Nashindwa kuwaamini wanaume

Nashindwa kuwaamini wanaume

Habari za jumapili wana JF.

Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .

Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.

Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.

Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.

Asanteni.

kabla ya yt umejichunguza ww una kasoro gn? inawexekana ww ndo mwenye tatizo ndo maana kla kwenye uhusiano uloingia unapigwa kibuti...JARIBU KUANGALIA UNAKOSEA WAPI
 
daah pole lkin mi naona tatzo lipo kwako b'coz ukishindwa kumuamin mwanaume wako au let's say mpenz wako kuna baadhi ya vtu utakuwa humtendei haki,,,,nakwambia hv kwasababu mi nilishawah kuachana na msichana ambaye tatzo lake llkuwa ni kutokuniami tu ,,,,,so unatakiwa kubadilika na kumuamin mtu utakeyempata coz you never know labda hata hao mlioachana huko nyuma ni sababu ya kutokuwaamin tu..

IMAN NI KITU MUHIMU KWENYE KILA KITU UNACHOKIWAZA NA UNACHOKIFANYA.
 
sio kwa wanaume wa kizazi chetu, mtu anapretend hadi unasema mume ndo huyu

Nikweli some time tunalaumiwa bure kumbe wanaume wengine niwaigizaji wazuri tu anapretend kama vile mume kumbe mpita njia tu
 
Si wanaume wote ndo watakuumiza. Tatizo kubwa ni nyie kutoa tunda kabla hujaolewa, mwanaume akishakula na kusaza lazima abadilishe mlo. Ushauri wangu kwako na wengine; usitoe tunda kabl ya wakati wake, usiwe ombaomba wa vijisenti kwa mpenzi/mchumba wapo pia usiwe na papara kwa wanaume wengine. JITULIZE mpenzi wako atakuamini na utaolewa
tafadhali mkuu ebu tengua kauli yako,asitoe nini? unampotosha
 
feity mama shida kubwa ni wewe kuamini kuwa kuna wanaume wenye mapenzi ya kweli na wewe kusahau kuwa unatakiwa kuwa na mapenzi ya kweli kwao...! Binafsi nijuavyo wanawake wengi muwabinfsi nyie kazi kudeka tuu na kungoja kupetiwapetiwa hii ndiyo sababu kubwa nyie wanawake mumekuwa mkilalamika na kuamini haujakutana na mwanaume mwenye mapenzi ya kweli...! Siyo siri mimi binafsi nimetoka kwenye relationship muda nimekutana na msichana mmoja ni mbinafsi sana.
hii inabidi tukudhamini kama lowasa ili uifungulie uzi"wanawake acheni ubinafsi"
 
Dada nakushauri wewe tunda toa kama kawaida,we unadhani wanaume tunapenda vilipshine vyenu na vipodapoda vyenu ivyo? uzuri wa gari engine bwana,au hauoni ma-DSM ya mwenge na kawe yanabadilishwa bodi tu ila engine ileile miaka nenda rudi,sasa wewe bisha uone kama list yako yakuumizwa haijafika 33.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom