Nashindwa kuwaamini wanaume

Nashindwa kuwaamini wanaume

Take a break and be a gud girl. Kabla hujaamua kuwa na mwanaume befriend him first. Jaribu kuelewa anataka nini toka kwako, ili uweze kutofautisha wajasiria mali na wapitaji (Honestly wapitaji wapo wengi)

Kingine, ni vizuri ukaadopt tabia za kike zisizotuma picha mbaya kwa wanaume. Hizi huweza kumfanya mjasiria mali kugeuka mpitaji. Be a woman a man needs not a woman who needs men
lool thank you for this nice words
 
Watatu tu.........
preta umepitiwa na wengi ehee karibia ngapi? hamsini wanafika, mia je? nikikuangalia na unavyopost nilijua utakuwa na mnato balaa au utakuwa hata bikra..kumbe duh, ukilala chali nikakanyaka hapo kwa bahati mbaya mguu wangu unaweza kuzama wote..hahahaha
 
Habari za jumapili wana JF.

Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .

Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.

Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.

Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.

Asanteni.
Wewe, kama binadamu mwenye hisia, una haki ya kujisikia hivyo lakini nakuambia, hotoweza kwenda kinyume na maumbile. Ipo siku atatokea mwanaume na utakapomwona na atakapokusemesha/kukusalimia etc utasahau kila kitu cha relations zilizopita na atauteka moyo wako. Then the rest is history..........
Inakuwaga hivyo dada!
 
feitty hilo gauni la harusi limependeza sana

Sipati picha siku ya harusi yake ila ndo hivyo tena sisi wanaume siku hizi tumearibiwa na ninyi kutanguliza hela wakati wa uchumba,halafu mnalaumu eti tunawamega na kuwaacha!!
 
Last edited by a moderator:
Usichoke dada utakutana nae ambaye ana upendo wa kweli. Ila tatizo lenu wanawake mnapenda msipopendwa na kutoa nyodo pale mnapopendwa. Na bado hapo utakutana na wa kila aina hadi unaolewa

Very good, hili wanawake huwa hawalitambui kabisa.
 
Usichoke dada utakutana nae ambaye ana upendo wa kweli. Ila tatizo lenu wanawake mnapenda msipopendwa na kutoa nyodo pale mnapopendwa. Na bado hapo utakutana na wa kila aina hadi unaolewa

Mfano mzuri n wema sepe2,
 
Na usijekaa ukawaamini....

Wapo sana wanaoaminika, tatizo lenu mlishapigwa upofu mtu anampata mwanaume hata kwa macho tu unajua hamfiki popote basi demu ndio kafa kaoza hapo siku 2 anakimbilia humu ooh wanaume si waaminifu, mbona zipo ndoa zimedumu, hongeren besta na marlaw
 
Sipati picha siku ya harusi yake ila ndo hivyo tena sisi wanaume siku hizi tumearibiwa na ninyi kutanguliza hela wakati wa uchumba,halafu mnalaumu eti tunawamega na kuwaacha!!

mwanaume kichwa cha nyumba............hata usipotanguliza hela unaachwa ishakuwa kasumba ya baadhi ya wanaume taama imetawala kila unayemwona unataka kujua kilichojificha kinauzuri gani
 
mwanaume kichwa cha nyumba............hata usipotanguliza hela unaachwa ishakuwa kasumba ya baadhi ya wanaume taama imetawala kila unayemwona unataka kujua kilichojificha kinauzuri gani

Kama mwanaume ndo kichwa cha nyumba mbona mnadai haki sawa kwa kasi ya ajabu hivyo????
 
Mimi huwa navumilia sana na nnapoona maji yamenifika shingoni huwa naamua kujiondoa
Na maybe tatizo langu kubwa panapotokea mikwaruzano katika kuisolve mimi huwa siwezi kulumbana hivo unakuta anachokieleza inabid nikubal na hata kama najua nadanganywa nkiuliza sana unakuta mtu anaanza kuongea kwa jazba hivo naamua tu kukaa kimya
Sometimes huwa nahic pia upole wangu ndo unachangia wao kuchukulia easy na kurudia yaleyale most of the time

Kwa maelezo haya bado hujapata anaekufiti, km we n mpole tafuta mpole mwenzio, criteria ya kwanza unapotafuta mke/mume jiangalie kwanza wewe unapenda vtu gan unachukia vitu gan sasa mtafute Wa aina hii mf kama we n bahili tafuta bahili, mlevi tafuta mlevi, hapa mtaishi
 
Usiamini the following statement... "Follow your heart"... Coz hata kwenye vitabu vya dini ( Bible) imeandikwa i.e. proverbs/mithali 28:26. Ukipenda ukatendwa, its always your fault. Your spirit and mind should be incontrol of your body na hisia za kimwili which we call, "heart". Anyways, kuna hata wanaume wanasema wanawake hawaaminiki... So just open your eyes, coz the right person is the one who wants to be a part of your life forever... Na ukisubir utamwona. He will give himself to you and not his money, wealth or sweet words. He will be part of you and you part of him. I know its like impossible for what i hav said but thats all there is. Trust me.
 
Pole ila usimfananishe huyu na yule pia jiangalie nawewe kama kuna sehemu unakosea. Vinginevyo usichoke iko siku utapata kiatu saiz yako
 
pole sana watu tunatofautiana...sema huwaamin hao watatu uliowah kuwa nao..lkn usiseme huwaamin wote...
kingine kawaulize vizur kwann wamekuacha? af ujitathmin kama tatizo n ww au wao
 
tupo mbona tena tupo sana wanaume waaminifu, tena mbona waaminifu sana tu! sema tu wewe huna bahati wenzio wenye bahati wametuwahi....
 
Habari za jumapili wana JF.

Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .

Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.

Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.

Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.

Asanteni.

Hata sisi wanaume tumeumizwa sana lakini hiyo bado haituzuii kutafuta wenza. Kama ulivyosema una inaonekana wewe bado huna uzoefu wa kugundua wanaume waongo na ndiyo maana umeumizwa. Hili unalokumbana nalo ndo linaitwa learning curve. La msingi jaribu kujiuliza umekosea wapi na mwishowe utampata mtu wa ndoto yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom