Narudi kijijini kutafuta mke

Ninyo...mwezio anauliza 'auntie tundu iko wapi siku hizi?'

Halafu hebu fanya umnunulie dera....ya watoto si yapo?
heheheh!! mwambie kisura wangu asijali. soon tutaonana, aunt tundu kaokoka siku hizi. kuna skuna za ukweli najua zitamtosha, achana na madera
 
Umezoea mitumba yenye nywele bandia, kope bandia, nyusi bandia, uso poda, marangi mdomoni, manyonyo mdindisho, kalio mjaladio, kucha bandia, sikio tundu tano, pua kipini, ulimi kipini, kwapa mpulizo, papuchi kipini, kitovu kipini, kiuno cheni, mguu kikuku, shupi bikini wa kijiji utamuweza kweli Mkuu.

Aisee mbona umeamua kutukana kwa bei ya jumla?

Mie simo na mchanga wa pwani huoooooo.
 
Mkuu hata huku Daslam si wapo kina Mwallu na Masunga na wenzake? Au unamtaka aliyelelewa kijijini akiona gari anakimbia? Akiona mtu kwenye TV anamwamkia? Viatu anaweka kwenye fridge?

Nini hasa lengo lako la kumwacha Dotto Mayala hapa Daslam uende kuchagulaga kwa kina Nyanzala, Mabula, Jishuli????

Au ndo nyani mzee.tricks za mjini zimekushinda!??? Au hekaya za mungu wa kabili zimekuogofya? Why brother...???
WA DAR anawaweka wawe michepuko tu coz wanajua anga zake.
 
..tena ukimpeleka huko UaSA ndio atakupa shinikizo la damu hadi usahaulike. Nakumbuka jamaa alienda US akaishi huko miaka kadhaa, baadae akaona arudi home kuoa. Alioa na kumpeleka mkewe US ili kuendelea na maisha, kumbe yule dada alikuwa na mtuwe huko.
....naamini unaweza kubashiri kilichoendelea.

Kweli lakini maana akiona mambo kama haya anaweza kulimbuka kuliko hata malimbukeni waliomtangulia.

20160711_225731.jpg
 
Mmmh huku vijijini ndio kumechafuka balaa, nna mwaka wa tatu nipo kijijini mambo nnayoyashuhudia ni ya hatari
 
Faaark yaaa

Lip fighting though...

Kasie.

Kasie you need a hug.

More importantly you need a hug from me, Ngabu. Not him. You just tell him Ngabu said hello.

So I will give you one big bear hug, squeeze you so tight that I smush your boobs [you know I love boobies, right?]
 
Back
Top Bottom