GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee

Salaam wana jamvi.

Mara trekta milioni 10.
Mara kusikiliza kero kidigitali.
Mara nishati Safi ya kupikia.
Tena mitaa ya viwanda sijui imefanyaje.

Guys ajira anazotamka mi 7000 kwenye Elimu wakati deficit inasoma laki tatu na zaidi.

Ajira alipaswa kuongelea Liganga na Mchuchuma ambayo ingetoa malaki ya ajira za moja kwa moja na mamilioni za indirect (mama lishe, usafirishaji n.k.)

Kilimo anaongelea kuongeza bilioni kadhaa kitaifa na huku anaahidi matrekta milloni kumi ndani ya wilaya moja. Akili ipo sawa kweli?

Guys hii ni shida.


Nilimsikia Polepole akieleza kuwa maza hajakemea na wala hana mpango na kukomesha ufisadi, kuboresha usanifu wa serikali wala kukemea utendaji mbovu.

Ukisikia kila sekunde wanamsifia kaboresha shule, sasa Habari za kusoma na kuandika zilikuwa hoja za 2020. Leo anazirudia vilevile sababu hakuzifanyia kazi.

Naona kosa ambalo mbogamboga walilifanya ni kumpa karani wa ofisi umakamu wa Rais. Daima ataongoza akiwafeva waliompa connection za ukalani na uteuzi (wana mtandao)

Kampeni zenyewe ni kama ziara tu ... kwan anashindana na nani so far ????
Ni blah blah na si brabra,bwana msomi akili kubwa, malaika wako aliajiri kiasi gani kwa mwaka?
 
Sasa jibu si liko wazi kama yeye siyo mjinga ina maana ni mwerevu na kwa hiyo amewazidi wajinga nyinyi kwa huo werevu alio nao. It is a simple anwer, you did not need to waste our precious time to explain it to you. Next time try to be different , Sir, by using a little Yellow matter you have in your head to reason !
Wewe ambae sio mjinga na nyumbu wa Chadomo umewazidi nini hao Wana CCM?
 
Sasa jibu si liko wazi kama yeye siyo mjinga ina maana ni mwerevu na kwa hiyo amewazidi wajonga nyinyi kwa huo werevu alio nao. It is a simple anwer, you did not need to waste our precious time to explain it to you. Next time try to be different , Sir, by using a little brain you have to reason !
Werevu upi ambao wewe nyumbu umeona anao?
 
Sisi mbona huku kwetu Rulenge bado mama Ndoo zimemgandia Kichwani? Maji tunachota Mto Ruvuvu na Bondeni Rwinyana ambako pia Mifugo inajizima Kiu? Au hizo ndoo wametua watu wa Msoga tu? Karibia maeneo zaidi ya asilimia 70 Vijijini bado maji safi na salama hakuna na hayo yasiyo salama wanachota mitoni na kwenye mabwawa kwa unbali zaidi ya Kilomters 7 mpaka 10. Stop joking with our people! Hali ni tofauti mnavyoipamba kwenye takwimu za Kupika. Aweso J bado tunamdai sisi huku pamoja na wenzetu wa Itigi !
Baada ya kukamilisha kazi ya Kumtua mama Ndoo na kupewa Tuzo Sasa ni kazi ya Kumtua Mama Kuni.

Hizi ndio rekodi za Samia

View: https://www.threads.com/@thecitizentz/post/DOBkLiiCHak?xmt=AQF0YdbrEN7Vje7s9FfLiq-95UiMLKxScUp2g2V0cVOjhg&slof=1
 
Werevu upi ambao wewe nyumbu umeona anao?
Sasa kama wao siyo wajinga kama nyinyi si ina maana ni werevu? Mpaka na hilo huwezi kuling'amua, pamoja na huo msinyao wa ubongo uliozaliwa nao? Please dont make us laugh , while we are crying for our people!
 
Sisi mbona huku kwetu Rulenge bado mama Ndoo zimemgandia Kichwani? Maji tunachota Mto Ruvuvu na Bondeni Rwinyana ambako pia Mifugo inajizima Kiu? Au hizo ndoo wametua watu wa Msoga tu? Karibia maeneo zaidi ya asilimia 70 Vijijini bado maji safi na salama hakuna na hayo yasiyo salama wanachota mitoni na kwenye mabwawa kwa unbali zaidi ya Kilomters 7 mpaka 10. Stop joking with our people! Hali ni tofauti mnavyoipamba kwenye takwimu za Kupika. Aweso J bado tunamdai sisi huku pamoja na wenzetu wa Itigi !
Labda Rulenge ya Rwanda
 
Umaskini unaondokewa ikiwa wajinga kama wewe watapungua kwenye jamii.
Wajinga nadhani si tatizo sana maana wakielimishwa wanaweza wasiwe wajinga tena, tatizo langu ni wale wapumbavu ambao tayari akili zao zimekuwa kama za mdudu anayeishi kwa kutegemea kunyonya uchafu wa kwenye mwili mchafu . Huyo siyo binadamu wa kawaida na hawezi kusaidia chochote kwenye Taifa , heri ya mjinga kuliko Mpumbavu, ingawa wote ni Mzigo kwa Taifa ! Hata Wafu huzidiana harufu!
 
