Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,857
- 103,037
Hata wanaojiuza mnakubaliana kwanza shingapi ndo mnapiga game, hata mkeo naye kakutajia zawadi ndo umebeba chuma..!!Sijui km umenielewa nilichosema,
Hapo amekukubali ndio unamuuliza nataka kukupa zawadi kwa hili, je ungependa zawadi gani, anataja zawadi, hiyo zawadi ndio mahari, sasa kukutajia kubwa au kukuomba kikombe cha maji ni mtu na mtu,
Mtu anataka milioni 20 hapo unajiuliza napendwa ama navunwa.
Hizo shughuli za kila siku si kitu, ndio maana kuna binti wa kazi.. kazi iliyomleta ni moja tu, kwichi kwichi, mie hata nikirnda kununua malaya, simnunui aje kunifulia ni BANDIKA BANDUA, ndio maana nasema mke wangu sijamnunua, kuna siku wala miguu haishikiliwi.. ila ingekuwa wa kumnunua, hawezi kuja kulala bure bila kumtajua miguu
Sasa hapo tofauti iko wapi? Sema mmoja umejimilikisha ila yule mwingine wa voda fasta sababu yeye hali ugali wako kika siku free 😹😹😹