"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Hivi watu mnao bishana na nape mnyauyoooo! Naomba hachana nae,moja apa alipo anajifariji ili walau atokee mmoja aseme yeye mzazi wake make ccm inakufa mlezi wake itakuwaje kwake? Pili chadema ikichukua dora sijuhi atahama nchi kama kipindi Jk! Make alisema Kikwete akiwa rais nahama nchi! Wakati naona sasa kikwete kamfanya rimoti akitaka kujua chanel hii inakubalika au lah! Anawasha Nape anapata jibu! Tatu nafikiri anajiandaa kupeleka maombi kwa jaji F.mtungi aisajili ccj badala ya kada wa ccm Tendwa kukataa! Mmepata picha ya mtu mnae bishana naye!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Moshi ipi wewe kilaza unaijua,ukitaja ccm moshi huna rafiki au jamaa..

Huyo Mlevi anajua nini.Amedandia hoja tu.Facebook ndio saizi yake! Sijui hata alisoma wapi huyu kwa utumbo anaoandika humu.
 
Ukitoka kwenye mjadala wa katiba itakuwa ni kwaajili ya akili ndogo tu sio kwa hoja hii! Kila lakheri wote mnaoamini sheria inabadilishwa au kurekebishwa barabarani. Karibuni bungeni ambapo watanzania waliamua 74% wawe wabunge wa CCM!
Nape kweli huwa unanisikitisha. Kama hujui kujenga hoja si ukae kimya.
 
Chadema ndio chama tawala Moshi, hivyo ni jukumu la Maccm kuandama pale yatakapoona hayatendewi haki.

mkuu Matola, unapoteza muda hapa, mwenzio ndio anaona ametoa hooja! nadhani huwa hatafakali kabla ya kiposti!
 
Nape nakukumbusha tu haya maneno Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini.....
aliyasema JK juzi katika hotuba yake nzuri kama wengi wenu mlivoiaiki
kwa hivo tuseme JK amefikia mwiho na kaishiwa hoja???ndivo unavomaanisha
Ben kakutega kwa makusudi kuhusu haya maneno na wewe ukatumbukia shimoni bila kuelewa alilenga nini..
aisee poleni sana sina chama lakini kwa uongozi wako napata mashakat kama mlistahili kupewa nafasi hiyo

Lokissa,

Nape Nnauye amekiri kwamba Maneno hayo "Mnafiki,Mzandiki,Muongo na Mfitini" aliyotamka Mwenyekiti wake ni ya Kitoto.
 
Last edited by a moderator:
.....Mnafiki,Mzandiki, muongo na Mfitini.....
Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!
Fuatilia kwa ukaribu utagundua hayo maneno unayoyaita matusi, kejeli na maneno ya kitoto yametamkwa na nani hivi karibini na kama ni dalili ya kuishiwa hoja basi nadhani huyo alieyatamka ndio kaishiwa hoja Ben Saananeamemnukuu tu.

Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Hii inahusianaje na hoja yako mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Jamani mimi leo sina pakwenda nataka nikayasikilize Maccm Jangwani je ratiba ya mkutano unaanza saa ngapi?


Wamechanganyikiwa baada ya mwenyekiti wao kuogopa kusaini muswada hivyo wameahirisha mkutano haupo tena mkuu Matola
 
Last edited by a moderator:
Chadema nichama cha wapiga dili wachache na wengine wanaburuzwa tu kama mizigo.[
Wapiga dili mnawajua, mnawapenda,mnawashabikia hawatulii ofcn w.waasisi wa kagoda, Richmond nk
 
Nape, hivi ukishauliwa huwa unazingatia? CCM walifanya kosa kukuweka propangandist wao, naona propaganda kuubwa nayowza kufanya ni kwa kukaa kimya, huwa huna uwezo kabisaa wa kujenga hoja, ukikaa kimya hatutakujudge kwa upeo mdogo wako, bali kwa outward appearence yako! ni ushauri tuu.

huwaga unaongea pumba saana, kwa wenye upeo wengi waakudharau!
 
-Akili ndogo ni ya kwako.Una akili gani kubwa ya kujadili suala lolote la kitaifa wewe ikiwa hata kozi yako shuleni hujawahi kuwa na uwezo wa kujifanyia assignment?

Katiba kupatikana Barabarani inawezekana.Hata Kenya,Afrika Kusini,Nigeria na Ghana zilipatikana Barabarani.Uwe unafanya tafiti kabla ya kuandika.

mkuu sikuwai kuamini kama Nape yupo cheap kiasi hiki.....heti nae ni kiongozi tena wa kitaifa, ni aibu kubwa kwa taifa.
 
Haya nape ameshaona kuwa na wewe umepost, kachukue buku 7
Haya tumekusikia... Tuambie na ccm ni chama cha nini?



Wahi tenda ya sembe magogoni...
Chadema nichama cha wapiga dili wachache na wengine wanaburuzwa tu kama mizigo.[
Wapiga dili mnawajua, mnawapenda,mnawashabikia hawatulii ofcn w.waasisi wa kagoda, Richmond nk



Kama mnavyohongwa viloba mnadhani na wenzenu pia ni hivyohivyo? Tafuteni kazh mfanye chadema kina wenyewe ndugu makamanda.
 
We changu vipi Nyerere hakutawala bali aliongoza. hawa viongozi wetu wa sasa wanatutawala badala ya kutuongoza.
Sasa wewe utakuwa nani ikiwa unatawaliwa na kuongozwa na mbumbumbu? Au sumu zimeshakudhuru?

Unataka kuwaondoa watawala ili nawe utawale? uwe mbumbumbu? Unanambia na Nyerere alitawala kwa miaka 24 nae ndie mbumbumbu mkubwa zaidi kwa kuwa katawala miaka mingi zaidi?

Hoja zako za kijinga kabisa.
 
Mhwshimiwa mwenezi inaelekea hata ubongo wako umechubuka kwa matumizi makubwa ya carolite. ngoja nikwambie kitu kimoja. Maandamano yeyote yanafanyika kukiwa na sababu maalumu kulingana na eneo sababu ilipo!

Arusha waliandamana kwa sababu ya meya wenu wa kuchonga ambaye mwenyewe laana za wanaarusha zimeanza ku take effect kwani juzi madiwani CCM arusha walianza rasmi kuweka mikoba kwapani baada ya hila za kifisadi kushindwa (Hongera wana Arusha) Moshi hakuna meya wa kuchonga meya wetu ni genuine from wana moshi

Mwanza nako kuna meya wa kuchonga sasa wanamwanza wafanyeje na nyie maccm mmeamua kutawala kibabe!

Mbeya nako uonevu umezidi kumbuka jeshi lilishindwa kutoa vijana mtaani isipokuwa mistari mitatu tu ya rais sugu ilituliza mzuka wa wana mbeya.

Cha muhimu kuliko vyote mwaka 2008 nilikuwa mmoja wa vijana tuliokuwa tunakusapoti wakati wakati unagombea M/mwenyekiti wa UVCCM. ulivyoenguliwa niliumia roho sana nikijua tumempoteza komredi lakini baada ya muda niligundua nini tatizo lako " UNAFIKI" heri wangekuua kabisa tuzike tujue haupo duniani kuliko damage unayofanya sasa ambayo imevuka mpaka kutoka kwenye chama chenu cha Wezi hadi serikalini sasa.

Namuomba Mungu kila siku akuondoshe duniani kwani hilo domo lako iko siku litatuletea genocide

Nape yupo empty sana, ni aibu kubwa sana mkuu.
 
Nape mbona unajivua ufahamu kaka?

Suala la Uchaguzi ndani ya chadema wanatakiwa kuhoji wanachadema. Wewe inakuumiza nini mambo ya ndani ya chama?

Suala la kujadili kwenu nyie majangili ni vipi mwenyekiti wenu kasikiliza kelele za chadema na wapenda haki akawasaliti wabunge wa ccm hadi muswada unarudishwa bungeni.

Acha kukurupuka we ni kiongozi mkubwa kwenye chama chako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
-Akili ndogo ni ya kwako.Una akili gani kubwa ya kujadili suala lolote la kitaifa wewe ikiwa hata kozi yako shuleni hujawahi kuwa na uwezo wa kujifanyia assignment?

Katiba kupatikana Barabarani inawezekana.Hata Kenya,Afrika Kusini,Nigeria na Ghana zilipatikana Barabarani.Uwe unafanya tafiti kabla ya kuandika.
Mdau mmoja wa Mzumbe alinimbia jana, Mzumbe wako safi sana katika undergradute degrees lakini kwa postgraduate hasa masters ya pale Upanga ni ya kuchukua tu. Yani pesa yako tu wapo waandishi wa tasnifu. Jamaa yetu nasikia ni product ya chuo cha CCM kivukoni, vyuo vya vichochoroni India na MA ya Upanga
 
Hoja umeishiwa wewe unayejenga ukabila bila aibu, shetani mkubwa! watu kama ninyi ni bora mngekufa kabla hamjalisababishia taifa hili maafa makubwa kwa fikra zenu duni! Hivi wewe mwendawazimu wa kutupwa bado unadhani bado kuna watu wajinga wanaoamini propaganda zako za kipumbavu za ukanda na udini?

maneno yako ni ya kijasiri na kizalendo zaidi....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom