chotibalula
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 206
- 109
Hauna uelewa juu ya hili daraja: SIYO DARAJA LA KWENDA BUSISI,ni daraja la busisi....ilinaunganisha mikoa ya mwanza, Kagera pamoja na nchi jirani.....uwe unaelewa kwanza.Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.