Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Miradi ya magufuli ambayo naona ilikua na tija ni JNHP, SGr na daraja la wami. Hii mingine ni sawa tu na mtu anayenunua gari nzuri ilinaonekane baranrani wakati anaishi chumba kimoja
 
1. Daraja la Busisi tuachane nalo kabisa. Kwasbb halitarajiwi kuleta tija yoyote ya kiuchumi hata likikamilika maana linaenda kijjjini (interior) Busisi. Mabilioni ya fedha yatapotea bure kabisa!
Huko interior hawaishi watu? Hawalipi kodi? Hwana haki ya kupata huduma muhimu?
 
Back
Top Bottom