"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Tukiacha kushiriki kwenye siasa tunatoa nafas ya kuongozwa na watu wa sampuli hii yako wewe brother,

Najaribu sana kufikiri ni wew umeandika maneno haya??nin maana yako,au mantiki yako ya kuandika BWANA YESU ASIFIWE??kuumiza hisia za watu au kueneza propaganda na choko choko za kdini??

Kwa kias kikubwa nchi hii huharibiwa na wanasiasa tena wenye maono na upeo kama wa kwako,

NI AIBU SANA KUSOMA MENENO YALIKOSA WELEDI KAMA HAYA,TOO LOW...

I concur with you !
 
LOL!!!! Muweweseko unazidi kupamba moto mpaka unakuja na hadithi za kutunga....Chezeya nguvu ya umma weye!!!! Tengenezea na sinema basi uipeleke Hollywood lazima unaweza kuambulia Oscar nomination.

Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
 
Nape Nnauye,

Nini mantiki ya jibu lako la BWANA YESU KRISTO ASIFIWE??

Kauli hizo ni za kichochez na kupungukiwa kwa hekima na maono ya mbali,pishi la ujinga hapo limepitiliza na linakuja kusababisha madhara makubwa sana kwa jamii...
 
Last edited by a moderator:
Mtakuja kwa njia moja mtasambaa kwa njia saba! Kama nawakera kiasi hiki basi nafanya kazi yangu vizuri sana! You made my day!

Mkuu mabomu na risasi za moto hazitatumaliza wote, hata nikifa mimi na wenzangu wapo makamanda wanakuja kila siku. Time will tell!
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

nape wewe n kati ya mbumbumbu wachache mliobakia katika nchi hii, huna lolote zaid ya kup4a kelele
 
Kaa pembeni shetani na fatani mkubwa wewe! Nape, Mohamedi Saidi na wewe hamsitahili kuishi katika nchi hii. Laana za wazazi wenu lazima zitakuja kudhihilisha hili. Maneno yenu ni sawa na sumu kali ya nyoka dhidi ya utaifa wa nchi yetu! I wish i had a gun in my hands!

Wewe nna uhakika unauguwa ule ugonjwa wa Tundu lissu. Hauponi ule.
 
Nape Nnauye,

Nini mantiki ya jibu lako la BWANA YESU KRISTO ASIFIWE??

Kauli hizo ni za kichochez na kupungukiwa kwa hekima na maono ya mbali,pishi la ujinga hapo limepitiliza na linakuja kusababisha madhara makubwa sana kwa jamii...

Anajulia wapi huyo kilaza? Hajui madhara ya anachojaribu kukiweka humu.. Anafikiri udini ni jambo zuri
 
Last edited by a moderator:
Nape Nnauye,

Nini mantiki ya jibu lako la BWANA YESU KRISTO ASIFIWE??

Kauli hizo ni za kichochez na kupungukiwa kwa hekima na maono ya mbali,pishi la ujinga hapo limepitiliza na linakuja kusababisha madhara makubwa sana kwa jamii...

Alichokuwa anataka kuwaaminisha wachache wanaomwamini ni kuwa Chadema ni chama cha wachaga na ni chama cha wakristo ndo maana ya kutaja Moshi na kumpa huyo kijana salaam inayotumiwa na Wakristo.
 
Bi mkubwa mapovu ya nini? kama unaushahidi kuhusu sumu mbona hujaupeleka polisi chombo chenu ili wamshughulikie huyo dogo? Naona huna hoja hapa zaidi ya ufatani wa mzee mwenzio Mohamed Said!

Kipofu haachi gongo lake.
 
Alichokuwa anataka kuwaaminisha wachache wanaomwamini ni kuwa Chadema ni chama cha wachaga na ni chama cha wakristo ndo maana ya kutaja Moshi na kumpa huyo kijana salaam inayotumiwa na Wakristo.

Hana adabu huyu,tukimwacha aendelee hivi kesho atakuja tena na story zake za kutunga kisha aje huku Mtwara au zanzibar mwshowe azungumzie hoja za CUF na kuingiza kauli kama Tumswalie MTUME MOHAMMADY S.A.W,,

Hawafai watu wenye maono kama haya,tuwakemee na kuwakaripia,wachochezi na hiviyo,

Shame on him...!!
 
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"![/QUOTE]
Yesu kristo kafanyaje tena?
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Nape kuna kila dalili uliugua sana utotoni. Akili yako mbovu kabisa. Ya chadema yanakuhusu nini? unaacha kushughurika na kundi la Lowasa unarukia ya chadema. Uwapo jukwaani ni chadema, ulalapo ni chadema, uwapo chooni ni chadema, lo! nakuchukia sana. Halafu jifunze kutumia sauti ya kawaida uwapo jukwaani, acha kupayukapayuka ovyo. Najua bado hujafikia level ya uchizi (japo unakaribia huko).
 
Unajitisha mwenyewe tu..
wewe si unatembea na tindikali tulikaa mbali.

Ila ukija tena fanya utafiti kidogo tu:
Tembelea ofisi za uvccm wilaya zote na za mkoa angalia miradi na
programu walizonazo kwa vijana wenzao wa Moshi na mkoa
then rudi katika vibanda vyenu kule majengo
na kwingineko utaona aina ya siasa tunazofanya mkuu.

Siku CDM wakikupa uongozi wowote nitashangaa sana, huna "ethics"
hivi unaweza kujilinganisha na Mnyika wewe??

Mpaka leo hii sioni kipya kwako. Hebu pata picha JF ikifungwa leo
wapi utakaposikika tena??? Na kwa kipi??
Huyo Nape kila siku unamtizama kwenye TV yako na familia yako wewe je???

Mkuu hebu jipange<> usiwe kama Josephine.......si unajua naye anapenda JF ili kupata umaarufu.

Hadija kopa pia tunamtizama kwenye tv kila siku..ila we mwenyewe ukimsikikiza nape lazima utaona weakness yake ilipo, hana uwezo wa kuchambua mambo kumzidi kamanda yoyote wa CDM, kuropoka anaweza hawezi ku think critically kabla ya kuongea
 
Chadema, maandamano hayawezi kuwasaidia fuateni ushauri wa rais Kikwete.
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Wakati mwingine uwe unafikiria kwanza hata kabla hujaleta post(s) zako hapa. Kama kweli uko very concern na uchaguzi wa CHADEMA, kwa nini husingemuuliza mwanachama hai wa CHADEMA kuliko kumuuliza Shabiki wa kufa wa chama husika? Shabiki wa kufa wa chama hata hajui ada ya mwananchama ni kiasi gani as hajawahi ku-participate kwenye zoezi kama hilo, sembuse kujua uchaguzi wa chama!!

Ni vema ukae chumbani kuwangalia TV aka uko bored kuliko kuleta post(s) ambazo hazina mkia wala kichwa.
 
Hivi ww ni kiongozi wa juu wa chama?? Tena chama tawala?? Unanikumbusha nilipokuwa std 4 mwalimu akiacha zoezi gumu basi badala ya kufanya tunaanza kuhadithiana hadithi za alfu lela ulela,,,, ukiona maisha yanakuwa magumu kila kona lazima ujichekeshe mwenyewe ili uongeze cku.moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom