Nashindwa kuwaamini wanaume

Nashindwa kuwaamini wanaume

Tatizo unaingia kwenye mahusiano mzimamzima lazima utalia tu.
Hata wema alishasema weaknes yake kubwa ni kuingia mwili mzima akishtuka tayari ameumizwa.
Consider that point...
 
usivunjike moyo utampata wako wa halali kikubwa tulizana.wapo wanaojua nin maana ya strong affection for someone.
 
Pole mwaya yupo uliyepangiwa atakuja tu usife moyo. Yote ni mapito
 
Wanaume wameumbwa kutamani na nyie mkaumbwa kupenda hivyo tulia kwa mungu wako uombe na kufunga hapo utapata njia
 
Mimi huwa navumilia sana na nnapoona maji yamenifika shingoni huwa naamua kujiondoa
Na maybe tatizo langu kubwa panapotokea mikwaruzano katika kuisolve mimi huwa siwezi kulumbana hivo unakuta anachokieleza inabid nikubal na hata kama najua nadanganywa nkiuliza sana unakuta mtu anaanza kuongea kwa jazba hivo naamua tu kukaa kimya
Sometimes huwa nahic pia upole wangu ndo unachangia wao kuchukulia easy na kurudia yaleyale most of the time

Pole sana dada, umri wako bado mdogo sana, muombe sana Mungu atakupa mume wa kufanana naye. Usitafute relation ya kula nayo raha, omba upewe mume atakaye kuthamini
 
Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.Asanteni.

Take a break and be a gud girl. Kabla hujaamua kuwa na mwanaume befriend him first. Jaribu kuelewa anataka nini toka kwako, ili uweze kutofautisha wajasiria mali na wapitaji (Honestly wapitaji wapo wengi)

Kingine, ni vizuri ukaadopt tabia za kike zisizotuma picha mbaya kwa wanaume. Hizi huweza kumfanya mjasiria mali kugeuka mpitaji. Be a woman a man needs not a woman who needs men
 
Bora ukaamini kuku atakupa mayai ujenge afya, ila sio kumuamini mwanaume.
ishi nao kwa akili

😂😂😂😂😂😂😂 atoto nkiki?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Wa3 Tu Kuna Wenzio Wamepitia 30 Na Bado Wanaamini...
How Old Are You?
 
Habari za jumapili wana JF.

Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo .

Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men.

Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu.

Kiukwel naogopa sana kuingia katika relation na nimekuwa mwoga na sielew huu uoga utaisha lini.

Asanteni.

akia nkwambie kitu mamy kwanza kabisa unatakiwa kujua kitu hivi,kila relation unayoicha au unayo achwa jarbu kutafuta nin chanzo mpka kikapelekea kuachana pia jifunze kitu kitakupelekea wew kuwa na iman na moyo wako..kwa maan kama kutongozwa unatongozwa ila unaogopa kulingana na hali ilokupata awali.pia jarbu kuwa unasali ili Mungu akupe macho ya Rohon maan haya ya mwili yanatudanganya ndo maan tunajikuta kumeangukia sehem ambayo sio tulio pangiwa na kama chacho ni chako ulicho pangiwa na hata kam utakuwa na uwoga gani kikija ni lazim utakikubali noo matter wat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom