🤣🤣🤣🤣Sasa yupo anazisema tonetone na movement za chadema on stage ... kwani ndo anaoshindana nao ???
Yani alipaswa kuwa anajibizana na sera za ubwabwa now.
Daaah 😂😂😂😂
Hakuna ujanja hapo ni vituvisivyo eleweka na aibu tu.Wanamtandao Wamemfundisha Ujanjaujanja Mwingi
K Vant zinampeleka resi sanaDom nzima itajaa matrekta .... maaa kawaahidi watu wa dodoma tu.
Hivi hii ni Kurjuan, Novena au K Vant ?
Yaani O Level alitaga !!!!
Ndiyo maana Ethiopia wamepiga stop Dr. wa kupewa na machawa.( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say)
Unapata wapi muda wa kufuatilia!??( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee
Salaam wana jamvi.
Mara trekta milioni 10.
Mara kusikiliza kero kidigitali.
Mara nishati Safi ya kupikia.
Tena mitaa ya viwanda sijui imefanyaje.
Guys ajira anazotamka mi 7000 kwenye Elimu wakati deficit inasoma laki tatu na zaidi.
Ajira alipaswa kuongelea Liganga na Mchuchuma ambayo ingetoa malaki ya ajira za moja kwa moja na mamilioni za indirect (mama lishe, usafirishaji n.k.)
Kilimo anaongelea kuongeza bilioni kadhaa kitaifa na huku anaahidi matrekta milloni kumi ndani ya wilaya moja. Akili ipo sawa kweli?
Guys hii ni shida.
Nilimsikia Polepole akieleza kuwa maza hajakemea na wala hana mpango na kukomesha ufisadi, kuboresha usanifu wa serikali wala kukemea utendaji mbovu.
Ukisikia kila sekunde wanamsifia kaboresha shule, sasa Habari za kusoma na kuandika zilikuwa hoja za 2020. Leo anazirudia vilevile sababu hakuzifanyia kazi.
Naona kosa ambalo mbogamboga walilifanya ni kumpa karani wa ofisi umakamu wa Rais. Daima ataongoza akiwafeva waliompa connection za ukalani na uteuzi (wana mtandao)
Kampeni zenyewe ni kama ziara tu ... kwan anashindana na nani so far ????
Sikutegemea zama hizi mgombea aje na sera za kusoma,kuhesabu na kuandika. Hawa jamaa ni matapeli na wanajua watanzania hawana Cha kutufanya( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee
Salaam wana jamvi.
Mara trekta milioni 10.
Mara kusikiliza kero kidigitali.
Mara nishati Safi ya kupikia.
Tena mitaa ya viwanda sijui imefanyaje.
Guys ajira anazotamka mi 7000 kwenye Elimu wakati deficit inasoma laki tatu na zaidi.
Ajira alipaswa kuongelea Liganga na Mchuchuma ambayo ingetoa malaki ya ajira za moja kwa moja na mamilioni za indirect (mama lishe, usafirishaji n.k.)
Kilimo anaongelea kuongeza bilioni kadhaa kitaifa na huku anaahidi matrekta milloni kumi ndani ya wilaya moja. Akili ipo sawa kweli?
Guys hii ni shida.
Nilimsikia Polepole akieleza kuwa maza hajakemea na wala hana mpango na kukomesha ufisadi, kuboresha usanifu wa serikali wala kukemea utendaji mbovu.
Ukisikia kila sekunde wanamsifia kaboresha shule, sasa Habari za kusoma na kuandika zilikuwa hoja za 2020. Leo anazirudia vilevile sababu hakuzifanyia kazi.
Naona kosa ambalo mbogamboga walilifanya ni kumpa karani wa ofisi umakamu wa Rais. Daima ataongoza akiwafeva waliompa connection za ukalani na uteuzi (wana mtandao)
Kampeni zenyewe ni kama ziara tu ... kwan anashindana na nani so far ????
Naunga mkono hoja,nisiwe mnafiki huwa sitamani tu hata sauti ya huyu mimi niisikie hata kwa bahati mbayaUna m
Una roho nzuri sana mkuu,mpaka unapata muda wa kumsikiliza!
Basi sawa,kuhusu hivyo vi -ajira anavyo taja hivyo,kwani kwa sasa kuna mtu aliyemzuia kuajiri mpaka asubirie baada ya uchaguzi?
Msogezee hilo swali tafadhari!
Ndo Tatizo la kukaririshwa jambo ambalo hujallelewa vizuri, Hapo kun watu wameingiza hilo jambo ili wapige ile 20% from inflated prices. Tunahitaji huruma ya Allah !Hakuna ujanja hapo ni vituvisivyo eleweka na aibu tu.