Pole sana
Neva dare to trust a man.
Bora ukaamini kuku atakupa mayai ujenge afya, ila sio kumuamini mwanaume.
ishi nao kwa akili
Habari za jumapili wana JF
Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo
Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa.Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.
Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini
Samahani kwa uandishi me c mzoefu wakupost
sio kwa wanaume wa kizazi chetu, mtu anapretend hadi unasema mume ndo huyu
Amwamini nani labda?
Labda ana maanisha 34
Bora ukaamini kuku atakupa mayai ujenge afya, ila sio kumuamini mwanaume.
ishi nao kwa akili
Mungu.
Hahaha kuku?? Basi kwa niaba ya wote waliokuumiza, tusamehe.