pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 915
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mbona naona kuti apo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
My name is James....James who?😉
NN nimekukubali mkuu.. Wewe ni mmoja wa watu ambao hakuna atakayekuja kukuchukia... All the best Nyani Ngabu..
hahaaaaaaa huyo atakusumbua sana sababu akili zake ni kama Mange Kimambi./QUOTE]
Koh koh koh. Kimya kimya kisimplicity. Sawa sawa si unajua kubadilika ni any time. Ukiweka heshima mbele you get it back hakuna mambo ya dam dam wala nini, Karanja kila nikimfata PM kuomba pakee au sabuni ya roho(PESA)anajofanya mjaja,na mimi sio maziwa lala hapa kagonga mwamba.
Wapi mama Valentina.
Hovooyoooo! Baba ubaya na dr love pimbi si kwa ulevi huo. Shika adabu yako,kumbuka hizi ni mali za KARANJA 007,chunga marinda yako.
Kasinde yaani kumbe na wewe unajua kuyanogesha mananihii,basi nije unionjeshe na mimi,na soda la kopo unipe pia.Hahahahahhaa kamata chini kamatia chini...
Kamata chini kamatia chini....
Kamata chini kamatia chini .......
Huku mikono ikikamatia chini mauno yanazunguka kama feni. .....
Heheheheheheee simooooo
Kasinde yaani kumbe na wewe unajua kuyanogesha mananihii,basi nije unionjeshe na mimi,na soda la kopo unipe pia.
Mkuu hata huku Daslam si wapo kina Mwallu na Masunga na wenzake? Au unamtaka aliyelelewa kijijini akiona gari anakimbia? Akiona mtu kwenye TV anamwamkia? Viatu anaweka kwenye fridge?
Nini hasa lengo lako la kumwacha Dotto Mayala hapa Daslam uende kuchagulaga kwa kina Nyanzala, Mabula, Jishuli????
Au ndo nyani mzee.tricks za mjini zimekushinda!??? Au hekaya za mungu wa kabili zimekuogofya? Why brother...???
Limi!!Kesho naenda kwenye chagulaga...watakuwepo Ester, Johari, Flora, Limi, Kabula, Nana, na Kashinje.
Lakini mimi kusakua kuba mamii.Hahahahahaaa chakula ya wakubwa hapewi mtoto hata siku moja..........
Chakula ya muzee hapewi mgeni hata siku moja hahahaha
Kasie.
We bwana wee, Dutwa kuna nickel, unalijua hilo? We endelea kukaa mbali hivyo hivyo.
Hicho kifaa mkuu. Vuta acha kuchelewa.Vacancies are still aplenty!
Haya hebu toa maksi kwa Kashinje.....hapo vepee?
View attachment 366763
Je utakumbuka kucheza ngoma ya maswezi?Wana MMU....
Kwa heshima na taadhima bila taraghani wala tahanani naomba mniweke kwenye sala zenu ili safari yangu iwe ya mafanikio.
Ni ombi la dhati kabisa na nawasihi msilichukulie kuwa takriri wala tashtiti za Ngabu.
Hii si mara yangu ya kwanza kujaribu bakhti yangu katika medani za wapendanao.
Miaka takriban hamstaashara ilopita nilijaribu lakini mambo yakaenda mrama.
Sasa napiga tena moyo konde nijaribu nione.
Naomba niwashirikishe kwa picha mtiririko wa safari yangu kuanzia Ubungo hadi Ikungulyabashashi....karibuni sana.
Safari ni hatua na yangu ilianza jana saa kumi na mbili asubuhi pale Ubungo....
View attachment 366753
Mishale ya saa tano hivi tukaigongea hodi Morogoro.....mimi huyo hapo naongea na mchepuko kwenye simu.
View attachment 366754
Shinyanga tukaingia usiku....nikalala hapo hapo stendi kwenye vibanda na asubuhi nikajidamka na kupanda Ally's hadi Ikungu....
View attachment 366755
View attachment 366756
Hatimaye majira ya alasiri nikakanyaga nyumbani Ikungulyabashashi...
View attachment 366758
Karibuni nyumbani. Karibuni sana. Na karibuni wanzuki.
Mungu akujalie ktk hiyo chagulaka upate mchumba anaitwa Horo au kalunde.Kesho naenda kwenye chagulaga...watakuwepo Ester, Johari, Flora, Limi, Kabula, Nana, na Kashinje.