"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Mzee Mtei ni mkazi wa Arusha.
Get the facts before you distort the facts!
Wewe ni katibu mwenezi ..sitegemei kuona maandiko ya kilevi namna hii kutoka kwako.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Duuuu!!!!aibu yake ndo maradha ya propaganda na uropokaji bila facts
 
Pumbavvu wewe nani alikudanganya Freeman Mbowe anatoka Moshi? Hivi hata simple logic hujui Mbowe ni mbunge wa wapi? Sasa hapa tunajadiliana nini na watu waliooza ubongo wasiozijuwa hata wilaya za nchi yao?

Basi na Jumanne Magembe na Anne Kilango tufanye wanatoka Moshi ili ufurahi mbulula wewe.

Mnyika mbunge wa wapi kwa hiyo hapo ndipo alipotokea? wewe kweli punguani.
 
Ben, punguza munkari na acha kubishana na watu namna hii, maana unaweza ukafananishwa nao! Usipoteze muda huu adimu, endelea na shughuli za ukombozi!

Njilembera,

Asante.Natoka mkuu.Imetosha ila akija tena yeye au wafuasi wake wakipotosha nitarudi
 
Last edited by a moderator:
Maeneo hayo ndipo alipopokelewa Nyerere na Abdul Wahid Sykes alipoacha kufundisha huko Pugu. Hapo ndipo maisha ya marehemu Nyerere yalipoanzia Dar Es Salaam.

Acha kubadili Mada hapa. Jadili hoja iliyoanzishwa na Katibu wako wa Itikadi na Uenezi . Naona Amemkimbia Ben Saanane . Kumbe Nape Nnauye alikuwa anafanyiwa assignment. Nina wasiwasi na Masters yake ya Mzumbe

Ben endelea kuwaweka sawa Magamba sisi kazi ni kuhakikisha kwamba Mjadala hautoki nje ya Mstari
 
Last edited by a moderator:
CCM Bana

1. Nchimbi PHD ya Kuokota
2. Nape : Degree ya kufanyiwa mitihani
3. Mulugo: Ameiba Jina la mtu na sasa hivi ni Naibu waziri wa elimu
4. Anthony Dialo (Haya Majina ya West Africa) naye nu Muhanga wa Kuiba vyeti: Jamaa Jina lake ni Nyalla

Ha ha haaa
 
Ukitoka kwenye mjadala wa katiba itakuwa ni kwaajili ya akili ndogo tu sio kwa hoja hii! Kila lakheri wote mnaoamini sheria inabadilishwa au kurekebishwa barabarani. Karibuni bungeni ambapo watanzania waliamua 74% wawe wabunge wa CCM!

Have you ever came across this?

'The ignorance of the majority' from the book The enemy of the people
 
Sizinga,

Ha ha ha. Nilipomuanzishia hiyo alisepa.Anajua ningemvua nguo.

Kuna siku alikua akiwadanganya vijana waliokua wanatoka Kerala TKM College kuwa akirudi Tanzania atawapa ukuu wa wilaya na wengine kuwatisha kuwa atawashitaki Ubalozini warudishwe Nyumbani.

-Tulimpa haki yake na ubalozi haukumsaidia zaidi ya kumpa ahadi tu kuwa hawa akina Ben Saanane hawa hawatamaliza Degree zao ni lazima tufanye mpango wawe deported. Balozi Mwenyewe Mama Eva Nzavo tulimfundisha adabu.

Mkuu,Hasira alizo nazo hapa ni za Tangu enzi za Hindustan! Anawaingiza watu wengine Mkenge.

Vijana waliokua wanamfanyia assignment tunawajua na tulishirikiana nao kumpindua kule Acharya lakini baadhi yao ni marafiki zake wanaoshirikiana nae kunitusi.Aje hapa nisipomvua nguo muda huu

Kazi yao ni kuita watu wengine Wazinzi huku wakijua kuwa bosi wao huyu.ndio ilikua kipaumbele chake kuliko Degree yake ya Journalisim and Psychology!

Kuna Ziara ya Mwezi April/May ikiyofanywa na batch yao akiwepo Msanii wa Film Juma Chikoka huko Kerala iliyokua in a Mix na Assignments na Mitihani.Aje hapa aseme ni nani aliyemfanyia kilaza huyu anayeita wengine kywa wana akili ndogo.

'Dunderhead'

Mwe, mwe, mwe!!! Akili ndogo: Kuanzisha threads zenye majungu yasiokuwa na msingi wala mashiko, tusiwalaumu, kumbe walikwepa umande!! Akili kubwa: Kujenga hoja na supporting evidence kibao! Bro Ben mchunie tu msela, ni kiongozi mkubwa tu wa chama tawala!!!!
 
