Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,314
Huna kipya,
Kwanin usikae kimya tu???
utaacha lini kutetea hili lichama la wezi na wanyanganyi?we mchaga wa wapi umechelewa hivi
Huna kipya,
Kwanin usikae kimya tu???
Huna kipya,
Kwanin usikae kimya tu???
Gerezan k/koo...Wanatoka mbinguni au sio?
Teh teh teh maisha yake kama kiuno muhindi hajui hata kilipo...
Ule wa kunusa/kujidunga vp...Jk hanywi gongo na bange kama zero
Akili yako na picha uliyoweka hakuna tofauti...
Hivi bado hujaondoka kwa shemeji yako mpaka leo???
Mohamed Saidi, anayekaanga sumu ya udini na kukunywesha wewe na mjinga mwenzo Ritz!Hebu nielezee ni nani aliitwa muongo, mnafiki, mzandiki, fitina?
babu na bibi na baadhi ya dada na shangazi wa mtei wapo wapi hata vitaga uchumi vingi vya mtei vipo wapi hili liko wazi kuwa ni moshi.
Unajitisha mwenyewe tu..
wewe si unatembea na tindikali tulikaa mbali.
Ila ukija tena fanya utafiti kidogo tu:
Tembelea ofisi za uvccm wilaya zote na za mkoa angalia miradi na
programu walizonazo kwa vijana wenzao wa Moshi na mkoa
then rudi katika vibanda vyenu kule majengo
na kwingineko utaona aina ya siasa tunazofanya mkuu.
Siku CDM wakikupa uongozi wowote nitashangaa sana, huna "ethics"
hivi unaweza kujilinganisha na Mnyika wewe??
Mpaka leo hii sioni kipya kwako. Hebu pata picha JF ikifungwa leo
wapi utakaposikika tena??? Na kwa kipi??
Huyo Nape kila siku unamtizama kwenye TV yako na familia yako wewe je???
Mkuu hebu jipange<> usiwe kama Josephine.......si unajua naye anapenda JF ili kupata umaarufu.
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!
Unajitisha mwenyewe tu..
wewe si unatembea na tindikali tulikaa mbali.
Ila ukija tena fanya utafiti kidogo tu:
Tembelea ofisi za uvccm wilaya zote na za mkoa angalia miradi na
programu walizonazo kwa vijana wenzao wa Moshi na mkoa
then rudi katika vibanda vyenu kule majengo
na kwingineko utaona aina ya siasa tunazofanya mkuu.
Siku CDM wakikupa uongozi wowote nitashangaa sana, huna "ethics"
hivi unaweza kujilinganisha na Mnyika wewe??
Mpaka leo hii sioni kipya kwako. Hebu pata picha JF ikifungwa leo
wapi utakaposikika tena??? Na kwa kipi??
Huyo Nape kila siku unamtizama kwenye TV yako na familia yako wewe je???
Mkuu hebu jipange<> usiwe kama Josephine.......si unajua naye anapenda JF ili kupata umaarufu.
Jamani mimi leo sina pakwenda nataka nikayasikilize Maccm Jangwani je ratiba ya mkutano unaanza saa ngapi?
Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!
Bora umpe shule na bakora juu anatia aibu na uzee wote alionao hajui Hai sio Moshi...Pumbavvu wewe nani alikudanganya Freeman Mbowe anatoka Moshi? Hivi hata simple logic hujui Mbowe ni mbunge wa wapi? Sasa hapa tunajadiliana nini na watu waliooza ubongo wasiozijuwa hata wilaya za nchi yao?
Basi na Jumanne Magembe na Anne Kilango tufanye wanatoka Moshi ili ufurahi mbulula wewe.