Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,457
- 11,337
usijali humu utapata tuSina
usijali humu utapata tuSina
Labda nianze kukutafuna wewe tuThubutuuuu..!!! 😹😹😹
Siachi ng'oooo😹😹 Uache kuongea ukweli..!!
Nawe ilikuwa hivyo hivyo ila utabisha 😂Hatariiiii, 😂😂😂😂
Thubutuuu, 😂😂😂😂Nawe ilikuwa hivyo hivyo ila utabisha 😂
Unapenda style gani ya kuliwa?Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Aririiiiiii wifi ninae na nita tamba nae.Kwann nichafue cv yangu ?
Ahahaha haha nikuketee wifi yako kutoka majuu huko kwanini nichafue nyota yangu kwa wale ma mbwa jike ?
Nilijua tu maana watoto wa tandika nawajua vizuriThubutuuu, 😂😂😂😂
Uongooo!!Nilijua tu maana watoto wa tandika nawajua vizuri
Utapigwa kuna siku..!! 😹Siachi ng'oooo
😹😹😹 Mi sungura mjanjaLabda nianze kukutafuna wewe tu
Machimbo yake ya kujidai, anayosimulia yote ndo yanatendeka kwenye zile video 😹😹😹Wee ni mteja wa hapo? Hayo yote umeyajuajee? Lol
😂😂😂😂😂😂
Uongo 😹😹😹Duuh nina kinyaaa mnooo ni siku tuliingia kunywa kidogo ndio nikaona hizo mambo
Huyu anatuona matraco yake 😹😹😹Mmmh mlongo, em sema kweli?!
Yaan ananiacha hoi hapa, 😂😂😂😂Huyu anatuona matraco yake 😹😹😹
😂😂😂😂 udugu taratibu bas. LolMachimbo yake ya kujidai, anayosimulia yote ndo yanatendeka kwenye zile video 😹😹😹
Sema wewe ukweli unaoujua sasa 😃😃😃Uongo 😹😹😹
Marahaba mdogo wangu mbona hujanijibu swali langu ?Habari za asubuhi,wakubwa wote
Shikamooni
Samahani labda uliza tenaMarahaba mdogo wangu mbona hujanijibu swali langu ?