Nashindwa kuwaamini wanaume

Nashindwa kuwaamini wanaume

Wewe utakuwa MALAYA! 3relation??? kwa 24+ wote wana CHUNGULIA wanaondoka!!! ulianza nao lin? na ulkaa na wastn muda gan

Duuuh!! Punguza munkari kijana, watu wanakuwa na 30 na wanaondoka huyo wa3 tu unamuita malaya!!! Kamooooon!!
 
Sasa inakuwaje unashindwa kuamini wanaume? au wewe ndio unawaumiza, so inabidi ujihami?

Baba yangu aliniambia "kamwe usije ukamuamini mwanaume, hata mimi" and its true, have seen alot, sio kwavile sijawahi kuumizwa basi nyie ni wa kuaminiwa.
 
Habari za jumapili wana JF.

Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .

Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.

Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.

Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.

Asanteni.

impressive.......
 
Baba yangu aliniambia "kamwe usije ukamuamini mwanaume, hata mimi" and its true, have seen alot, sio kwavile sijawahi kuumizwa basi nyie ni wa kuaminiwa.

lazima kuna mwanaume alikufanyia kitu kibaya...
 
Sababu hasa ni nini tueleweshe tujue kwa nini umeachwa mara zote hizo pengine wewe unahisi ni kipi kinapelekes hayo
 
Wewe utakuwa MALAYA! 3relation??? kwa 24+ wote wana CHUNGULIA wanaondoka!!! ulianza nao lin? na ulkaa na wastn muda gan

Aisee..........
mkuu.......are you serious...........?.......
 
Binti mzuri was miaka 24, Nakusalimu.
Nimesoma ujumbe wako kwa makini sana, kwanza naanza na Ilani, kwamba jihadhari sana na mahusiano kwani umri wako ungali mdogo sana kuhimili au kuendana na mahusiano.
kama sikosei ungali mwanafunzi na kama nyamwanafunzi unaongozwa na mengi ambayo baadhi yake ndio yanaweza kuwa chanzo au sababu ya mahusiano yako na wanaume kuvunjika au kuwa magumu. nikuulize wanaume watatu wakuumize wewe tu? kulikoni? wameagizana kwamba tukamkomoe yule? tafakari! una kasoro usioijuwa binafsi. consult me I will narrate it to you. pole lakini.
 
lazima kuna mwanaume alikufanyia kitu kibaya...

Jamani its second time unalisema hili!! Hapana sitaki kuwa mnafiki, hakuna mwanaume alowahi kunifanyia kibaya kabisa, ila people around me.
 
Aisee..........
mkuu.......are you serious...........?.......

humu kweli siku hizi kumejaa watoto.....mwanamke kapitia 3 relationships anaitwa 'malaya'???!!!!
 
Hakuna, nimeshuhudia mengi ujue, so he was totaly right.

Well, lemme let you in on a little secret, you can only trust if only you're trustworthy yourself. That's what i've learned in my adventures.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom