"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

1.Mkuu kwa mtu mwenye akili kubwa kama ww ataoamini uzi wako,
Mm ninayetumia nywele kufikiri kama werema uzi wako ni waupotoshaji kama kweli ni Nape wa ukweli,
tulishakusikia ukiuliza swali hilo kwenye mikutano ya hadhara hivyo kusema kijana kakuuliza ni danganya toto ww ndo umetunga hii thread.

2.Maandamano ya 10/10/13 hayajaandaliwa na cdm tu bali vyama vitatu[unavijua vizuri sana maana jangwani ulikuwepo]
3.Uchaguzi ndani ya cdm soma katiba yao au muulize Myika-unataka kujua ili uweke mapandikizi yenu?[kumbe mtu ukunyima habari anahangaika hivi.ww uenezi wako uligombea na ukachaguliwa au ulipewa kama fadhila?
Au una uliza wa cdm unataka kuchukua fomu ya kugombea nafasi gani wakati ukifika?nimekustukia pandikiza mgogoro mwingine wa akina Shoza ulishindwa.

End does not justify the means=Hoja sahihi kwa mtu sahihi kwa wakati sahihi.
 
Tumeshuhudia maandamano yakifanyika Mbeya Iringa Arusha Dsm na Wilaya nyingi pamoja na Mwanza lakini ktk majimbo ya HAI kwa Mh Mbowe sambamba na jimbo la Moshi mjini kwa Mzee Ndesamburo hakunaga huu ujinga wa maandamano.......

Sasa nauliza maeneo hayo wataandamana LINI?
 
Wachaga wanafanya kila njia kuifanya Moshi kuwa salama ili watalii waendelee kuvutiwa na vivutio vya mkoa wao.
 
Moshi wako busy na Biashara,na jumamosi watakua Memorial mnadan tu wanatafta hela....hivyo viroba vyenu viishie huko huko
 
Moshi kazi ya ukombozi tulishaimaliza.w/viti wa mitaa ni cdm,madiwani 17 kati ya 21 ni cdm,mbunge cdm,manispaa ya cdm.
 
Wakat moshi na hai tunapigwa mabom miaka ya mwanzo ya vyama vingi ninyi mlikuwa mmelala usingiz wa pono.ni zam yenu sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom