05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,643
( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee
Salaam wana jamvi.
Mara trekta milioni 10.
Mara kusikiliza kero kidigitali.
Mara nishati Safi ya kupikia.
Tena mitaa ya viwanda sijui imefanyaje.
Guys ajira anazotamka mi 7000 kwenye Elimu wakati deficit inasoma laki tatu na zaidi.
Ajira alipaswa kuongelea Liganga na Mchuchuma ambayo ingetoa malaki ya ajira za moja kwa moja na mamilioni za indirect (mama lishe, usafirishaji n.k.)
Kilimo anaongelea kuongeza bilioni kadhaa kitaifa na huku anaahidi matrekta milloni kumi ndani ya wilaya moja. Akili ipo sawa kweli?
Guys hii ni shida.
Nilimsikia Polepole akieleza kuwa maza hajakemea na wala hana mpango na kukomesha ufisadi, kuboresha usanifu wa serikali wala kukemea utendaji mbovu.
Ukisikia kila sekunde wanamsifia kaboresha shule, sasa Habari za kusoma na kuandika zilikuwa hoja za 2020. Leo anazirudia vilevile sababu hakuzifanyia kazi.
Naona kosa ambalo mbogamboga walilifanya ni kumpa karani wa ofisi umakamu wa Rais. Daima ataongoza akiwafeva waliompa connection za ukalani na uteuzi (wana mtandao)
Kampeni zenyewe ni kama ziara tu ... kwan anashindana na nani so far ????