Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Jamanii mbonaa napitwa na mambo mazuri, woooiiiih
Huko sodoma ndogo, watu wandinyana huku burudani za muziki zinaendelea..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Huko sodoma ndogo, watu wandinyana huku burudani za muziki zinaendelea..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mbona hatariii hii, afu kuna bar sijui pub huko Fb wanaipromote, inaitwaje sijui, iko temeke huko. Aaah
 
Km anakupenda kwann akutajie zawadi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Si aje bure uone km familia yake itakuelewa ๐Ÿคฃ

Sasa mtu akitaja ngโ€™ombe 20 si ndio kununuana kwenyewe huko sheikh wangu..๐Ÿ˜น

Mkeo humdinyi kila siku lakini si kuna kazi zingine anakufanyia kila siku. We bhana umeuziwa ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ
Sijui km umenielewa nilichosema,
Hapo amekukubali ndio unamuuliza nataka kukupa zawadi kwa hili, je ungependa zawadi gani, anataja zawadi, hiyo zawadi ndio mahari, sasa kukutajia kubwa au kukuomba kikombe cha maji ni mtu na mtu,
Mtu anataka milioni 20 hapo unajiuliza napendwa ama navunwa.

Hizo shughuli za kila siku si kitu, ndio maana kuna binti wa kazi.. kazi iliyomleta ni moja tu, kwichi kwichi, mie hata nikirnda kununua malaya, simnunui aje kunifulia ni BANDIKA BANDUA, ndio maana nasema mke wangu sijamnunua, kuna siku wala miguu haishikiliwi.. ila ingekuwa wa kumnunua, hawezi kuja kulala bure bila kumtajua miguu
 
Mbona hatariii hii, afu kuna bar sijui pub huko Fb wanaipromote, inaitwaje sijui, iko temeke huko. Aaah
Itakuwa hiyo hiyo, naona hata kule x wadau wanaitaja sana..!!

Na MC anatangaza kabisa siku za midinyano ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kasema anaumwa mwacheni mgeni kwanza, hivi kasema anaumwa nini tena?
 
Itakuwa hiyo hiyo, naona hata kule x wadau wanaitaja sana..!!

Na MC anatangaza kabisa siku za midinyano ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ndiyo ni hiyo hiyo, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nadhani kwa mda mchache uliopo umeshawajua na vichaa wa humu,mwenyekiti wao anaitwa Lucas Mwashambwa na chama cha ccm ndio kinagharamia matibabu yake mirembe
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ndio atuambie tumsaidie dada zake..!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Udugu nimekutag sehemu, shost etu ana wakubali wakaka wenye six packs.

Kajionee comments uchekee, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom