sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
....and what is this, "Inteigently"....! Mweh,CCM!
BIG RESULTS NOW! Hahahahaha na ya nini avunjike ulimi kwa kujikakamua kuandika lugha za watu zilizokuja kwa ndege? Mweh mweh mweh!
....and what is this, "Inteigently"....! Mweh,CCM!
Tuko pamoja 😛eace: kamanda ben saa8.kijana msomo mwenye utu na uzalendo.Makamanda mlioko humu msikubali kutoka nje ya mada.Hapa tunawapa haki yao na kule kwenye mijadala ya Katiba tunaendelea kuwapa elimu ya Uraia.
- Yaaani ujumbe umefika kama ulivyotakiwa u know!! daaaamn!1, I mean kwa kawaida binadam akipigwa na kitu chenye ncha kali sana huweweseka kwanza baada ya kupoteza balance, haiwezakani hoja zikajibiwa na this kind of words ina maana moja tu kuwa ujumbe umefika sawa sawa pale ulipolengwa!!
Le Mutuz
Mbona nashindwa Kuelewa ni nani Hapo Mwenye Kejeli?Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!
We bibi tulia nyumbani huna wajukuu unahangaikangaika kama kuku anaetaka kutaga,macho yenyewe hayo ya fundi saa...Halafu mtu kama wewe ndio unategemewa kuwa kiongozi wa chadema. Kweli misukule mpo wengi.
Wewe utaendelea kuwa mbeba sumu tu, uwafanyizie wenzako humohumo ndani, Naona wote wanakuogopa hawanywi wala kula meza moja na wewe.
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Kwani chadema ni chama cha siasa? Ile ni kampuni ya wanafamilia..

Bi mkubwa mapovu ya nini? kama unaushahidi kuhusu sumu mbona hujaupeleka polisi chombo chenu ili wamshughulikie huyo dogo? Naona huna hoja hapa zaidi ya ufatani wa mzee mwenzio Mohamed Said!Ungechukuwa muda kutafakari ni nini maana ya kubeba sumu, kama walio kubebesha hawataki kutawala.
Halafu kuhusu Nyerere ungejifunza ni nini maana ya udikteta.
Wewe bado ni kinda sana kwenye hii mijadala.
Usitake kucheza na maneno hutoniweza. Isitoshe, kamusi sio Qur'an na ndiyo maana huwa zina "revisions" mara kwa mara. Upo hapo ulipo. Kiswahili ni lugha yangu mama si lugha ya kufikia kama wewe.
Nionyeshe hata kiongozi mmoja wa chama chako ambae ni kichwa kama Ben Saanane... Kuanzia mwenyekiti mpaka wanachama wote mna akili za maiti!
Mwambie Mwigulu aache kutembea na mabomu
Kaa pembeni shetani na fatani mkubwa wewe! Nape, Mohamedi Saidi na wewe hamsitahili kuishi katika nchi hii. Laana za wazazi wenu lazima zitakuja kudhihilisha hili. Maneno yenu ni sawa na sumu kali ya nyoka dhidi ya utaifa wa nchi yetu! I wish i had a gun in my hands!Huo udini uko wapi? au mnaogopa kwa kuwa mnajuwa kuwa kanisa lilikuwa upande wa watawala? msiiogope historia, historia ndio njia pekee ya kujijuwa mlikuwa wapi, mpo wapi na mnaelekea wapi.
Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!
Sasa Mhe.Diwani Ukimjua mtu ukilaza wako Unaondoka?