Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Ma bus , malori majenereta oye
 
Pole sana, wivu utakuua. Yaani ndio shida ya vyeti fake. Mwenye elimu yake hawezi kuandika uharo huu eti daraja la Busisi linaenda uswekeni. Sijui kwa nini mods hamfuti uzi wa namna hii.
 
Sijawai kanyaga kivuko Cha busisi Ila sijui tulikuwa wapi tukachelewa Jenga hili daraja ni muhimu kuliko tunavyodhani ....hayo mandege ndo upuuzi mtupu
 
Binafsi naunga mkono hoja yako mkuu kwa asilimia 100%. Miradi yote ikamilishwe, hata Kama kwa sasa haitakuwa na faida lakini huko mbele itasaidia, kuiacha ni hasara kubwa zaidi
 
Njoo nikupe dozi, utapona na kuendelea na maisha kama watu wengine.
 

Hiyo signature yako tu ndo ina mantiki, basi !
 
Kiukweli unahitaji maombezi... Eeh Mungu Baba utuhurumie sisi waja wako kwa kuwa hatujui tulitendalo
 
Miradi ya majengo ya NHC ulikuwa bado haijaanza?
 
Ushaur wako ni mzur Sana mkuu Ila umesahau kitu Cha muhim sana kushauri. Ungesema pia nashauri yule mkuu astop kudhurura na mindege nje ya nchi kupunguza gharama leo yuko uku kesho yuko kule yaaan kupuyanga tu.

Na pia ungeshauri tanesco na idara ya maji, nao kwake wampelekee mgao wa umeme na mgao wa maji Hil kusud na yy aone inavyo pain...
 
R
reasoning capacity yako ni ndogo sana, cant waste my time hata kukuelewesha...ungeweza kuandika kwa ku pose swali kama hiyo miradi ina maana au laa hapo ningeweza kutoa maoni yangu kwann ina umuhimu.
 
Sidhani kama busisi unaijua au unapayuka tu kwenye keyboard, unajua ni malori mangapi yanapita hapo kwa siku kwenda nchi kama Uganda Rwanda au burundi?, nisiiandike sana ila ninachokiona una roho ya chuki na wivu umekujaa.
Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
 
Nyinyi na huyo bibi ako Samia mmeshafeli mnatapatapa daraja la Busisi linaenda kijijini akili yako imejaa kamasì! Si mulimuona Magufuli hafai amewaachia muendelee na Msoga wenu!
Hahaha..yani jamaa mjinga, watu kama hawa unaweza kuta wana key positions serikalini huko..binafsi huwa sishangai kwann waafrika sisi ni masikini sana...daraja la bususi ni moja ya miradi strategic sana..kama unataka kuikamata Uganda, Burudi, and more importantly south sudan( sababu ni monopoly ya kenya kibiashara kupitia bandari ya mombasa) then daraja la busisi litasaidia sana sana, unajenga reli ifike Mwanza then unahitaji urahisi wa kwenda south sudan na pale kigongo kama Magufuli asingeamua kujenga hilo daraja kungekuwa na traffic ya hatari ya malori. Huyu jamaa ni mjinga mno. Angenyonya hata mwaka mmoja tu probably cognitive capacity yake isingekuwa hivyo. Ndio shida ya kunyonya maziwa ya kopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…