Ukitoka kwenye mjadala wa katiba itakuwa ni kwaajili ya akili ndogo tu sio kwa hoja hii! Kila lakheri wote mnaoamini sheria inabadilishwa au kurekebishwa barabarani. Karibuni bungeni ambapo watanzania waliamua 74% wawe wabunge wa CCM!

Waliamua lakini kwa mwenendo na hali halisi unaijua kwa sasa mijasho imekutoka sana wewe na Kinana kupima upepo na mpaka sasa umegundua kuwa upepo hauvumi tena upande wenu mmechuja zaidi ya rangi ya Blue yenye LOW quality. Hicho kitumbo kitapungua hivi punde tu cz sisi wakulima sasa tumeamua kuachana na propaganda zoa taka wakati wa ujio wa wageni.pesa zetu za kodi zitatumika vyema siku si nyingi zijazo.
 
Wewe ni changu D. sio chako. Pole sana bado huelewi. kweli tunamajuha wengi humu ndani.

Nishakuwa chako D tena? kuanzia lini? haya wasalimie chako A na B na C. Sasa imeshakuwa sio changu, mbona sikuelewi-elewi vile.
 
There are currently 244 users browsing this thread. (36 members and 208 guests)
 
Nape Nnauye Amekimbia. Watoto wa mjini wanasema amekula kona. Ni Baada ya Siri ya "Digrii yake" ya India kuanza kuwekwa Hadharani na Kamanda Ben Saanane. Akimbila PM na kumsihi Kamanda Ben apunguze Mashambulizi. Ben aapa Kula naye sahani Moja. Awaacha solemba makamanda wake akinaa faizaFoxy wasijue cha kufanya

Ni Aibu kwa kiongozi kama Nape kukimbia Mijadala
 
Acha kubadili Mada hapa. Jadili hoja iliyoanzishwa na Katibu wako wa Itikadi na Uenezi . Naona Amemkimbia Ben Saanane . Kumbe Nape Nnauye alikuwa anafanyiwa assignment. Nina wasiwasi na Masters yake ya Mzumbe

Ben endelea kuwaweka sawa Magamba sisi kazi ni kuhakikisha kwamba Mjadala hautoki nje ya Mstari

Kama huna hoja usianzishe viroja, babu yako alikuwa shamba boi au mpishi wa wazungu nini?
 
Acha kubadili Mada hapa. Jadili hoja iliyoanzishwa na Katibu wako wa Itikadi na Uenezi . Naona Amemkimbia Ben Saanane . Kumbe Nape Nnauye alikuwa anafanyiwa assignment. Nina wasiwasi na Masters yake ya Mzumbe

Ben endelea kuwaweka sawa Magamba sisi kazi ni kuhakikisha kwamba Mjadala hautoki nje ya Mstari

Ndio mkuu Ben Saanane Katuonyesha wazi kuw tunabishana na uozo tu hana kipya anaweza kukilata humu kwa hoja zenye mashiko haswa. ukizingatia anaongozwa kwa hisia na si weledi.
 
Sizinga,

Ha ha ha. Nilipomuanzishia hiyo alisepa.Anajua ningemvua nguo.

Kuna siku alikua akiwadanganya vijana waliokua wanatoka Kerala TKM College kuwa akirudi Tanzania atawapa ukuu wa wilaya na wengine kuwatisha kuwa atawashitaki Ubalozini warudishwe Nyumbani.

-Tulimpa haki yake na ubalozi haukumsaidia zaidi ya kumpa ahadi tu kuwa hawa akina Ben Saanane hawa hawatamaliza Degree zao ni lazima tufanye mpango wawe deported. Balozi Mwenyewe Mama Eva Nzavo tulimfundisha adabu.

Mkuu,Hasira alizo nazo hapa ni za Tangu enzi za Hindustan! Anawaingiza watu wengine Mkenge.

Vijana waliokua wanamfanyia assignment tunawajua na tulishirikiana nao kumpindua kule Acharya lakini baadhi yao ni marafiki zake wanaoshirikiana nae kunitusi.Aje hapa nisipomvua nguo muda huu

Kazi yao ni kuita watu wengine Wazinzi huku wakijua kuwa bosi wao huyu.ndio ilikua kipaumbele chake kuliko Degree yake ya Journalisim and Psychology!

Kuna Ziara ya Mwezi April/May ikiyofanywa na batch yao akiwepo Msanii wa Film Juma Chikoka huko Kerala iliyokua in a Mix na Assignments na Mitihani.Aje hapa aseme ni nani aliyemfanyia kilaza huyu anayeita wengine kywa wana akili ndogo.

'Dunderhead'

Halafu mtu kama wewe ndio unategemewa kuwa kiongozi wa chadema. Kweli misukule mpo wengi.

Wewe utaendelea kuwa mbeba sumu tu, uwafanyizie wenzako humohumo ndani, Naona wote wanakuogopa hawanywi wala kula meza moja na wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom