"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Ben saa8 , ni mwiba mkali na mchungu sana kwa magamba.
 
Mkuu Ben hao njaa inawasumbua na Jk anajua hao wanaishi kwa msaada Lumumba,wampinge wataishi vp,teh teh teh Jk kawageuka waganga njaa na ukitaka kujua njaa mbaya na nimisukule leo wamesahau walisema watampinga teh teh teh

Hahaha.Wanafiki hawana aibu kweli.Vijana....!
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Huyu ndiye katibu mwenezi wa Chama Cha Masogange(CCM)...kashapiga madawa sasa akili imeanza kuchanganyikiwa.
 
Kama jk yuko over 60 lakini bado anaitwa rais kijana itakuwaje kwa mimi ambae niko under 30???

Tuambie unazungumzia moshi ipi hapa? Muongo mkubwa wewe... Unamdanganya katibu wako mchana kweupe hivi?

sweetlady,

Huyo kijana unamuonea tu.Anachojua ni Mishikaki ya Monduli tu , Masuala mazito ya kitaifa hayamuhusu!
 
Last edited by a moderator:
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Ndugu Nape, ulikuwa na kitu cha kusema , lakini hujakisema! Hayo uliyasema unakuwa kama mtu wa mtaani tu asiye na ufununu wa siasa, au hata mambo ya kijamii yanavyokwenda.
Kwa post hii, huna tofauti na kijana wa kubuni uliyekutana naye
 
Simlaumu Nape ni laana ya kukataliwa na famili.
 
Tangu lini ikaendeshw imekuwa gari.nyie hizo ofisi pamoja na viwanja mmetupora wananchi.na bado mwapora rasilimali zaidi na kupeleka nje ya nchi.lakn mwisho wenu unakuja kama dola ya Rumi
 
Mwezi April mlinitisha nisije Moshi mkaenda kwenye ziara ya Chama chako Rombo,Nikaja na nikawajeruhi vya kutosha.Ile ni rasha rasha tu.Huna ubavu wa kukabiliana nami iwe kwenye Keyboard, Jukwaani au Studio kwenye midahalo.Muulize Katibu wako wa Itikadi na Uenezi.

Yupo hapa ukweli anaujua!

Unajitisha mwenyewe tu..
wewe si unatembea na tindikali tulikaa mbali.

Ila ukija tena fanya utafiti kidogo tu:
Tembelea ofisi za uvccm wilaya zote na za mkoa angalia miradi na
programu walizonazo kwa vijana wenzao wa Moshi na mkoa
then rudi katika vibanda vyenu kule majengo
na kwingineko utaona aina ya siasa tunazofanya mkuu.

Siku CDM wakikupa uongozi wowote nitashangaa sana, huna "ethics"
hivi unaweza kujilinganisha na Mnyika wewe??

Mpaka leo hii sioni kipya kwako. Hebu pata picha JF ikifungwa leo
wapi utakaposikika tena??? Na kwa kipi??
Huyo Nape kila siku unamtizama kwenye TV yako na familia yako wewe je???

Mkuu hebu jipange<> usiwe kama Josephine.......si unajua naye anapenda JF ili kupata umaarufu.
 
Ndugu Nape, ulikuwa na kitu cha kusema , lakini hujakisema! Hayo uliyasema unakuwa kama mtu wa mtaani tu asiye na ufununu wa siasa, au hata mambo ya kijamii yanavyokwenda.
Kwa post hii, huna tofauti na kijana wa kubuni uliyekutana naye

Akili yako na picha uliyoweka hakuna tofauti...
Hivi bado hujaondoka kwa shemeji yako mpaka leo???
 
CHDEMA NDIO BABALAO!
#~~~Mji wa Moshi CCM ndio chama cha upinzani na ndio wanatakiwa waandamane na kugoma kama walivyofanya kule arusha
 
Unajitisha mwenyewe tu..
wewe si unatembea na tindikali tulikaa mbali.

Ila ukija tena fanya utafiti kidogo tu:
Tembelea ofisi za uvccm wilaya zote na za mkoa angalia miradi na
programu walizonazo kwa vijana wenzao wa Moshi na mkoa
then rudi katika vibanda vyenu kule majengo
na kwingineko utaona aina ya siasa tunazofanya mkuu.

Siku CDM wakikupa uongozi wowote nitashangaa sana, huna "ethics"
hivi unaweza kujilinganisha na Mnyika wewe??

Mpaka leo hii sioni kipya kwako. Hebu pata picha JF ikifungwa leo
wapi utakaposikika tena??? Na kwa kipi??
Huyo Nape kila siku unamtizama kwenye TV yako na familia yako wewe je???

Mkuu hebu jipange<> usiwe kama Josephine.......si unajua naye anapenda JF ili kupata umaarufu.

Ona akili yako ilivyoharibiwa na mishikaki ya monduli.. Sasa Ben Saanane atembelee ofisi za uvccm yeye zinzmuhusu nini? Ha ha ha ha ha... Kuonekana kwenye tv ni sifa eeh.. Dalili zinaonyesha huwa unamlamba nape miguu kisa tu huwa anaonekana kwenye tv! Jipange arifu, huna hoja
 
Last edited by a moderator:
lol,

too poor a thread from mtu mwenye cheo na wajibu nyeti ndani ya chama dola. Unless kusema ovyo ndio kazi yenyewe

this is all i can say
Ndio cheo pekee ndani ya CCM-KATIBU MROPOKAJI...
 
Akili yako na picha uliyoweka hakuna tofauti...
Hivi bado hujaondoka kwa shemeji yako mpaka leo???

Wewe lazima kichwani sio mzima , mbona unawaondoa watu kwenye hoja za msingi? Hayo mambo ya shemeji huku kwenye siasa yamekujaje? Kama huna hoja si ukae kimya tu!
 
Ona akili yako ilivyoharibiwa na mishikaki ya monduli.. Sasa Ben Saanane atembelee ofisi za uvccm yeye zinzmuhusu nini? Ha ha ha ha ha... Kuonekana kwenye tv ni sifa eeh.. Dalili zinaonyesha huwa unamlamba nape miguu kisa tu huwa anaonekana kwenye tv! Jipange arifu, huna hoja

Huna kipya,
Kwanin usikae kimya tu???
 
Wanatoka mbinguni au sio?

Pumbavvu wewe nani alikudanganya Freeman Mbowe anatoka Moshi? Hivi hata simple logic hujui Mbowe ni mbunge wa wapi? Sasa hapa tunajadiliana nini na watu waliooza ubongo wasiozijuwa hata wilaya za nchi yao?

Basi na Jumanne Magembe na Anne Kilango tufanye wanatoka Moshi ili ufurahi mbulula wewe.
 
sweetlady,

Huyo kijana unamuonea tu.Anachojua ni Mishikaki ya Monduli tu , Masuala mazito ya kitaifa hayamuhusu!

Katibu wake kalianzisha afu kamwacha apambane mwenyewe, anatia huruma manake hana hata hoja... Anawaza mishikaki huku anapost jf!....
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane,
Kwa taarifa yako huijui Moshi, sio ya miaka ile ya wajinga
njoo leo Moshi uone vijana walivyojipanga.

Nguvu tulizonazo kipindi hiki hata uchaguzi wa Mbunge ufanyike
kesho CCM itashinda.

Usipende kutaja taja watu kisa tu unamjua, by the way wewe binafsi
una matatizo ya kutosha na familia yako.

Kaa kwenye mada/uzi sio unatoka toka nje kama.....

NKUU SINDE, Nduguyenu
Moshi ipi wewe kilaza unaijua,ukitaja ccm moshi huna rafiki au jamaa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom