Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,754
Habari za jumapili wana JF.
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.
Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.
Asanteni.
Pole sana but usiogope kuwa katika relation sababu sio kwamba wanaume wote ni wa aina hiyo na kama umeumizwa katika relation tatu zote kaa fikiri inawezekana tatizo likawa kwako,tafakari kwa kina upate ufumbuzi kwanii relation hizo zote uumizwe?fikiri wapi unakosea then ujipange upya angalia je ni sababu gani zilizopelekea hadi ukaumizwa chambua katika kila relation ulopitia..maana unaweza laumu kumbe sababu ya wewe kuumizwa ni wewe mwenyewe.