Nashindwa kuwaamini wanaume

Tatizo ni kufananisha but solution ni ku research..! Me naamini sio kila kitu ni mfano wa kitu but kuna vitu ni vitu na havifananishwi..! Search utapata tulizo la roho yako
 
kwanza ondoa ugonjwa wa kuto waamini wanaume itakupa shida kisaikolojia pili chunguza nini kilikuvuta kwa ao wanaume! hepuka kuvutwa na pesa bali msimamo wake juu ya maisha
 
fetty hebu no P M nikupe experience yangu
 
Last edited by a moderator:

Ni pm nikupe experience yangu.
 
Kuwa mkweli, kama Una 24plus basi umepitia relationship 3plus na kama upo Chuo kikuu basi utakuwa umepitia relation 7plus

Idadi uisemayo haijafikia hata chembe ya kuanza kudiss wanaume.
 
 

Bado Upo Oystabey Ama Upo Wapi Siku hizi?
 
Feitty usikate tamaa. Maisha ya mahusiano yanachangamoto nyingi hasa katika umri huo. Chukulia hayo yote ni changamoto za wewe kujifunza vitu fulanifulani. Naamini hakuna uliyekuwa nae ukakosa kupata kitu kipya na pia itakufanya uwe ni mtu wa kuapreciate sana kwenye mahusiano yako. Hicho nimejifunza sana katika maisha. Hivyo usiogope ila omba Mungu upate mtakae elewana nae.
 

Forget about finding the right Man, and concentrate on becoming the right Woman
 
Watatu tu.........

Huyu VP? Namshangaa mi nilidhani anajaza hata ka-hiace kamoja
Kumbe jamaa wa3 tu? Practically mleta Uzi kama usemacho ni kweli bado una ka-bk bado.
Na hujaekksipiriensi kuvunjwa moyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…