Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,383
monduli ndo wapi? minaijua ya magogoni
Hahahaaaaa!! Mie yangu majicho naisubiri octoba tu, haya rudi kwenye mada achana na siasa huku
monduli ndo wapi? minaijua ya magogoni
sasa kwenye mada yenyewe mnampotosha asitoe tunda,hebu mshauri mwenzako kwamba tunda ni haki ya msingiHahahaaaaa!! Mie yangu majicho naisubiri octoba tu, haya rudi kwenye mada achana na siasa huku
sasa kwenye mada yenyewe mnampotosha asitoe tunda,hebu mshauri mwenzako kwamba tunda ni haki ya msingi
tunda ni haki ya kiumbe awe mume nahata kama sio mume kwanza kweni kuku anamume?mbona tunda anatoa kwa wenzake pia kwenye kupewa vijisenti mbona hamsemi kweni wewe babaangu mpaka unihudumie?Haki ya msingi kwa mume, kwani huyo mumewe??
tunda ni haki ya kiumbe awe mume nahata kama sio mume kwanza kweni kuku anamume?mbona tunda anatoa kwa wenzake pia kwenye kupewa vijisenti mbona hamsemi kweni wewe babaangu mpaka unihudumie?
eeeh! ashaanza kuitwa baby tena
unazidi kumpotosha sasa,ebu tengua kauli yako pesa walaaaa hakuhusiani na papuchi, hela inatakiwa itoke tuKutoa pesa walaaaa hakuhusiani na papuchi, hela inatakiwa itoke tu bila hata maswali, ila kwenye hili inahitaji kwanza maswali ya kutosha.
nimekuelewa mkuu haina shida..ila ulinishtua kidogo nikawa napata hofu kama PM kupo salama ukomwanaume lazima uwe romantic
nimekuelewa mkuu haina shida..ila ulinishtua kidogo nikawa napata hofu kama PM kupo salama uko
unazidi kumpotosha sasa,ebu tengua kauli yako pesa walaaaa hakuhusiani na papuchi, hela inatakiwa itoke tu
kwaiyo wewe hauoni mahusiano ya pesa na papuchi kwanamna yoyote ile?Ndio hivyo, hiyo haitenguliwi.
kwaiyo wewe hauoni mahusiano ya pesa na papuchi kwanamna yoyote ile?
teh teh teh! kweli we kiboko, haya mama umeshindaHavina mahusiano bwana, we toa pesa tu, ukipewa papuchi pia shukuru tu ila havina mahusiano kabisa.
Most of the time wenye kupelekea mahusiano yavunjike ni wao kutokana na matendo yao