Labda Rulenge ya Rwanda
Hiyo hiyo unayoijua ya kule kwetu ! Juzi hata kule kwenu nimekuta akina mama wanagombania kuchota maji machafu yaliyokauka kwenye Bwawa ambako pia wanyama wanakunywa. Usipotoshe ukweli , Maji bado ni tatizo kote mijini na vijijini. nenda makao makuu ya almost Halmashauri za huko mikoani , hakuna maji ya bomba ya kuaminika. ni migao kama kawaida ya sehemu nyingi hapa nchini, Capital cities of Dar and Dom inclusive. Tuwe wa kweli ndipo tutapambana na tatizo.
 
Pale kilaza anapo copy kila kitu mpaka jina la anaemkopia🤣🤣🤣.

Huyu kiumbe nammithilisha na Babu Tale, yani ni mabumunda ya mwisho kabisa.
 
Mimi siyo kusikiliza Kampeni, bali hata Vyombo vyetu vya habari vya ndani, hasa TBC nilishaacha kuvisikiliza tangia Mwezi March 2021, Ningekuwa naweza ningeshauri DStv Waniondolee hizi Channels.
Wee jamaa ni hatari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimekumbuka siku moja tukiwa kwenye tukio fulani lililo tukutanisha wahusika ndani ya Mkoa pamoja,sasa tukakutana watu watano tuliosoma pamoja.

Sasa mmoja kati yetu ambaye ndiye mdogo kuzidi wengine muonekano wake ukawa unaonesha kuwa ni Mzee na anazeeka kwa kasi sana.
Basi kila mmoja wetu anamshangaa na kumuuliza ni kivipi yuko vile ijapo hakuwa na majibu.

Sasa kesho yake tukaendelea kuwepo pale huku jamaa mwingine akijipa kazi ya kufuatilia ni kipi chanzo cha tatizo,na alienda kwake jioni.
Siku ilifuata tukaletewa mrejesho yaani ni hatari.

Jamaa akasema kuwa "WANA,HUYU JAMAA YETU KAJIZEESHA KIPUMBAVU SANA,BORA WENGINE WANAZEEKA KUTOKANA NA MAJUKUMU.
SASA HUYU ANAZEEKA KWA SABABU ANAPENDA SANA KUANGALIA TAARIFA YA HABARI KUPITIA TBC1 NA CHANNEL TEN "🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa naona wewe itakuwa umeujua mchezo mapema,hutaki kuzeeka kizembe zembe.
Kongole!
 
Ndiyo maana Ethiopia wamepiga stop Dr. wa kupewa na machawa.
Vyuo Vikuu vyetu navyo vimekuwa ovyo na kupoteza hadhi , Ukiona watu wengine wanaojinasibu kuwa ni PhD holders za mchongo kama akina Jaffo, Biteko and the likes, upeo wa uelewa wao unapoupima na Contents za yale wanayonena majukwaani au kwenye events hasa ambazo zinahitaji upana wa uelewa wa Regional or Global issues, ndo utatambua kweli Vyuo vyetu vimedhalilisha hadhi ya Udaktari kwa kuziuza na kuzigawa kama njugu na kupata PhD holders mbumbu. It is a shame. Dr unapaswa hasa uteme mambo yenye kuakisi udaktari wako, siyo unakuwa mweupe kichwani hasa kwenye mambo muhimu halafu unaendelea kutanguliza Dr mbele ya jina lako. It is shame to the issuing instutituions, lead by UDOM ! Kwani akina M7 au Kagame wamejipa huo udaktari wa Mchongo, lakini sikiliza wanavyokuwa wana address local and International events kwenye majukwaa makubwa, ndo utajua kuwa hawa jamaa wana upana wa uelewa wa mambo ya Kimataifa na Kikanda. Hata akina Uhuru huko Kenya sikiliza hotuba zao, au akina Barak Obama , Mbeki nk siyo Dr , lakini msikilzie hotuba zake, au akina Tonny Blair au akina Ramaphosa au Mnangagwa wa Zimbabwe, ni simple Gentlemen but with great skills and understanding of wider issues. Ma Daktari feki wa TZ mnadhalilisha hizo Titles ! Wa kulaumiwa ni universities zetu nazo zinakuwa feki mbele ya macho Kimataifa.
 
Back
Top Bottom