hiki hata uchaguzi wa Mbunge ufanyike
kesho CCM itashinda.

Usipende kutaja taja watu kisa tu unamjua, by the way wewe binafsi
una matatizo ya kutosha na familia yako.

Kaa kwenye mada/uzi sio unatoka toka nje kama.....

NKUU SINDE, Nduguyenu


Ona huyu kilaza mwingine huku.... Ha hahahahah.... Labda kama unazungumzia moshi ya bagamoyo, lakini moshi ya kilimanjaro ninayoijua mimi huyo mbunge wa ccm labda ashinde na njaa ! Tena ukome kutusingizia vijana wa moshi... Inahitati akili ya maiti kuipigia kura ccm, moshi hakuna mwenye akili ya maiti kama hiyo yako!
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!


Narudia tena wewe akili yako ya kushikiwa ... Huna lolote vipi wale Magamba siku tisini bado? Subiri wazee wafe
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Kama hapa ndio kiongozi wa CCM umeamua kuanzisha mada basi hatuna haja ya kuwaacha madarakani maana tutaendelea kuwa maskini daima.
 
Umri wake ungekuwa haujaenda tungemshauri akajiunge na mashauzi classic manake huko pangemfaa! Sasahivi kazeeka sana labda afanye kazi ya kuwacheza mwali.. Hiyo ni saizi yake!
Tena inaelekea anakula ugoro uyo,kibibi hakina nidhamu hicho...
 
Tanzania ilipojikomboa kutoka kwa wakoloni hatukua na haja ya kujikomboa tena kipindi kile, tuliwasaidia wenzetu kujikomboa kutoka kwa wakoloni.
 
Mimi nasubiria hayo maandamano tu,kutachanganya sana humu,thread zikituletea livefeed motomoto kabsa ila safari hii itakua poa akina mbowe wawe frontline.
 
Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!

Ndo ccm wanamtegemea huyu mpaka carolite!!! Hangaika kumtafuta baba yako we mhamiaji haramu
 
Mkuu Nape,
Hapa Moshi Chadema hawana chao. Wewe tuachie tupambane nao
mpaka mwisho, wala usipate taabu Katibu wangu.

Hata Moshi hawa jamaa hata kuendesha ofisi kunawashinda, maandamano
wataweza. Mkuu kwa nguvu ya vijana 2014/2015 utaona kazi.

Jaffary mwenyewe anapigwa vita sana kisa eti ni Mpare na hana hela
walizo zoea kuhongwa na babu...


Hahahahhah... Jinga kabisa wewe! Wewe uko ccm umewezaje kujua kuwa chadema imeshindwa kuendesha ofisi wakati sio chama chako? Natamani uchaguzi ungekuwa unafanyika kesho ili tuwaonyeshe kuwa moshi sio wajinga kama unavyojidanganya! Mpe moyo katibu wako!
 
Wewe bora ukae kimya kabisa.Si uliapa kwamba utampinga Kikwete hadharani ikiwa hatasaini Msada?Hivi kiongozi mzima UVCCM ndiyo hoja yako katika thread hii?

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/530964-sadifa-mlaki-mwampamba-mwaulan-ga-na-asenga-jk-asipoweka-sahihi-mswada-wa-tutampinga-hadharani.html
Mkuu Ben hao njaa inawasumbua na Jk anajua hao wanaishi kwa msaada Lumumba,wampinge wataishi vp,teh teh teh Jk kawageuka waganga njaa na ukitaka kujua njaa mbaya na nimisukule leo wamesahau walisema watampinga teh teh teh
 
Ni aibu kijana kutumia nguvu na akili yako kupinga ukweli na mabadiliko.iwapo umsomi unareason hivyo inasikitisha.kwani wazee wakati anaikomboa aliungwa mkono na wazee tu ambao walimtambika kwakuwajali wazalendo.lakini wewe na wanazi wenzio mnapotosha umma kwakuwakinga mabeberu mpore mali ya nchi nakujinufaisha.propaganda ziliwashinda warumi leo wapo wapi?
 
Mi nshasema siku zote kwamba Nappe ww ni mgonjwa wa kufikiri! Yaani ni bora mtoto mchanga akisikia mabadiliko ucku analia mpaka wazazi wanaamuka! Yaani mwili nikama umekufa ganzi au kama mfu aliyoko chumba cha maiti asiye ona mabadiliko! Unalipwa kuongea mandazi,na unatumika vibaya! Lakini nilikuwa nawaambia watu historia inajirudia! Angalia husije ukafa kama baba yako,sijui baba yako wakambo! Make nimeambiwa ulienda kutafuta wazazi! Au unataka Mtei atangaze kwamba ni babayako?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
moderators, hii mada ina kila element za kuwagawa watanzania kikanda na kikabila, huu ni uchochezi wa kuwagawa na kuwajengea chuki watanzania dhidi ya watu wa sehemu/eneo fulani la Tanzania

nitashangaa nikiona hii.mafa ikiendelea

mada kama hizi ni hatari sana kwa amani ya watanzania na zinaweza kuiponza forum hii yetu ya JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom