Narudi kijijini kutafuta mke

Narudi kijijini kutafuta mke

Unamchokoza Mkurugenzi wewe eeh
Mkuu sio hivyo,nilishaomba msamaha kabisa baada ya sister Lara 1 kutupatanisha,sasa hivi tuko poa,ndio maana nataka kumjulia hali au kumuamkua mamii mrembo.Btw hongera sana kwa uamuzi wa kurudi bush kutafuta mchumba,ubarikiwe na usisahau kutuletea michembe na masangu.
 
Wana MMU....

Kwa heshima na taadhima bila taraghani wala tahanani naomba mniweke kwenye sala zenu ili safari yangu iwe ya mafanikio.

Ni ombi la dhati kabisa na nawasihi msilichukulie kuwa takriri wala tashtiti za Ngabu.

Hii si mara yangu ya kwanza kujaribu bakhti yangu katika medani za wapendanao.

Miaka takriban hamstaashara ilopita nilijaribu lakini mambo yakaenda mrama.

Sasa napiga tena moyo konde nijaribu nione.

Naomba niwashirikishe kwa picha mtiririko wa safari yangu kuanzia Ubungo hadi Ikungulyabashashi....karibuni sana.

Safari ni hatua na yangu ilianza jana saa kumi na mbili asubuhi pale Ubungo....

View attachment 366753

Mishale ya saa tano hivi tukaigongea hodi Morogoro.....mimi huyo hapo naongea na mchepuko kwenye simu.

View attachment 366754

Shinyanga tukaingia usiku....nikalala hapo hapo stendi kwenye vibanda na asubuhi nikajidamka na kupanda Ally's hadi Ikungu....

View attachment 366755

View attachment 366756

Hatimaye majira ya alasiri nikakanyaga nyumbani Ikungulyabashashi...

View attachment 366758

Karibuni nyumbani. Karibuni sana. Na karibuni wanzuki.
Naona chini kabisa nyumbani kwa wala vumbi
 
Hapo umenichekesha kweli yaani!

😀😀😀😀😀.
Usijali Mkuu tupo pamoja,ila mwenzangu naona umesamehewa na dada yetu Freeageman kama sijakosea jina lake maana nimesoma mpaka la tatu tu,nimezoea majina ya kina Chakubanga na kina Chupaki.
 
Usijali Mkuu tupo pamoja,ila mwenzangu naona umesamehewa na dada yetu Freeageman kama sijakosea jina lake maana nimesoma mpaka la tatu tu,nimezoea majina ya kina Chakubanga na kina Chupaki.

Yeah mi na yeye sasa hivi mambo waa.

Ashukuriwe Jalali mwingi wa rehma.
 
I'm quoting you and whistling...

So you smashed the hommie and that's why you're copping this attitude with me?

Yaani ukishakuwa out of track unapoteza kila kitu hadi network.....

Hata huelewi..... Wee wa wapi wewee?

Nyani bin kima weeh..... I thought you were smart but I get it wrong.

Ofcourse I can't stop you from quoting me..... it's
up to you.... and that's a what's up... hahahahah

Kasie.
 
Yaani ukishakuwa out of track unapoteza kila kitu hadi network.....

Hata huelewi..... Wee wa wapi wewee?

Nyani bin kima weeh..... I thought you were smart but I get it wrong.

Ofcourse I can't stop you from quoting me..... it's
up to you.... and that's a what's up... hahahahah

Kasie.

I love you something fierce and there's nothing you can do about it Kasie.

upload_2016-7-16_15-23-51.png
upload_2016-7-16_15-23-51.png
upload_2016-7-16_15-23-51.png
 
Ila Ngabu bana na stori zako hizi,ha ha ha ha ha unaweza kuta hizi ni stori tu za kuchangamsha genge.......anyway kama uko siliasi kila la heri mkuu huenda ukampata ila mjini na vijijini siku hizi sioni tofauti....bora ukajichukulia hata Valentina tu maana wote ni sawa!!
 
Kwako mpenzi Ngabu,
Dhumuni la barua hii ni kukufahamisha si lali kwa kukuwaza na kabla sijafungua JF lazima nipake make up ili unione.
images







Wasalam Sky
 
Dutwa au Sipiwi?

Daah, mkuu umenikumbusha mbali sana...niliwahi kukutana na binti mrembo sana sijawahi kuona Dunia hii mitaa hiyo ya sipiwi...Kipindi hicho hakuna simu wala Email, ni mwendo wa Barua tu....Miaka mingi imepita but bado namkumbuka utafikiri nimekutana nae jana...
 
Ah wapi mbona nnayo tokea siku nyingi tu!
Siku hizi u r everywhere ...kila nikilog in lazima nikute uzi wako...! Haya bwana ukimpata usisahau kumfundisha matumizi ya freezers na vifaa vingine vya nyumbani. Maana hushindwi kukuta viatu kwenye oven au fridge..
 
Unamchokoza Mkurugenzi wewe eeh

Koh koh koh. Kimya kimya kisimplicity. Sawa sawa si unajua kubadilika ni any time. Ukiweka heshima mbele you get it back hakuna mambo ya dam dam wala nini najua ukicheka na ngedere utavuna mabua.

Wapi mama Valentina.
 
Koh koh koh. Kimya kimya kisimplicity. Sawa sawa si unajua kubadilika ni any time. Ukiweka heshima mbele you get it back hakuna mambo ya dam dam wala nini najua ukicheka na ngedere utavuna mabua.

Wapi mama Valentina.

Cheki leo nilipokuwa kanisani...

 
Back
Top Bottom