"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Hivi Arumeru kwa mzee wetu Edwin Mtei ni Moshi? Mimi au 'mtoto wa mwenge' ndo anachanganya?

Sikuelewi Ndugu Nyakageni.

Nimehamia Arumeru tangu tarehe 1 Januari, 1980 kwa kununua Ogaden Estate Ltd, kampuni iliyokuwa ni ya setler mzungu, ikilima kahawa. Naliendeleza shamba langu la kahawa. Nimeasisi Chadema nikiwa hapa.

Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi Vijijini (Jimbo la Vunjo) Marangu. Sielewi huyo "mtoto wa mwenge " amesema nini ua wewe umechanganya nini juu yangu.
 
Nimepata jina jingine la nape leo hii,kumbe ni "mtoto wa mbio za mwenge" hahahahaaa!cdm bwana,wakali.
 
SAHIHISHO: Baba yake nape sio miuislam na hatokei singida,
baba'ke nape ni christian na anatokea tukuyu mbeya!

Alizikwa kwa taratibu zote za kiislamu,tena msiba ulikua kwa marehemu Rashid Kawawa maana Marehemu Moses Nnauye hakua na hata kibanda katika uhai wake alikuwa mtu wa totoz na starehe tuu bia mtindo mmoja!!!
 
Sikuelewi Ndugu Nyakageni.

Nimehamia Arumeru tangu tarehe 1 Januari, 1980 kwa kununua Ogaden Estate Ltd, kampuni iliyokuwa ni ya setler mzungu, ikilima kahawa. Naliendeleza shamba langu la kahawa. Nimeasisi Chadema nikiwa hapa.

Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi Vijijini (Jimbo la Vunjo) Marangu. Sielewi huyo "mtoto wa mwenge " amesema nini ua wewe umechanganya nini juu yangu.
Shikamoo mzee mtei.hawa vijana waliokosa utu na heshima wasikusumbue mzee wetu.achana nao wasikupotezee muda.
 
Nimepata jina jingine la nape leo hii,kumbe ni "mtoto wa mbio za mwenge" hahahahaaa!cdm bwana,wakali.

Ni kweli , mama yake alinasa mimba kwenye mkesha wa mbio za kibatari cha magamba Hahaha hahaha hahaha
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

chadema inawaumiza roho usiku yawezakana mkeo unamsumbua mkilala kwa ndoto za kuiua chadema
 
Mipasho........! Ndiyo akili kubwa hii?

nimekufwatilia mda mrefu kumbe hata wewe uwezo wa kujibu hoja huna mwenzio anasema hili wewe unajibu lile napata shida kuelewa aina ya watu mlionao chadema kama na wewe ni mtu unaetegegewa kwenye chama chenu ni hasara kubwa
 
Sikuelewi Ndugu Nyakageni.

Nimehamia Arumeru tangu tarehe 1 Januari, 1980 kwa kununua Ogaden Estate Ltd, kampuni iliyokuwa ni ya setler mzungu, ikilima kahawa. Naliendeleza shamba langu la kahawa. Nimeasisi Chadema nikiwa hapa.

Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi Vijijini (Jimbo la Vunjo) Marangu. Sielewi huyo "mtoto wa mwenge " amesema nini ua wewe umechanganya nini juu yangu.

wewe na hiyo NGo yako CDM mna ajenda ya siri na ya binafsi na Tz katu hamtafanikiwa
1
mna wivu
2
chuki na tamaa kubwa ya kuitawala tanzania mtimize matamanio yenu

kamwe hamtachukua nchi hii
 
nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"kaka nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, dar,mwanza, arusha na nimesikia wanakwenda mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa chadema mzee mtei?!!!"

nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "bwana yesu kristo asifiwe"!

kama wewe ni kiongozi wa ccm basi utakuwa wa kuteuliwa .
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Kwani moshi mnang`ang`ania usiku na mchana km Arusha...?By the way ahyo majiji si nasikia yanauma sana roho kwa kufanyia ufisadi mkubwa...?Kwanini unadhani maandamano yakafanyike sehmu ambayo sababu ya maanadamano haipo huko..Hata mahakama hujitahidi sikiliz amasharu eneo la karibu zaidi na Yaliyopoanzia mashauri.

Kweli hakuna CCM mwenye akili Timamu..sasa issue ya karaha za CCM kwa Lema, meya wa Arusha, wizi mliofanya hadi sasa matangazo yote arusa yamepigwa chini) yakafanyike Moshi..

DONT TELL ME NAPE KUWA WEWE NI KILAZA KIASI CHA KUAMINI KUWA MSOHI NI MAKAO MAKUU YA MAANDAMANO HADI MAANDAMAO YA ARUSHA, MWANZA, MBEYA NA KWIGINE MNAPOPATAMANI YAKATIWE RUFAA NA KWENDA FANYIKA MOSHI......
 
........Nape una maneno ya mipasho na Umbbea. Nahisi katika Avatar yako wewe ni huyo wa kushoto aliyefunga nwele kwa nyuma.
 
........Nape una maneno ya mipasho na Umbea. Nahisi katika Avatar yako wewe ni huyo wa kushoto aliyefunga nwele kwa nyuma.
 
wewe na hiyo NGo yako CDM mna ajenda ya siri na ya binafsi na Tz katu hamtafanikiwa
1
mna wivu
2
chuki na tamaa kubwa ya kuitawala tanzania mtimize matamanio yenu

kamwe hamtachukua nchi hii
Kwa hiyo siyo sanduku la kura linaloamua? Ila ni mijitu iliyobeba UDINI na UKABILA ndiyo inaamua nani awe rais na nani asiwe rais?
 
nimekufwatilia mda mrefu kumbe hata wewe uwezo wa kujibu hoja huna mwenzio anasema hili wewe unajibu lile napata shida kuelewa aina ya watu mlionao chadema kama na wewe ni mtu unaetegegewa kwenye chama chenu ni hasara kubwa
Mimi nasubiri tu!!.. Mwana CCM wa kweli tutamuona pale atakaspoendelea kushabikia chama hiki hata pale atakapoona mgombea urais ni EDWARD wa MONDULI, AU ni SAMWELI wa TABORA au BENARD wa LINDI!... Mwisho 2015 tu!!!
 
Alizikwa kwa taratibu zote za kiislamu,tena msiba ulikua kwa marehemu Rashid Kawawa maana Marehemu Moses Nnauye hakua na hata kibanda katika uhai wake alikuwa mtu wa totoz na starehe tuu bia mtindo mmoja!!!
Weweee Baba yake nape yuko hai.. mpaka leo ni waziri na mbunge wa jimbo moja huko mbeya.... baba mlezi ni kama ulivyomsema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom