Narudi kijijini kutafuta mke

Narudi kijijini kutafuta mke

Nyani Ngabu, huyo jamaa wa Moro anayepiga simu namfahamu, sijui ni coincidence? Kaoa mke, dada fulani mnene mfupi, ni mtata balaa ni mkufunzi UDOM!
 
Daah, mkuu umenikumbusha mbali sana...niliwahi kukutana na binti mrembo sana sijawahi kuona Dunia hii mitaa hiyo ya sipiwi...Kipindi hicho hakuna simu wala Email, ni mwendo wa Barua tu....Miaka mingi imepita but bado namkumbuka utafikiri nimekutana nae jana...
Kweli Mkuu,maeneo hayo ndio sisi tulikuwa na mifugo mingi sana miaka ya 90,sasa hivi pamekuwa miji mikubwa.
 
Mkuu hongera sanaa...mimi nilijaribu kwenda kijijini kwetu nikakuta afadhali hata hawa wa mjini....yani naumiza kichwa nitapataje mke mwenye hofu ya Mungu...Hongera sana kama wewe umefanikiwa..its not an easy job..
 
Kweli Mkuu,maeneo hayo ndio sisi tulikuwa na mifugo mingi sana miaka ya 90,sasa hivi pamekuwa miji mikubwa.

Hahaha...wasichana wa kipindi kile sijui walikuwa wanakula nini? yaani walikuwa wazuri sina hata mfano..!! mara ya mwisho kupita sipiwi ni mwaka 1990 nikiwa natoka Bariadi kuja Dar. I miss home
 
Unamkumbuka Zubeda wa Prof Jay? hahaha , shauli yako, ohoo
 
Hahaha...wasichana wa kipindi kile sijui walikuwa wanakula nini? yaani walikuwa wazuri sina hata mfano..!! mara ya mwisho kupita sipiwi ni mwaka 1990 nikiwa natoka Bariadi kuja Dar. I miss home
Wasichana walikuwa natural,hakuna kujibabua wala kuvaa katani Mkuu,halafu bila kusahau maziwa na nyama asilia bila kemikali,pia hata mazingira na hali ya hewa usukumani ni patulivu sana.
 
Koh koh koh. Kimya kimya kisimplicity. Sawa sawa si unajua kubadilika ni any time. Ukiweka heshima mbele you get it back hakuna mambo ya dam dam wala nini najua ukicheka na ngedere utavuna mabua.

Wapi mama Valentina.
Asanteeeeee mamiiiiiiii.
 
Huu wimbo ndo unapigwa hapa club.....
Kamata chini... kamatia chini kamata chini kamatia chini... Envy Kenzo namuona Vanessa kwa mbaliiii

Kamata chini kamatia chini...
Kamata chini kamatia chini....

Hivo hivo....

Kasie.

Mi ntakamata hapo kati basi....
 
Mi ntakamata hapo kati basi....

Na mie ntashikilia hapo hapo kati kama zile pump za kijijini kwenu za kupump maji.

Unaenda kisimani unakinga ndoo kwenye bomba kisha unashika mpini wa kisima na kuanza kupump juu chini juu chini juu chini hadi maji yanatoka pwaaaah
Ukiacha ku pump maji yanakata.

Ntakamatia hapo hapo kati pako.........
 
Basi tutakamatana hapo kati 😛😛.
 
Basi tutakamatana hapo kati 😛😛.

Hahahahahhaa kamata chini kamatia chini...
Kamata chini kamatia chini....
Kamata chini kamatia chini .......

Huku mikono ikikamatia chini mauno yanazunguka kama feni. .....

Heheheheheheee simooooo
 
Hahahahahhaa kamata chini kamatia chini...
Kamata chini kamatia chini....
Kamata chini kamatia chini .......

Huku mikono ikikamatia mauno ya napunguza kama feni. .....

Heheheheheheee simooooo

My name is James....James who?😉
 
Back
Top Bottom