"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Ccm kwa kuwa na Nape na Mwigulu ni hasara zaidi ya kuwa na Mwenyekiti kama Kikwete!
 
Bosi mimi sijaelewa vizuri
kichwa cha habari "Nasubiri kwa hamu maandamano ya Chadema Moshi"!
Habari yenyewe, mikutano ya chadema na uchaguzi wa chama. !!!

unasubiri kwa hamu maandamano ya chadema kwa maana na sababu zipi!!!! ??? yanakuhusu husu vipi!!! ??? au umepanga kufanya nini kwenye maandamano hayo.

Tafadhali! kunawajomba zetu wapo huko bwana....... tukisikia, Oooo chadema wamejilipua kwa bomu...... Oooo katekwa kakatwa miguu! Sisi tunaanza na wewe halafu yule mwenye kibaraghashia cha fidelcastro atafata.

Nimejitahidi kumsoma sikumwelewa mleta hoja. Kichwa cha habari tofauti kabisa na alichoandika kwenye habari. Halafu anasema ni katibu mwenezi, nashindwa kumwelewa. Mwenezi wa siasa hizo za maji taka? Anajua maandamano tunayafanya ya nini? Mwambie Moshi ni yeye anatakiwa afanye maandamano si cdm.
Pili nakuunga mkono sana mkuu. Anatafuta tarehe ya nini? Kama ni ili atume hao al-shabab wake kuja kulipua kule, Moshi ni zaidi ya Assenga na Mwingulu.
Pia ndoto yake ya kuleta ukabila na udini wake na ukanda wake Chadema wameshamwelewa wala hawana presha na yeye. Mtwara tumeingia mpaka Mbambabay, Kigoma, Bukoba mpaka Masasi, Juzi tumeingia Pemba, ukanda tumeumaliza na udini tumeumaliza. Alete kingine.
Uchaguzi hatuufanyi kwa shinikizo la Nape Mnyauye, tunafuata katiba. Anategemea kuweka mapandikizi yake yaje kuchafua chama, atangojea saana atii.
 
Halafu mtu kama wewe ndio unategemewa kuwa kiongozi wa chadema. Kweli misukule mpo wengi.

Wewe utaendelea kuwa mbeba sumu tu, uwafanyizie wenzako humohumo ndani, Naona wote wanakuogopa hawanywi wala kula meza moja na wewe.

1:"Sasa hivi hali inatisha.Hadi watu wanaogopa kuachiana glasi ya maji mezani" Hayo ni maneno ya Jakaya Kikwete kuelezea jinsi chama chenu kilivyojaa wauaji na wanafiki.

Mwenyekiti wa Chama alikiri kuwa CCM ni chama cha wauaji.Rais na amiri jeshi mkuu alikiri kywa CCM ni mkusanyiko wa watu wasioaminiana ambao wabaweza kuuana muda wowote kwa kuwekeana sumu.

2:Nastahili kutegemewa kuwa kiongozi wa CHADEMA kutokana na falsafa ya kusema ukweli na kupambana na ufisadi.Kufanyiwa Assignment Chuo kikuu nao ni ufisadi wa elimu katika kipindi hiki tunachopambana na wizi wa mitihani na jitihada za kuboresha sera yetu ya elimu.Mianya kama Hii CHADEMA tumedhamiria kuiziba .Ndiyo maana nastahili kuwa kiongozi wa kutegemewa wa CHADEMA kwa kuzingatia falsafa na itikadi yetu
 
Mkuu Ben Saanane umetishaaaaa,

Hahaahaaa hivyo vitasa unavyompa mtoto wa mbio za mwenge vinatoshaaaa!
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
hii ni kutoka OXFORD ADVANCED LEARNERS DICTIONARY

  • [h=3]bas·tard[/h]/ˈbastərd/

    [TABLE="class: vk_txt ts"]
    [TR]
    [TD][COLOR=#878787 !important]Noun[/COLOR]
    [TABLE="class: ts"]
    [TR]
    [TD]A person born of parents not married to each other.[/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]

    [/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD][/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD][COLOR=#878787 !important]Adjective[/COLOR]
    [TABLE="class: ts"]
    [TR]
    [TD]Born of parents not married to each other; illegitimate.[/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]

