GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umaskini unaondokewa ikiwa wajinga kama wewe watapungua kwenye jamii.
Mjinga hawezi kutambua werevu wa mtu lmwerevu akini Mwerevu anatambua ujinga wa alio nao Mtu Mjinga. Hapo ndipo tofauti ilipo, na Choicevariable utaendela kupata taabu kuwaelewa watu.
 
( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee

Salaam wana jamvi.

Mara trekta milioni 10.
Mara kusikiliza kero kidigitali.
Mara nishati Safi ya kupikia.
Tena mitaa ya viwanda sijui imefanyaje.

Guys ajira anazotamka mi 7000 kwenye Elimu wakati deficit inasoma laki tatu na zaidi.

Ajira alipaswa kuongelea Liganga na Mchuchuma ambayo ingetoa malaki ya ajira za moja kwa moja na mamilioni za indirect (mama lishe, usafirishaji n.k.)

Kilimo anaongelea kuongeza bilioni kadhaa kitaifa na huku anaahidi matrekta milloni kumi ndani ya wilaya moja. Akili ipo sawa kweli?

Guys hii ni shida.


Nilimsikia Polepole akieleza kuwa maza hajakemea na wala hana mpango na kukomesha ufisadi, kuboresha usanifu wa serikali wala kukemea utendaji mbovu.

Ukisikia kila sekunde wanamsifia kaboresha shule, sasa Habari za kusoma na kuandika zilikuwa hoja za 2020. Leo anazirudia vilevile sababu hakuzifanyia kazi.

Naona kosa ambalo mbogamboga walilifanya ni kumpa karani wa ofisi umakamu wa Rais. Daima ataongoza akiwafeva waliompa connection za ukalani na uteuzi (wana mtandao)

Kampeni zenyewe ni kama ziara tu ... kwan anashindana na nani so far ????
We zombie huwezi kuelewa
 
Ni blah blah na si brabra,bwana msomi akili kubwa, malaika wako aliajiri kiasi gani kwa mwaka?

Malaika wenyewe sio wakamilifu that's why sheitwan alitupwa kuzim sabab ya ukosefu wake.

Ko hakuna mksmilifu chini ya jua wala juu yake ukiondoa MUNGU. hivyo turudi kwenye mada ya msingi madam .... kwanini sheitwan huyu ang'ang'anie kukaa madarakani hata baada ya kuonyesha madhaif yote hayo .... je, si bora kama nafas ta uongozi itatolewa kwa watu tofauti tofauti ili kwamba taifa losiathirike sana na madhaifu ya mtu mmoja ????
 
Wee jamaa ni hatari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimekumbuka siku moja tukiwa kwenye tukio fulani lililo tukutanisha wahusika ndani ya Mkoa pamoja,sasa tukakutana watu watano tuliosoma pamoja.

Sasa mmoja kati yetu ambaye ndiye mdogo kuzidi wengine muonekano wake ukawa unaonesha kuwa ni Mzee na anazeeka kwa kasi sana.
Basi kila mmoja wetu anamshangaa na kumuuliza ni kivipi yuko vile ijapo hakuwa na majibu.

Sasa kesho yake tukaendelea kuwepo pale huku jamaa mwingine akijipa kazi ya kufuatilia ni kipi chanzo cha tatizo,na alienda kwake jioni.
Siku ilifuata tukaletewa mrejesho yaani ni hatari.

Jamaa akasema kuwa "WANA,HUYU JAMAA YETU KAJIZEESHA KIPUMBAVU SANA,BORA WENGINE WANAZEEKA KUTOKANA NA MAJUKUMU.
SASA HUYU ANAZEEKA KWA SABABU ANAPENDA SANA KUANGALIA TAARIFA YA HABARI KUPITIA TBC1 NA CHANNEL TEN "🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa naona wewe itakuwa umeujua mchezo mapema,hutaki kuzeeka kizembe zembe.
Kongole!
Yaani , tupo wengi huku abao tulistuka mapema ! Afadhali nikaangalie CNN na CBS kule kwa Uncle Sam akitangaza kupandisha Ushuru kwa bodhaa za kutoka nje ya mipaka yao, Jamaa pamoja na wehu wake, kumbe ni Mzalendo sana kwa Taifa lake, kulinda Ajira na Viwanda vya Nchi Yake, Sisi huku kila kitu tunabinafsisha kwa wajomba wavaa Vilemba wa UAE na Oman, ajira nono kwenye Mashira husika wanabeba wao, na Faida inakwenda kwao, eti sisi wanatugawiapi kidogo, wakati tulikuwa tunapokea 100% ya Mapato yote, Huo ndo Ujinga unaopingwa na wazalendo kwetu kama akina Balozi mkuu ! HPP et al.
 
Kampeni zake ni nyepesi hvyo sababu anaoshindana nao ni wale wale wasio na ubongo

Ila kama wangekuwa ni washindan wa kweli nae angebadili ahadi
 
Back
Top Bottom