GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee

Salaam wana jamvi.

Mara trekta milioni 10.
Mara kusikiliza kero kidigitali.
Mara nishati Safi ya kupikia.
Tena mitaa ya viwanda sijui imefanyaje.

Guys ajira anazotamka mi 7000 kwenye Elimu wakati deficit inasoma laki tatu na zaidi.

Ajira alipaswa kuongelea Liganga na Mchuchuma ambayo ingetoa malaki ya ajira za moja kwa moja na mamilioni za indirect (mama lishe, usafirishaji n.k.)

Kilimo anaongelea kuongeza bilioni kadhaa kitaifa na huku anaahidi matrekta milloni kumi ndani ya wilaya moja. Akili ipo sawa kweli?

Guys hii ni shida.

Nilimsikia Polepole akieleza kuwa maza hajakemea na wala hana mpango na kukomesha ufisadi, kuboresha usanifu wa serikali wala kukemea utendaji mbovu.

Ukisikia kila sekunde wanamsifia kaboresha shule, sasa Habari za kusoma na kuandika zilikuwa hoja za 2020. Leo anazirudia vilevile sababu hakuzifanyia kazi.

Naona kosa ambalo mbogamboga walilifanya ni kumpa karani wa ofisi umakamu wa Rais. Daima ataongoza akiwafeva waliompa connection za ukalani na uteuzi (wana mtandao)

Kampeni zenyewe ni kama ziara tu ... kwan anashindana na nani so far ????
Huo mda unaupata wapi?
 
Expecting results from what you know

Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua yaani
 
Sio kwamba wewe ndio umejaza upumbavu kichwani?

Ulitaka aache kuzungumzia madarasa au maji Kwenye Nchi ya ulimwengu wa 3? Kwamba aseme atajenga space center Ili muende mwezini na vyoo hamna?

Chuki na roho mbaya zinakusumbua na kama hashindani na mtu mbona unasikiliza hotuba na unaleta mrejesho?

Ni jambo la kushangaza mtu mzima kama wewe eti kushikiwa akili na mpuuzi mmja kama PLPL,hauna independent thinking then unajiita msomi kumzidi SSH.

Zile ngonjera za hagombei sijui unabii makanisani amezikomesha.

She is here to stay till 2030 na mwaka huo pia mtakaziwa Mkurugenzi Kigoma Jela miaka 22 kwa ufisadi | JamiiForums Mkurugenzi Kigoma Jela miaka 22 kwa ufisadi
 
Sio kwamba wewe ndio umejaza upumbavu kichwani?

Ulitaka aache kuzungumzia madarasa au maji Kwenye Nchi ya ulimwengu wa 3? Kwamba aseme atajenga space center Ili muende mwezini na vyoo hamna?

Chuki na roho mbaya zinakusumbua na kama hashindani na mtu mbona unasikiliza hotuba na unaleta mrejesho?

Ni jambo la kushangaza mtu mzima kama wewe eti kushikiwa akili na mpuuzi mmja kama PLPL,hauna independent thinking then unajiita msomi kumzidi SSH.
Akili hamna nyie miaka yote mambo yaleyale tena nyakati hizi za teknolojia kwenye nchi yenye rasilimali za kutosha.Mapimbi kabisa.
 
Anajua Watanzania hasa wanachama wa CCM wanaojaza Umati wake,bado ni Wajinga!
 
Una m
Una roho nzuri sana mkuu,mpaka unapata muda wa kumsikiliza!
Basi sawa,kuhusu hivyo vi -ajira anavyo taja hivyo,kwani kwa sasa kuna mtu aliyemzuia kuajiri mpaka asubirie baada ya uchaguzi?
Msogezee hilo swali tafadhari!
Ajira ni baada ya Uchaguzi
 
Akili hamna nyie miaka yote mambo yaleyale tena nyakati hizi za teknolojia kwenye nchi yenye rasilimali za kutosha.Mapimbi kabisa.
Ukiwa na Rasilimali harafu una watu wajinga kama wewe unatarajia nini?

Ulitaka aahidi kukupeleka mars wakati huna choo?
 
Back
Top Bottom