    [/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD][/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD][COLOR=#878787 !important]Synonyms[/COLOR]
    [TABLE="class: ts"]
    [TR]
    [TD]illegitimate - spurious - misbegotten[/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]

    [/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]
 
nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"kaka nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, dar,mwanza, arusha na nimesikia wanakwenda mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa chadema mzee mtei?!!!"
nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "bwana yesu kristo asifiwe"!
big results now
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Kweli wewe ni Chaka mna siasa za kijinga sana .Watanzania wa sasa si wale kuongopea na Khanga kaka .Amka you are aboive that unajivika ujuha wa nini ?Ama kweli ukisha jikoboa uso na akili inakuwa na rangi ya mkorogo .
 
sijawah kuona mwanasiasa mwenye akil za kibaguz hapa tanzania kama nape....ni ujingaaa..im sory to say this, cjui wewe na mke wako huwa mnazungumza nin..ndo maana ulpata F za kukutosha 4m4...
lengo lako ni kutaka kusema cdm ni ya mosh na wakrist..pole xana..kwa taarifa yako hata makada wa muda mref wa CCM wanakuona kama kikalagosi...bendera fuata upepo....

unataka CDM wafanye maandamano mosh kwa lip? we c unajua sabab za maandaman ya arusha? au umejitoa ufaham? mwanza na vile vile mbeya?

kuna msemo..dont play with pigs, u both get dirty and the pig likes it!!!!
nawaasa vijana wa CDM wakuache mpaka cku up..mbv wako utakapokuisha...maana pombe ya ubaguz ndo imetawala damu yako..!
 
What a shame! Hujisikii vibaya Ndugu Nape kuleta chokochoko za UKABILA katika mambo ya KITAIFA?? Kwani Mr. Mtei kuwa mwanzilishi wa Chama ndio kukifanya mali yake hadi ulete hoja ya mtazamo wa chini jinsi hii?
Hivi wewe unaweza leta utani kwa vitu vya hovyo hivyo wakati Watanzania wanakufa kwa umaskini, magonjwa, vijana kukosa ajira, hali ngumu ya maisha!! I wonder how did you qualify for that post in CCM???

Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
 
.......Sijui lakini uhuru wa kuongea una mipaka..pia mawazo yanaweza kuwa na maana ya kufikisha ujumbe kwa namna moja au nyingine ili kuelezea kitu unachotaka kukisema lakini unashindwa jinsi ya kukielezea au kukianzisha kwa maana hiyo hata ukizusha ni pia tu umewasilisha......waswahili wanasema message send na wengine wanamalizia message delivery ?? !!!!!!
 
Ukitoka kwenye mjadala wa katiba itakuwa ni kwaajili ya akili ndogo tu sio kwa hoja hii! Kila lakheri wote mnaoamini sheria inabadilishwa au kurekebishwa barabarani. Karibuni bungeni ambapo watanzania waliamua 74% wawe wabunge wa CCM!
Nape, waliposusia bunge wapinzani wanaccm badala ya kujadili katiba walianza kuimba taarab na mipasho mistari ya kukandia chadema tu. Hawakufanya contribution yoyote ya maana. Ndio maana jk ameona lazima hii kitu irudi bungeni kuweka mambo sawa. Au unasemaje?
 
1:Usijaribu kututoa kwenye mjadala wa Katiba.Maandalizi ya Maandamano ya Upinzani Tarehe 10.10.2013 yanaendelea

Mswada unarudishwa bungeni.

Hii mbinu unayotumia ya propaganda ilishapitwa na wakati.Kuna mbinu mpya

Msome sana Carl Rove!

2:Uchaguzi ndani ya CHADEMA ni suala la kikatiba na halikuhusu.Uchaguzi ulifanyika 2009,miaka 5 inaisha mwaka 2014 kikatiba

3:Maandamano ya Nchi nzima 10.10.2013 yatajumuisha Mji wa Moshi.Kwahiyo jibu sahihi kwa kijana huyo ungemjibu kuwa yatafanyika Moshi tarehe 10.10.2013.
Pia CCM ndio Chama cha Upinzani Moshi kwa hiyo ungemjibu ni lini chama chako kitafanya maandamano.Acha kudanganya vijana huko mtaani.Waambie ukweli.

Good news kama umetambua umuhimu wa mazoezi leo.

NB:Mambo ya ndani ya CHADEMA hayakuhusu

.....Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini.....

Duh it seems Nape has touch a raw nerve in you Brother, kama ni unafiki hiyo ndio what siasa stands for, I hope you will learn to tolerate oppositions tactics, and be able to counter attack inteigently
 
Namuomba Mungu usiku na mchana anisaidie nisiwe na akili kama makada wa ccm. Nape hiyo mbinu unayoiona ni mpya kwako wenzako walikwishaijaribu ikafeli. Udini, ukabila na ugaidi vyote vimekwishafeli ndugu yangu, wewe sasa unajaribu kuwahadaa watu kwa tofauti ya mikoa walikotoka? Hiyo mbinu ni dhaifu na mwasisi wake si wewe bali nii Abdalah Bulembo yule mwenyekiti wenu wa jumuiya ya wazazi na haikumsaidia chochote. Labda nawe uasisi mbinu yako mpya ya kuwagawa watu kutokana na vimo (urefu na ufupi) vyao. Sijui kama nayo itakusaidia.
 
Duh it seems Nape has touch a raw nerve in you Brother, kama ni unafiki hiyo ndio what siasa stands for, I hope you will learn to tolerate oppositions tactics, and be able to counter attack inteigently

Nape amekutuma umjibie... Acha umbea na unafiki
 
1:Usijaribu kututoa kwenye mjadala wa Katiba.Maandalizi ya Maandamano ya Upinzani Tarehe 10.10.2013 yanaendelea

Mswada unarudishwa bungeni.

Hii mbinu unayotumia ya propaganda ilishapitwa na wakati.Kuna mbinu mpya

Msome sana Carl Rove!

2:Uchaguzi ndani ya CHADEMA ni suala la kikatiba na halikuhusu.Uchaguzi ulifanyika 2009,miaka 5 inaisha mwaka 2014 kikatiba

3:Maandamano ya Nchi nzima 10.10.2013 yatajumuisha Mji wa Moshi.Kwahiyo jibu sahihi kwa kijana huyo ungemjibu kuwa yatafanyika Moshi tarehe 10.10.2013.
Pia CCM ndio Chama cha Upinzani Moshi kwa hiyo ungemjibu ni lini chama chako kitafanya maandamano.Acha kudanganya vijana huko mtaani.Waambie ukweli.

Good news kama umetambua umuhimu wa mazoezi leo.

NB:Mambo ya ndani ya CHADEMA hayakuhusu

.....Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini.....

umemaliza mkuu!
 
Kweli wewe ni Chaka mna siasa za kijinga sana .Watanzania wa sasa si wale kuongopea na Khanga kaka .Amka you are aboive that unajivika ujuha wa nini ?Ama kweli ukisha jikoboa uso na akili inakuwa na rangi ya mkorogo .

- Yaaani ujumbe umefika kama ulivyotakiwa u know!! daaaamn!1, I mean kwa kawaida binadam akipigwa na kitu chenye ncha kali sana huweweseka kwanza baada ya kupoteza balance, haiwezakani hoja zikajibiwa na this kind of words ina maana moja tu kuwa ujumbe umefika sawa sawa pale ulipolengwa!!

Le Mutuz
 
Duh it seems Nape has touch a raw nerve in you Brother, kama ni unafiki hiyo ndio what siasa stands for, I hope you will learn to tolerate oppositions tactics, and be able to counter attack inteigently

....and what is this, "Inteigently"....!? Mweh,CCM!
 
Halafu mtu kama wewe ndio unategemewa kuwa kiongozi wa chadema. Kweli misukule mpo wengi.

Wewe utaendelea kuwa mbeba sumu tu, uwafanyizie wenzako humohumo ndani, Naona wote wanakuogopa hawanywi wala kula meza moja na wewe.

Nionyeshe hata kiongozi mmoja wa chama chako ambae ni kichwa kama Ben Saanane... Kuanzia mwenyekiti mpaka wanachama wote mna akili za maiti!
Mwambie Mwigulu aache kutembea na mabomu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom