"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Kinacho NIFURAHISHA NI KUWA PAMOJA NA KUSHINDANA KUMTUKANA NAPE HAPA THREAD HII KWA MUDA MFUPI IMEFIKISHA WACHANGIAJI 300 WAKATI ILE YA BABU KUPOKELEWA USA MPAKA SASA PAMOJA NA KULAZIMISHWA SANA INA WACHANGIAJI 150!
Mytake
Dogo anawasumbu sana M4C!
 
Nepi acha kuweweseka utakufa kwa presha bure..na ulivyo mnene kama tembo.hebu tulia mpini ukuingie vizuri....kwani nani aliyekutuma ulete thread ya kimipasho? Tulia usiweweseke.
 
Kinacho NIFURAHISHA NI KUWA PAMOJA NA KUSHINDANA KUMTUKANA NAPE HAPA THREAD HII KWA MUDA MFUPI IMEFIKISHA WACHANGIAJI 300 WAKATI ILE YA BABU KUPOKELEWA USA MPAKA SASseeA PAMOJA NA KULAZIMISHWA SANA INA WACHANGIAJI 150!
Mytake
Dogo anawasumbu sana M4C!
Aisee...hapo ndio kiwango chako cha kufikiri kilipofikia? Una mawazo mgando wewe.haya nenda kwa nepi akupe buku 7
 
Kinacho NIFURAHISHA NI KUWA PAMOJA NA KUSHINDANA KUMTUKANA NAPE HAPA THREAD HII KWA MUDA MFUPI IMEFIKISHA WACHANGIAJI 300 WAKATI ILE YA BABU KUPOKELEWA USA MPAKA SASA PAMOJA NA KULAZIMISHWA SANA INA WACHANGIAJI 150!
Mytake
Dogo anawasumbu sana M4C!
Hueleweki! anawasumbua au anasumbuliwa?
 
Wewe nna uhakika unauguwa ule ugonjwa wa Tundu lissu. Hauponi ule.
Wagonjwa ni wewe na hawara yako Mohamed Said! na kwa taarifa yenu watanzania tutendelea kuwa wamoja, nyie na akili zenu za maafa lazima mtasalimu amri mashetani wakubwa nyie!
 
elewa ya kwamba maandamano hayatafanyika mbeya tu bali na yanchi mzima hauna jipya magamba sasa hivi mnazidi kuchemka tu kila siku
 
Wagonjwa ni wewe na hawara yako Mohamed Said! na kwa taarifa yenu watanzania tutendelea kuwa wamoja, nyie na akili zenu za maafa lazima mtasalimu amri mashetani wakubwa nyie!
Teh teh teh povu linatoka ovyo na bado.
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Mbona hujasema tumswalie mohamedi?
Dini ya wakristu inadharaliwa sana. Hata kwenye mambo ya kipuuzi, Yesu anageuzwa kioja au kijeli.
 
Nepi hivi ule mpango wa kuvuana magamba uliishia wapi? Zile siku 90 bado tuu hazijaisha?
 
Nepi hivi ule mpango wa kuvuana magamba uliishia wapi? Zile siku 90 bado tuu hazijaisha? Pia ulifanikiwa kupata familia yako???
 
Mbona hujasema tumswalie mohamedi?
Dini ya wakristu inadharaliwa sana. Hata kwenye mambo ya kipuuzi, Yesu anageuzwa kioja au kijeli.
huyu nepi ana laana, pia upstairs hakuko sawa... lina umri mkubwa ila akili za kitoto
YESU HACHEZEWI.Eti huyu nae ni kiongozi anayetegemewa na magamba
Majanga...majanga
 
Ni aibu kubwa chama kikongwe kama CCM kuwa na katibu mwenezi anayefikiri kwa namna hii; Kweli katibu mwenezi wa CCM analeta hadithi za kombolela? CCM kwishinee!
 
Mkuu Nape,
Hapa Moshi Chadema hawana chao. Wewe tuachie tupambane nao
mpaka mwisho, wala usipate taabu Katibu wangu.

Hata Moshi hawa jamaa hata kuendesha ofisi kunawashinda, maandamano
wataweza. Mkuu kwa nguvu ya vijana 2014/2015 utaona kazi.

Jaffary mwenyewe anapigwa vita sana kisa eti ni Mpare na hana hela
walizo zoea kuhongwa na babu...

"mambo ya kuchambia msumeno wa kukatia mbao umeanza lini?"Kama Jarrafy mpare iweje achaguliwe na wachaga tena?acha ukabila fanya siasi idiot,sorry
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom