"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

"Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

Status
Not open for further replies.
Jifunze kuandika kiswahili.Neno 'UNANAMBIA' halipo kwenye kamusi.

Nani aliyekuambia Tunataka kutawala?Ni nani aliyekuambia kuwa Nyerere alitawala?

Ungechukuwa muda kutafakari ni nini maana ya kubeba sumu, kama walio kubebesha hawataki kutawala.

Halafu kuhusu Nyerere ungejifunza ni nini maana ya udikteta.

Wewe bado ni kinda sana kwenye hii mijadala.

Usitake kucheza na maneno hutoniweza. Isitoshe, kamusi sio Qur'an na ndiyo maana huwa zina "revisions" mara kwa mara. Upo hapo ulipo. Kiswahili ni lugha yangu mama si lugha ya kufikia kama wewe.
 
Ukitoka kwenye mjadala wa katiba itakuwa ni kwaajili ya akili ndogo tu sio kwa hoja hii! Kila lakheri wote mnaoamini sheria inabadilishwa au kurekebishwa barabarani. Karibuni bungeni ambapo watanzania waliamua 74% wawe wabunge wa CCM!

Hujui utendalo!wala unenalo! Time will tell,hapo ulipo unajiona ni mwana siasa sana,kumbe njaa.hivi leo ukiacha siasa utaishije? Umekuwa vuvuzela kwa muda mrefu tunakuangalia tu,cha mno unajiabisha sana hasa kwa vijan,kumbuka kuna maisha nje ya uanasisa njaa kama wako.nayasema haya kwa sababu ulipiga kelele kuhusu kujivua gamba wengine tulikuambia hizo ni kelele za chura ng'ombe atakunywa maji tu.je kuna kilichobadilika?ndo kwa mnaimarisha ufisadi,biashara ya sembe,meno ya tembo,rushwa,mikataba mibovu na uchafu mwingine mwingi mnaoufanya kwa mgongo wa siasa za kifisadi za maccm.unaleta ushabiki usio na uelekeo wa kijuha tu.lkn ukweli unaujua jinsi siasa zenu zilivyo za hovyo,ni ngao ya kuwakinga na maovu yenu.wahalifu wakubwa wote wako CCM,na wewe ndo kiongozi unaeendelea kuwakingia kifua kwa kudhani kwamba chama chako kitaendelea kutawala milele.wewe ni moja ya viongozi wasiosoma alama za nyakati.subiri dunia itakuonyesha jinsi mabadiliko yasivyopingwa na wanasiasa uchwara.
 
Ukitoka kwenye mjadala wa katiba itakuwa ni kwaajili ya akili ndogo tu sio kwa hoja hii! Kila lakheri wote mnaoamini sheria inabadilishwa au kurekebishwa barabarani.

Karibuni bungeni ambapo watanzania waliamua 74% wawe wabunge wa CCM!
Asante kwa kuwakumbusha wananchi kuwa wingi wa wabunge wa CCM unapelekea maslahi ya chama kutangulizwa kuliko maslahi ya wananchi.

Wananchi wengi wameliona hilo ni tatizo, na watajibu kwenye uchaguzi ujao.
 
Kweli we have a long way to go Tanzania.

Yaani haya ndiyo mawazo ya katibu mwenezi wa chama tunachotegemea kiwe busy kutuletea maendeleo?!
 
Sasa wewe utakuwa nani ikiwa unatawaliwa na kuongozwa na mbumbumbu? Au sumu zimeshakudhuru?

Unataka kuwaondoa watawala ili nawe utawale? uwe mbumbumbu? Unanambia na Nyerere alitawala kwa miaka 24 nae ndie mbumbumbu mkubwa zaidi kwa kuwa katawala miaka mingi zaidi?

Hoja zako za kijinga kabisa.

huyu ndiyo malkia wa mipasho wa jf taarab classic ....naona uko bega kwa bega na mfalme wa mipasho mnauye....
 
Ungechukuwa muda kutafakari ni nini maana ya kubeba sumu, kama walio kubebesha hawataki kutawala.

Halafu kuhusu Nyerere ungejifunza ni nini maana ya udikteta.

Wewe bado ni kinda sana kwenye hii mijadala.

Usitake kucheza na maneno hutoniweza. Isitoshe, kamusi sio Qur'an na ndiyo maana huwa zina "revisions" mara kwa mara. Upo hapo ulipo. Kiswahili ni lugha yangu mama si lugha ya kufikia kama wewe.

'revisions' hii ni English grammer?
 
Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;
"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"
Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.
Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE"!

Penye bold ya kijani! Kumbe na wewe unafanyaga mazoezi,sasa mbona unatembea kama funza! Unafanya mazoezi gani?

Hayo mengine sio maswali, ni porojo ndio maana hakuna haja ya kuyatolea ufafanuzi...
 
hivi wewe na Ben nani ana hoja za kitoto??? Ushawahi kuona Ben anapost propaganda za kitoto na kipuuzi kama hizi??
Yani siku ile ulipochaguliwa kuwa katibu wa itikadi na uenezi ndipo nilipoidharau zaidi ccm na kuamini kumbe nyinyi vilaza..!!

Nape sio size ya Ben mkuu...nape yupo empty sana, ni bora ya akina rtz kuliko nape, nape anajitia aibu hapa,
 
Hivi hii ni post ya Nape kweli au alisahau kulog-off, Juliana 'cha-wote' akatumia nafasi hiyo ku-post?
 
Mnarudishiwa bungeni ili mkalimwe vizuri, hivi mkifikia kuupigia kura huko bungeni mna ubavu?

DJ alipoamua kutoka bungeni aliliona hilo. Nakushangaa mbeba sumu hilo hulioni na umemeza chambo, mshipi, ndoano na chubwi.

Sisi tunataka urudishwe bungeni leo kabla ya kesho, halafu tuone mtasusa tena? hapo ndipo mtakapowajuwa Watanzania.

Kuhusu maandamano mliyopanga si mnajuwa kama hamjayafanya "wafadhili" (CDU) watauliza zimetumikaje? "janja yake panya paka kwisha tambuwa".

CUF uwezi ukawagusa saba wewe ni m.....
 
-Akili ndogo ni ya kwako.Una akili gani kubwa ya kujadili suala lolote la kitaifa wewe ikiwa hata kozi yako shuleni hujawahi kuwa na uwezo wa kujifanyia assignment?

Katiba kupatikana Barabarani inawezekana.Hata Kenya,Afrika Kusini,Nigeria na Ghana zilipatikana Barabarani.Uwe unafanya tafiti kabla ya kuandika.

Haya mambo unanikumbusha India mkuu...manake semester ya miezi 4 Nape Nnauye anaonekana wiki 2 before exams...sijajua kama alishawahi kufanya hata assignment yoyote...dah msitiri mwenzako ben, tupo public hapa.. Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Umri wake ungekuwa haujaenda tungemshauri akajiunge na mashauzi classic manake huko pangemfaa! Sasahivi kazeeka sana labda afanye kazi ya kuwacheza mwali.. Hiyo ni saizi yake!

Lol!...
 
Matusi, kejeli na maneno ya kitoto kama yako ni dalili za mwisho za kuoshiwa hoja! Kwaheri kwasababu ujumbe umefuka vizuri sana!


Kwa hili kati ya wewe na Sanane wewe ndiyo huna hoja. Hivi ilikuwaje wakakupa nafasi nyeti hivyo ya uongozi ccm? Au ndiyo ukweli wa jinsi mlivyofilisika? Huna tofauti na Hawa Ghasia aliyesema bungeni bila aibu kuwa CHADEMA wanataka vurugu Arusha ili watalii waahamie Kilimanjaro. Hivi vivutio vya utalii vya Arusha vimefanana na vya Moshi?
 
We changu vipi Nyerere hakutawala bali aliongoza. hawa viongozi wetu wa sasa wanatutawala badala ya kutuongoza.

Mie chako toka lini? kuna dikteta akaongoza. Kiongozi humuoni? unanchekesha!
 
Haya mambo unanikumbusha India mkuu...manake semester ya miezi 4 Nape Nnauye anaonekana wiki 2 before exams...sijajua kama alishawahi kufanya hata assignment yoyote...dah msitiri mwenzako ben, tupo public hapa.. Ben Saanane

Sizinga,

Ha ha ha. Nilipomuanzishia hiyo alisepa.Anajua ningemvua nguo.

Kuna siku alikua akiwadanganya vijana waliokua wanatoka Kerala chuoni kwako TKM College kuwa akirudi Tanzania atawapa ukuu wa wilaya na wengine kuwatisha kuwa atawashitaki Ubalozini warudishwe Nyumbani.

-Tulimpa haki yake na ubalozi haukumsaidia zaidi ya kumpa ahadi tu kuwa hawa akina Ben Saanane hawa hawatamaliza Degree zao ni lazima tufanye mpango wawe deported. Balozi Mwenyewe Mama Eva Nzavo tulimfundisha adabu.

Mkuu,Hasira alizo nazo hapa ni za Tangu enzi za Hindustan! Anawaingiza watu wengine Mkenge.

Vijana waliokua wanamfanyia assignment tunawajua na tulishirikiana nao kumpindua kule Acharya lakini baadhi yao ni marafiki zake wanaoshirikiana nae kunitusi.Aje hapa nisipomvua nguo muda huu

Kazi yao ni kuita watu wengine Wazinzi huku wakijua kuwa bosi wao huyu.ndio ilikua kipaumbele chake kuliko Degree yake ya Journalisim and Psychology!

Kuna Ziara ya Mwezi April/May ikiyofanywa na batch yao akiwepo Msanii wa Film Juma Chikoka huko Kerala iliyokua in a Mix na Assignments na Mitihani.Aje hapa aseme ni nani aliyemfanyia kilaza huyu anayeita wengine kuwa wana akili ndogo.

'Dunderhead'
 
Last edited by a moderator:
-Akili ndogo ni ya kwako.Una akili gani kubwa ya kujadili suala lolote la kitaifa wewe ikiwa hata kozi yako shuleni hujawahi kuwa na uwezo wa kujifanyia assignment?

Katiba kupatikana Barabarani inawezekana.Hata Kenya,Afrika Kusini,Nigeria na Ghana zilipatikana Barabarani.Uwe unafanya tafiti kabla ya kuandika.

Ben, punguza munkari na acha kubishana na watu namna hii, maana unaweza ukafananishwa nao! Usipoteze muda huu adimu, endelea na shughuli za ukombozi!
 
Mohamed Saidi, anayekaanga sumu ya udini na kukunywesha wewe na mjinga mwenzo Ritz!

Huo udini uko wapi? au mnaogopa kwa kuwa mnajuwa kuwa kanisa lilikuwa upande wa watawala? msiiogope historia, historia ndio njia pekee ya kujijuwa mlikuwa wapi, mpo wapi na mnaelekea wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom